uwekezaji

  1. K

    Baraza la Maaskofu ni wanadamu, wanakosea kwenye mengi hata waraka wao kupinga uwekezaji wa bandari ni makosa.

    Kuna aina mbili za mitazamo ya watu juu ya viongozi wa dini: Aina ya kwanza wanawatazama viongozi wa dini kama wanadamu kamili na wenye ukamilifu wote, kunena mpaka kutenda kwao ni kwa ukamilifu. Hawakosei lolote Aina ya pili wanawatazama viongozi wa dini kama wanadamu wa kawaida, wanatenda...
  2. Doctor Mama Amon

    Majibu kwa Lord Denning kuhusu tamko la TEC juu ya mkataba wa Uwekezaji kati ya Tanzania na Dubai

    https://youtu.be/R1zyTINo6kQ Rafiki yetu Lord Denning ameuliza maswali kadhaa kuhusu tamko la TEC kwenye uzi unaopatikana HAPA. Nasi kwa hapa chini tumeamua kumjibu point counter point. 1. Lord Denning ameuliza: Wanadai Serikali iachane na Mkataba wa Bandari kwa sababu wananchi wamegawanyika...
  3. K

    Vijana wekezeni, fainali umri mkubwa!

    Habari wanaJF, Niende moja kwa moja kwenye mada hapo juu. Mimi kwa Sasa nina umri wa miaka Hamsini na tatu(53). Niliajiriwa kwenye kampuni moja wakati huo nikiwa na miaka Ishirini na sita (26). Tukiwa vijana na rafiki zangu tulifurahia sana maisha na kampuni yenyewe ilikuwa inalipa vizuri sana...
  4. K

    Makubaliano ya uwekezaji wa bandari ni "kick" ya CHADEMA iliyobuma

    Suala la uwekezaji wa bandari limeenda kinyume na matarajio ya wengi walioamini kupitia suala hili watapata uungwaji mkono na vyama vyao vitazidi kukubalika Zaidi lakini imekuwa ni tofauti, na suala hili linawatesa Zaidi waliolikuza kama "agenda" ya kisiasa. Kuna baadhi ya wanachama wa CHADEMA...
  5. Erythrocyte

    Spika Dkt. Tulia: Rais mimi ndio Mbunge wa Mbeya Mjini, Wananchi wameniambia Wanakuunga mkono Uwekezaji wa Bandari!

    Spika Dr. Tulia amesema anaowawakilisha yaani wananchi wote wa Mbeya Mjini wanaunga mkono Uwekezaji wa Bandari. Dr. Tulia amesema Mkoa wa Mbeya ni wakulima hivyo Uwekezaji wa Bandari utasaidia Mazao yao kufika kwenye Masoko kwa haraka. Nanukuu Baada ya kuitaja Bandari, maneno mengi yametoka...
  6. D

    Kesi ya kupinga uwekezaji wa DP; Mahakama sasa ithibitishe yale maneno ya Rostam yalikuwa ya ukweli au uongo!

    Mwezi mmoja uliopita ROSTAM AZIZ Alitangazia Umma kwamba mahakama zetu hazifai kwamba eti zinaingiliwa kwa maelekezo! Maneno hayo mazito kutoka kwa Rostam hayakuwa ya burebure! Bali ni maneno ambayo yalitoka kwenye kinywa cha mtu anaemaanisha wala siyo kuteleza! Pamoja na Rostam kuombwa...
  7. benzemah

    Mama Bonge wa Kariakoo asimama na Rais Samia Uwekezaji wa DP World Bandarini

    Mfanyabiashara maarufu wa Kariakoo, Sinyali Kimambo, maarufu kama Mama Bonge amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutorudi nyuma katika msimamo wake wa kuleta mageuzi ya uchumi nchini, ikiwemo kuvutia uwekezaji wa kampuni ya DP World kwenye bandari ya Dar es Salaam Mama Bonge, ambaye huagiza...
  8. Mr Why

    Serikali inapaswa kuwaeleza Wananchi kuwa watanufaikaje na huu uwekezaji wa DP World

    Mengi yanazungumzwa sana kuhusiana na mkataba wa DP World huku maswali mengi yakikosa majibu. Watanzania wanaonesha kutoridhika na uwekezaji wa DP World katika bandari za Tanzania kwa kutokuridhishwa na majibu ya maswali yao. Watanzania wanasema kuwa hawapingi uwekezaji wao wanataka kufahamu...
  9. J

    Hauwezi kununua bandari, tutakuwa wajinga kukataa uwekezaji huu

    MWEKEZAJI: HAUWEZI KUNUNUA BANDARI, TUTAKUWA WAJINGA KUKATAA UWEKEZAJI HUU Nazir Karamagi, mmoja wa watu ambaye ametajwa muda mrefu kuwa mmiliki wa Kampuni ya Kimataifa ya Kuhudumia Makontena Bandarini (TICTS), iliyokuwa ikifanya kazi ya kupakia na kupakua makontena ya mizigo katika Bandari ya...
  10. GENTAMYCINE

    Nimewasikiliza 'Bodaboda' wanaounga mkono 'Uwekezaji' wa 'DP World' na kuilaumu CCM kwa Kuzalisha 'Wehu' wengi nchini

    Kuna Mmoja ndiyo alikuwa akitetea huku akimsifu Mama ( Rais ), ila alikosea zaidi ya mara Tano kutaja kwa usahihi DP World na Usoni akionekana kabisa kuwa hana Akili halafu Kapangwa Kuongea ila hakuirariri vizuri Script yake ya Kutudanganya Wenye Akili. CCM Mwenyezi Mungu anawaona!!
  11. Roving Journalist

    Uingereza kuibeba bendera ya Tanzania kutangaza fursa za uwekezaji, biashara zilizopo sekta ya madini

    #Madini mkakati yapewa kipaumbele na Uingereza #Wafanyabiashara wa madini Uingereza kushiriki Jukwaa la Kimataifa Sekta ya Madini mwezi Oktoba Wizara ya Madini na Serikali ya Uingereza kupitia Ubalozi wake nchini zimekutana leo Agosti 1, 2023 katika ofisi za Wizara Mji wa Serikali Mtumba...
  12. Ngaliwe

    Chongolo: Watanzania wako tayari uwekezaji wenye tija na mabadiliko bandarini

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo amesema Watanzania kwa ujumla wao wameonesha utayari na uhitaji mkubwa wa kuona uwekezaji na uendeshaji utakaoleta maboresho, ufanisi na kuongeza mapato katika Bandari ya Dar Es Salaam, hivyo ameielekeza Serikali ya Chama Cha...
  13. K

    Uwekezaji wa bandari na mkataba mzuri yote ni ya muhimu kwa Tanzania

    Naomba nitoa maneno machache hasa kwa wapotoshaji 1. Uwekezaji ni muhimu sana kwenye bandari yetu ya Dar na nyinginezo. 2. Mikataba yenye maslahi kwa taifa nayo ni muhimu sana kwa taifa letu. Hivyo badala ya kulumbana na wananchi serikali ishirikiane na wadau na wale wanao lalamikia mkataba...
  14. M

    SoC03 Mfumo wa kukutanisha wawekezaji na wabunifu kupitia kituo cha uwekezaji Tanzania (TIC)

    Bila shaka unawafahamu marafiki zako wengi wenye mawazo makubwa ambayo hawajafanikiwa kuyafanyia kazi kutokana na sababu mbalimbali. Hebu fikiri tena jinsi mawazo yao yalivyo mazuri na muhimu lakini yamelala, wala hayatambuliki duniani, na unaweza kudhani hayapo kabisa. Sababu zinazopelekea...
  15. S

    Rais Samia ukiendelea kujibizana na hawa wapumbavu kuhusu uwekezaji wa Bandari utapoteza mwelekeo na utapoteza muda

    Mama yangu Rais Samia kwanini mkataba moja huu wa bandari utumie nishati kubwa namna hii. Huu ni mkataba moja tu je utaweza kufanya chochote km kiongozi mkuu wa nchi? Nachoogopa kwa kuwa uelewa wa watu bado ni mdogo ndio mtawachanganya zaidi. Bunge limeshapitisha, na bunge ni wawakilishi wa...
  16. Lord denning

    Tumalize Ubishi: Tundu Lissu nitajie IGA au BIT inayoeleza kutakuwa na HGA alafu bado inayoenesha kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato?

    Nimemsikia Lissu akiyasema makubaliano yetu ya Tanzania na Dubai hayaoneshi kiwango cha uwekezaji utakaofanywa na mgawanyo wa mapato, akitumia hiyo kama moja ya sababu ya kuyaponda makubaliano tuliyoingia na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji. Lissu anasema haya huku nikiwa na uhakika kuwa...
  17. R

    Bila kuwa na Sheria nzuri kwenye Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Faragha tusahau uwekezaji wa maana nchini

    Kadiri teknolojia inavyoendelea kusonga mbele na dunia inavyozidi kukua kidigitali, umuhimu wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Faragha unazidi kuongezeka. Hili ni jambo muhimu sana, hasa katika biashara, hususani katika upande wa miundombinu. Kushindwa kuhakikisha Ulinzi wa Taarifa Binafsi na...
  18. J

    SoC03 Uwekezaji sahihi kwenye sekta ya uzalishaji ndio mwarobaini wa tatizo la ajira nchini

    Huku mitaani idadi ya vijana wasio na ajira ni kubwa na inazidi kuongezeka Kila uchao. Tatizo ni kubwa na linazidi kuongezeka kwa Kasi,ajira ndio msingi wa kipato na kipato ndio msingi wa maisha. Yapo mawazo yanayowataka vijana wajiajiri,kinadharia ni dhana nyepesi kuizungumza lakini ngumu...
  19. benzemah

    CCM yasema haitorudi nyuma uwekezaji wa bandari

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakitarudi nyuma kuhusu uwekezaji katika bandari kwa sababu uwekezai huo uko kwenye ilani ya chama hicho ya mwaka 2020-2025. Katibu Mkuu wa chama hicho, Daniel Chongolo alibainisha hayo jana kwenye ziara yake ya kutoa elimu kwa wananchi kahusu uwekezaji katika...
  20. Kamanda Asiyechoka

    Habari ya Kenya na waarabu sio justification

    Rais wa Kenya, William Ruto leo Jumamosi ametangaza kuwa amefanya mazungumzo Ikulu ya Nairobi na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Sheikh Shakhboot bin Nahyan Al Nahyan, kujadili fursa za uwekezaji nchini humo.
Back
Top Bottom