uwekezaji

  1. Ojuolegbha

    Dkt. Pindi Chana atoa rai kwa wawekezaji kuwekeza katika michezo

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ametoa rai kwa Wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kuwekeza katika michezo ikiwemo ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya viwanja vya michezo. Mhe. Dkt. Pindi Chana ametoa rai hiyo Machi 5, 2023 jijini Arusha wakati wa mbio za...
  2. kmbwembwe

    Mtindo wa uwekezaji wa Waarabu ndio kama tunavyoona Loliondo

    Awamu hii ya mama tunaona juhudi kubwa kuvutia uwekezaji kutoka nchi tajiri za Mashariki ya Kati. Wakati tunahangaika kuvutia Waarabu kuwekeza inafaa kuelewa desturi yao wakiwekeza kwako. Wao kwa maoni yangu wakiwekeza nchini kwako hawatofautishi na kununua sehemu waliyowekeza. Pia huwa...
  3. aka2030

    Tulinganishe hizi timu Azam fc vs vipes fc upande wa uwekezaji

    Vipers Azam
  4. benzemah

    Serikali ya Rais Samia ilivyoirejesha Benki ya Uwekezaji ya Umoja wa Ulaya (EIB) nchini

    Benki ya Uwekezaji ya Umoja wa Ulaya (EIB) imeeleza sababu za kurejea Tanzania na kufanya uwekezaji mkubwa wenye thamani ya Euro milioni 540 baada ya kutokuwapo kwa miaka saba nchini. Moja ya sababu hizo ni maboresho makubwa yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan na Serikali anayoiongoza...
  5. Jidu La Mabambasi

    Uwekezaji Mwenge, naota tu!

    Kivuko sintofahamu! Uwekezaji Mwenge! Mtaa huo unavituko, hata kinara wa zamani kujenga naye kawekeza hapo Kebbys. Lakini naota tu!
  6. Carlos The Jackal

    Mo Dewji aweke wazi Bilioni 20 au aiache Simba yetu. Inauma sana Simba Ile iliyoogopeka na Al Ahly leo kila timu inajipigia

    Mimi mi Shabiki na Mwanachama wa Simba Sports Club!. Kinachoendelea Kwa huyu Bwana Mo, ni uhuni, wizi , na ujanja ujanja wa kijinga sana ambao Sisi wanasimba ndio tunaulea. Daktari Kigwangala, alivyohoji suala la Bilion 20, mamuluki walikuja mbele kumpondea Sanaa , lakini ukweli ni kwamba...
  7. covid 19

    Serikali iwekeze nguvu nyingi kwenye sekta ya Sanaa na Michezo

    Ni wazi kabisa tena bila upinzani hii sector pendwa sana wananchi wa Tanzania ipo haja ya serikali sasa kuwa serious na hii sekta na kuitazama kwa macho mawili. Ni sector inayoweza kuingiza trillion za pesa kwa serikali kama tutadhamiria kweli. Uwejezaji mkubwa kwenye michezo kama ya mpira wa...
  8. Y

    Vitabu vya elimu ya fedha na uwekezaji vinauzwa

    Vitabu zifuatavyo vinapatikana na vitaweza kukusaidia kwa kiasi kikubwa kupata elimu ya fedha na uwekezaji. 1. Increase your Finanncial IQ by Robert Kiyosaki 2. School of money by Olumide O Emmanuel 3. Cash flow Quandrant by Robert Kiyosaki 4. Guide to Investing by Robert Kiyosaki 5. Rich Dad...
  9. K

    Ushauri: Wizara ya Uwekezaji, Teknolojia na Ikulu andikeni barua kuwaalika hawa mapema

    Ubunifu ni muhimu sana kwa nchi. Ushauri wangu huu ni serious sana kuliko watu nwengi wanavyofikiria. Mimi ni diaspora hapa USA naona jinsi ambavyo kazi nyingi za technolojia zinafanywa kutokea India. Sasa najiuliza kuna ugumu gani ya vijana wetu wanaomaliza shule na kufanya kazi hizi kutokea...
  10. Gotze Giyani

    Mifuko ya uwekezaji ya pamoja na elimu ya fedha

    Wadau habari za muda huu imetokea watanzania wengi tena wasomi kutokuwa na elimu ya kutosha ya fedha na yote hiyo ni kwa sababu atufundishwi darasani. Sasa nilikuwa napitia kuhusu mfuko wa uwekezaji mpya ulionzisha unaitwa faida fund au watumishi Housing investment, je, hii faida yake ikoje au...
  11. B

    Simba kwa uwekezaji ule ni ya kukosa basi?

    Habari ya asubuhi wana Simba. Nina mawili ya kusema: Hivi ni kweli Simba imepokonywa bus na wale wawekezaji? Kama ni kweli hii ni aibu kubwa kwa timu kubwa kama Simba kukosa bus la mil 200. Hebu imagine unamkataba na Azam, unamtangaza MO kwenye jezi za Simba, una mkataba na M-bet wa 26B. Mechi...
  12. ASIWAJU

    Je, sisi kama taifa tunakosea wapi kuelekea nchi ya kiviwanda na uwekezaji?

    Ningependa kuwa karibisha wadau wote wa Jamiiforum watao penda kushiriki katika mjadala huu wenye swali liulizalo. Je sisi kama taifa tuna kosea wapi katika wizara ya nishati kuelekea katika nchi ya kiviwanda na uwekezaji ? Katika mjadala huu ningependa kutoa mfano utakao tupa mwangaza kidogo...
  13. Aliko Musa

    Jiunge Leo Katika Mafunzo Ya Siku 10 Kuhusu Uwekezaji Kwenye Viwanja Na Nyumba

    Habari yako rafiki yangu, Naitwa Aliko Musa kutokea jiji la Mbeya. Mimi ni mwandishi mbobezi wa makala na vitabu vya mbinu bora za kuwekeza kwenye viwanja na nyumba. Ninawafikia wawekezaji kupitia mtandao wangu uitwao UWEKEZAJI MAJENGO. Nimekuandalia mafunzo mazuri sana ambayo yatakuwezesha...
  14. Pfizer

    Waziri Dkt. Stergomena Tax: Mfumo wa Taarifa kwa Wawekezaji ni fursa ya kutanua masoko ndani na nje nchi

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax akizungumza wakati wa Uzinduzi wa mfumo wa taarifa kwa wawekezeji, mfumo umezinduliwa Novemba 30, 2022 jijini Dar es Salaam.SERIKALI imetaja vipaumbele katika uwekezaji ambavyo ni Kilimo, Usalama wa Chakula, Nishati...
  15. S

    Jicho la tofauti: uwekezaji wenye tija katika soka la Tanzania

    JOCHO LA TOFAUTI: UWEKEZAJI WENYE TIJA KATIKA SOKA LA TANZANIA. Uwekezaji katika Sekta ya michezo ya kubashiri Tanzania (Gaming/Betting Indutry) umekua kwa kasi sana ndani ya miaka 7. Kuna zaidi ya Makampuni 25 ya kubeti Tanzania na yanazidi kuongezeka kwa kasi sana. Lakini, moja ya kilio cha...
  16. Allen Kilewella

    Ukweli kuhusu uwekezaji wa Mo Dewji Simba ndiyo huu

    Kwanza suala la uwekezaji na umiliki wa hisa ni suala la kitaalamu na lina misingi yake, Simba hawaifuati. Mkutano Mkuu wa Simba uliridhia Mo kupewa 49% ya hisa za Simba. Ukototozi wa thamani ya klabu umefanyika? Bado. Wanachama wa Simba wanamiliki 51% ya hisa za Simba, kwani simba thamani yake...
  17. F

    Rostam Azizi na uwekezaji wa Taifa gesi

    Tanzania ni nchi ambayo kimsingi haijielewi imejikita katika uchumi upi kwani pamoja na kuwa UTI wa mgongo wa asilimia 90 ya watanzania wote ni kilimo Bado hakija pewa kipaumbele. Taasisi ya Nishati imejiweka kando huku tukiwa na zaidi ya miaka 60 ya uhuru lakini source kuwa ya Nishati ni...
  18. Ladder 49

    Tukubali Yanga imewekeza zaidi kwenye mdomo(porojo mitandaoni) kuliko kwenye mbinu uwanjani

    Wakuu habari zenu? Baada ya tambo nyingi sana na kejeli mitandaoni na mitaani. Hatimaye yanga imetolewa CAF CHAMPIONS LEAGUE. Msimu ya 2022/23 baada ya kupokea kipigo kikali kutoka kwa wasudani Al hilal cha bao moja kwa bila. Yanga Walikuwa wanaongea sana mpira wa mdomoni bila kuongelea mpira...
  19. Kibenje KK

    Kuna uwekezaji wa faida na uhakika Tanzania kama Kwenye Ardhi?

    Ni swali hili. Niko kwenye Biashara hii muda wa miaka miwili sasa, kiwanja unaweza kununua asubuhi 4M. Jioni akaja mtu anataka umuuzie kwa 5M. Ardhi haishuki thamani. .... Kuna hivi nauza✍️ Unatafuta kiwanja sehemu nzuri iliyojengeka, karibu, Usafiri usiosumbua na mahali palipo na huduma zote...
  20. The Sheriff

    Uwekezaji Katika Elimu ya Msichana Unaweza Kubadilisha Dunia Nzima

    Uwekezaji katika elimu ya msichana unaweza kubadilisha jamii, nchi na dunia nzima. Wasichana wanaopata elimu wana uwezekano mdogo wa kuolewa wakiwa chini ya umri na wana uwezekano mkubwa wa kuishi maisha yenye afya na yenye mchango mkubwa kwa jamii. Elimu kwa binti ni suala kubwa zaidi ya...
Back
Top Bottom