Habari ya asubuhi wana Simba. Nina mawili ya kusema:
Hivi ni kweli Simba imepokonywa bus na wale wawekezaji? Kama ni kweli hii ni aibu kubwa kwa timu kubwa kama Simba kukosa bus la mil 200. Hebu imagine unamkataba na Azam, unamtangaza MO kwenye jezi za Simba, una mkataba na M-bet wa 26B. Mechi...