Kulingana na matukio ambayo yameanza kujitokeza ya uhalifu nazishauri Mamlaka sasa ziwezeshe vifaa vya utambuzi kama Camera kwenye maeneo ya kuingilia kigamboni kwa maana ya Ferry na Daraja la Mwalimu Nyerere ili kwa kiasi kudhibiti matukio ambayo yameanza kujitokeza hasa ukizingatia kuwa...
Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayesimamia Kanda ya Afrika Mashariki na Kusini, Victoria Kwakwa, amesafiri kwa njia ya Treni ya Kisasa-SGR kuanzia Dar es Salaam hadi Dodoma ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku 3 nchini Tanzania kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Benki ya...
Iran
Tovuti kubwa ya habari duniani Reuters imeripoti kuwa "Nchi zinazopatikana katika ghuba ya Uajemi (Persian Ghulf states) zitakazo saidiana na Israel kuishambulia Iran katika visima vyake mafuta (oil facilities) , hazitabaki salama. Iran itajibu mapigo kwa kuangamiza oil facilities zote...
Kuna watu wamemlaumu raisi Samia moja kwa moja kwamba anahusika na utekaji na uuaji unaofanyika nchini kwa sababu kuna viashiria vikubwa sana vyombo vya dola vinahusika katika uhalifu huu.
Lakini je, ni kweli kwamba raisi Samia anahusika moja kwa moja na utekaji na uuaji unaofanyika nchini hivi...
Nia na dhamira yake njema kwa waTanzania, Record yake nzuri ya maendeleo yanayoonekana kwa wanainchi kijamii, kisiasa, Kitaifa na kimataifa ndani ya muda mfupi sana, ndiyo inambeba zaidi Dr.Samia Suluhu Hassan, na kumuhakikishia ushindi wa kishindo wa urais 2025, atakapogombea nafasi hiyo ya juu...
Huenda haitazidi ijumaa ya kesho..
Akisubiri kubanduliwa na bunge bila kujiuzulu, basi atakua amejiondolea mwenyewe sifa na vigezo vya kikatiba kuwania nafasi za uongozi wa kisiasa wala, kushikilia nafasi yoyote ya utumishi wa umma nchini Kenya. Kwa lugha nyingine, atakua amajifungia maisha...
Wakati ukuta, tuliwahi kusema na watu walisema MICHAEL CLIFFORD anaenda weka majina ya wote walioshiriki katika unyama wa Lissu.
Kwakua tulizoea wafunga mdomo watanzania je tutaweza mfunga mdomo Michael Clifford?
Wanabodi,
Mabandiko mengine sio mabandiko ya kitoto!, ukijiona huelewi, we jipitie tuu!.
Angalizo la Alama ya Kuuliza "?".
Mimi mwenzenu jameni, nimewahi kuitwa mahali na kufikishwa mbele ya kamati fulani kwa kutuhumiwa nimesema statement fulani!, kumbe masikini mimi, sikutoa statement...
Watu wote mnaofikiri mna mawazo bunifu manakaribishwa kuyaendeleza mawazo yenu kupitia usaidizi wa shirika lisilo la kiserikali la ResearchLink International.
Tafandhali jaza fomu iliyopo katika link hapo juu, submit na fuatilia e-mail kwa maelezo zaidi. Wazo lako linapaswa kuwa la kipekee sana...
kama mazungumzo na makubaliano yao yatamalizika vizuri kama yalivyo anza, na wakaafikiana vyema, basi ni wazi mungwana anakwenda kuchukua nafasi muhimu sana ya uongozi wa juu kitaifa ndani ya ACT WAZALENDO...
demokrasia ndani ya vyama vya siasa inashamiri na kusitawi vyema, na kwakweli inazidi...
tunafahamu kuwa ujamaa ni mfumo bora ambao ndani yake kuna baraka kubwa kutoka kwa mungu,kawaida mungu hutaka watu wake wajumuike ili kumuabudu na kumsifu kwa pamoja,kuishi,kumiliki na hata kufa na kuzikana kwa pamoja,lakini naweza kusema ujamaa ni mfumo wa mbinu/mchakato katika kujenga ubepari...
Habari.
Miaka michache iliyopita nilipata mkasa wa kuungua nyumba niliyokuwa naishi na moja ya vitu vilivyoungua ni hati ya kiwanja. Je kuna uwezekano wa kuomba nyingine idara ya ardhi? Kwa sasa nimebaki na photocopy tu. Naomba kama kuna mwenye uelewa au aliyewahi kupatwa na mkasa kama wangu...
Haji Manara leo amejikweza sana kwenye redio yao ya unafiki na umbea mwingi akidai kuwa yeye ndio msemaji wa Yanga na mkataba wake unasema hivyo, ametamba sana na kuitisha Simba isipeleke timu tarehe 8 akidai watafanya mauaji, akaahidi kuwa endapo Simba hatofungwa chini ya bao 4 atarudi pale...
Naona CCM inatumia nguvu nyingi sana kusajili wanasiasa wazuri kutoka CHADEMA .
Ni wazi CHADEMA kuna vichwa , Nadhani ni vyema 2025 waangane tupate viongozi wazuri .
Muwe na siku njema
Wadau hamjamboni nyote?
Siyo maneno yangu Bali nukuu kutoka Kwa Mtume Anthony Lusekelo
"Uwezekano wa matajiri kuingia mbinguni ni 70% na uwezekano wa masikini kuikosa mbingu ni 99.9%, Mungu huwa hatembei na malofa(masikini) na amesema asiwaone malofa kanisani. Mungu amekataa watu wasije...
Ni dhahiri uwezekano wa mwanamke kuiongoza Tanzania hadi 2050 ni bayana, na ni mkubwa mno, ukilinganisha na uwezekano wa mwanaume yeyote humu nchini.
Elimu, uadilifu, uzoefu wa uongozi katika utumishi wa umma kitaifa na kimataifa, weledi katika kazi, sifa, vigezo na masharti ya kikatiba na...
Fuatilia kwa umakini maswali anayo muuliza.
Kitalaamu tunaita leading questions.
Yaani anamuuliza maswali ya majibu aliyonayo tayari .
Lafudhi yake tu. Inaonyesha sio mtu wa Katavi.
Cc Jebra Kambole
Sina nia yakubeza au sema vibaya ila kwa sasa ni dhahiri shahiri kiongozi wetu anashauriwa vibaya.
Tuanze na sakata la dollars kukosekana jamaa walimvika ubaya alie mwachia kiti manikins ya Mungu wakalipa mafidia na nakuachia uru sects ya fx wajanja wakakomba nakuzipeleka kusiko julikana Leo...
Nipo najaribu kutafakari nawezaje kufanikiwa from nothing yaani ile zero to something nakosa majibu wakati Mimi nakosa majibu Kuna mtu anatoa ushuhuda wa kuanza na biashara ya mtaji wa elfu kumi mpaka kufanikiwa kumiliki biashara ya mamilioni inawezekanaje wakuu.?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.