Japo kwa sasa wanasema chanjo ni hiyari, lakini ninapenda kuwahakikishia huko mbeleni hakuna ofisi yoyote ya Serikali utakayoweza kuingia bila ya kuwa na kibali cha chanjo.
Kwa namna moja au nyingine itatulazimu na sisi tusiotaka kuchanjwa tuchanje bila kupenda maana hatutakuwa na jinsi.
Kwa...
Habari wadau
Tukumbuke tarehe 25/07/2021 kutakuwa na mechi kati ya Simba na Yanga utabiri wangu unanambia hii mechi inaweza isichezwe.
Sababu ni hali ya Corona nchini iwapo serikali kupitia wizara itaamua kuchukua tahadhari zaidi kuzuia maambukizo, ukizingatia mechi itapigwa Kigoma ambako rate...
Unafiki. Ni hali ya mtu kutenda au kuongea maneno tofauti na yale anayowaza akilini. Kama vile kusema jambo fulani ni zuri ilihali nafsini mwake anajua ni baya.
Nchi hii wanaweza kusema wanakuchukia na kukutukana kila kona kumbe ukweli ni kuwa wanakupenda sana ila wanaona aibu kuonyesha hisia...
Kutokana na mfumo wa Jeshi la polisi ulivyo, kitengo Cha CID kipo chini ya jeshi Hilo ambapo mkuu wa kitengo hicho ni mmoja wa wasaidizi wa IGP anayeshughulika na upelelezi wa makosa makubwa ya Kijinai "serious offences/crimes"
Hivyo kiutendaji watumishi katika kitengo hicho wanategemewa kuwa...
Habari wakubwa, kuna laini nilikuwa natumia ya airtel sikuisajili kwa vidole (ilifungiwa), juzi hapa nimepata namba ya NIDA sasa kabla sijaenda kuikamilisha wezi wameniibia simu ambapo hiyo laini ilikuwa ndani niliiweka tu.
Kuna uwezekano wa kurenew laini ya namna hii?
Mwanzo niliisajili kwa...
Na Anderson Ndambo.
Kuna mambo yanahitaji jicho la Tatu kuyaona na pengine kuyaamini. Tabia mojawapo ya siasa ni kubadilika badilika kulingana na majira na wakati kutokana na sababu za wakati husika, lakini kwa Tanzania mabadiliko haya yamekuwa na kasi kubwa mno, hicho si kitu cha kawaida, kama...