Hili swali ni muhimu kwangu, naomba majibu yanayojitosheleza.
Katika taratibu za nchi na za kimataifa, inawezekana kwa mtu kuwa na identity zaidi ya moja?
Huko nyuma kuna watu mfano waandishi wa vitabu walitumia 'fake names' katika baadhi ya machapishi yao kutokana na sababu mbalimbali ili...
Mzuka Wanajamvi!
Kutokana na hali ya vita huko Ukraine hali inazidi kuwa tete. Na leo kwenye hotuba yake Putin ameendelea kusisitiza hatanii kutumia mabomu ya nyuklia.
Na uwezekano wa kizitumia ni mkubwa kwasababu anapokea mkong'oto wa haja kutoka majeshi ya Yukrein.
Hii itasababisha vita ya...
Wengine wanaona kura za maoni kama jaribio la Kremlin kuanzisha upya vita.
Ikiwa Urusi itachukua maeneo haya inaweza kupeleka mzozo katika kiwango kipya na hatari zaidi, huku Moscow ikionyesha juhudi zozote za Ukraine kuyarudisha maeneo hayo kama shambulizi dhidi ya eneo lake huru.
Kuunganisha...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako amesema uamuzi wa kuongeza malipo ya kila mwezi utafanyika baada ya tathimini kuona uhimilivu wa mifuko ya Hifadhi ya Jamii.
Ndalichako alikuwa akijibu swali kuhusu kuwalipa warithi 67% ya...
Ukisoma maoni ya Wakenya katika video hiyo sio team Kenya Kwanza wala team Azimio wote wamesikitika.Vilevile,ukifuatilia mijadala mingi ya watubalimbali huko Kenya inaonekana kuna shida kwenye Tume ya Uchaguzi.
Wanabodi,
Leo nimepata tena fursa kuendelea na zile makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, ila makala ya leo ni abstract topic, kuielewa mtu ni lazima uwe na levels fulani za uelewa!
leo nikizungumzia kitu kinachoirwa "kauli umba". Kuna hii misemo "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni...
Mada hapo juu yahusika.
Upo kwenye 40s, hakuna nyumba, hakuna gari, hakuna shamba lililosimama, miradi imeanguka.
Ukiangalia salary slip, viraka kibao mpaka haishoneki tena, taasisi zinakimbizana kuchuma.
Mpaka kiraka cha mwisho kinatoka ni miaka kama 6 hivi mbele na hapo, kama kila kitu...
Swali hili watu hujiuliza kwa mda sana nikiwepo na mimi kama kunauwezekano wa kutengeneza kipato kwa kupitia Internet..........
Basi wakat wa zamani kulikua na app nyingi zinazotoa mda wa maongezi baada tu ya kujiunga na unawaza pata hata elf 5 mda wa maongezi kwa siku lakini siku hizi naona...
Wananchi hawana mbadala wa kuipachikia CCM ila ukweli ni kuwa hawaitaki tena. Sio wazee wala vijana.
Tozo, ufisadi upendeleo umekithiri ndani ya CCM huku raia wakiwa hoi kimaisha.
ACT Wazalendo ni mamluki waganga njaa. Hawapo kwaa ajili ya kumsaidia mwananchi aondokane na utawala usiofaa wa...
Mdogo wangu kapata matokeo ya DIVISION THREE ya pointi 22.Katika masomo yake amefeli somo la fizikia na hesabu (Physics and Mathematics) ana daraja "F",Kemia na baiologia(Chemistry and Biology) ana daraja "C" ,Masomo mengine ya Sanaa(Kiswahili, History, English Language, Geography) kafaulu pia...
Wore tunakumbuka kuwa Freeman Mbowe aliahidi kuachia nafasi ya mwenyekiti wa Chadema ifikapo 2023
Tena alisema anatamani nafasi take ichukuliwe na mjumbe wa Bawacha
Ila kea hiki kikosi kazi kipya cha wajumbe 20 kutoka Chadema na CCM kinavhoratibu siasa za Tanzania mpya ni wazi Mbowe itabidi...
Habari!
Haya ni maoni yangu baada ya kufanya uchambuzi mfupi.
Huyu jamaa Haji Manara huenda nyota ya mafanikio iko mikononi mwake au kuna siri muhimu juu ya mpira wa miguu Tanzania anazijua ndizo zinazompa nguvu ya ushindi.
Imagine Yanga tuliburizwa na Simba sports miaka kadhaa tukiachwa na...
Tangu mwaka wa kwanza trilioni 1.5 ilipigwa nzima nzima, hii alisema Assad na kuanzia hapo akawa hasimu ya JPM, miaka 6 jamaa katuibia ngapi na ziko wapi?
Shirika la haki za binadamu la Human Rights Watch limeitolea wito serikali ya Ukraine kuanzisha uchunguzi juu ya kile kinachoweza kuwa uhalifu wa kivita, baada ya kuibuka mkanda wa vidio unaowaonyesha wanajeshi wakiwapiga risasi miguuni wafungwa wa kivita wa Urusi.
Mkanda huo ulioanza kusambaa...
Habarini wanaJF,
Moja kwa moja kwenye hoja.
Je, kuna uwezekano wa kuvipata hivi vitabu aidha softcopy au hardcopy kwa majina vinaitwa:
"TEMPTETATION AND OTHER STORIES" mwandishi anaitwa AGORO ANDURU
"YOUR ROOTS GRANDSON AND OTHER STORIES" mwandishi ni LAWI JOEL.
Ni vizuri sana yaani sana...
Vyama vya Kisiasa vinatarajiwa kukutana ili kujadili shambulio la Urusi dhidi ya Ukraine, ikielezwa uvamizi wa Urusi umesukuma Umma karibu zaidi na NATO. Uwezekano wa Taifa hilo kujiunga na NATO pia utajadiliwa.
Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Sanna Marin amesema ni jambo la kueleweka kuona Raia...
Habari za wakati huu wakuu?
Natamani kujua, maana kuna Watu unaweza kudokezewa kuwa ni pandikizi but ukiwaangalia hawako strong,yaani ni wa kawaida tu kama mtu ambae hajapitia mafunzo. Je,kuna uwezekano wa kuifanya Kazi Hii bila kupitia mafunzo ya Jeshi?? Hasahasa kwa hawa informers?
Kesi ya mauaji hasa katika mazingira ya kile kilichotokea Mtwara tulitegemea vyombo vya habari viwe na picha za kufikishwa Mahakamani na kufunguliwa mashtaka wahusika lakini Hadi Leo tofauti na taarifa ya RPC hakuna uthibitisho mwingine wa independent part katika kesi hii. Je angekuwa raia wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.