Ukitaka kujua maana ya halisi ya pesa au mtu anayeishi maisha ya kifahari basi nenda kamtazame Floyd Sinclair Joy Mayweather Jr.
Huyu jamaa hakupewa nickname ya "Money" kwa bahati mbaya ana deserve jina na analitendea haki sana.
Baada ya kufanya kufuru ya matumizi huko S.Africa kuna hatihati...
Kwa Siku kadhaa sasa mifumo ya bandari haifanyi kazi hivyo kupelekea wadau ktk Masuala ya forodha kukwama kutoa mizigo mbalimbali.
Mkwamo wa System Kwa muda mrefu huleta usumbufu mkubwa ,hasara kubwa na taswira hasi kuhusu bandari na Taifa Kwa kuzingatia ushindani uliopo ktk ukanda tuna bandari...
Habar wadau !!!
Nimejaribu pitia majarida kadhaa uko mtandaoni zipo tafiti nyingi zinafanywa na wanasayansi kujua km upo uwezekano wa mtu mzima kuota meno km ilivyo kwa viumbe km papa.mamba nk
inasemekana kuwa ili jino liote itahitajika stem cell katika fizi ili ikuwe na kuwa jino zipo...
Tafadhali Poti wangu Musiba kuna Demu Mmoja wa Kihaya na Kinyiramba si tu ananisumbua bali ananikondesha pia kwa Kunikatalia kunipa 'Tamu Baioloji' yake.
GENTAMYCINE nipo chini ya Fito zako naomba unipe Namba yake / zake za Simu ili nimpigie anifanyie Kazi yangu ifanikiwe ning'oe Mzigo kama...
Peter Watson, aliyekuwa profesa wa Fizikia tangu mwaka 1984 katika Chuo Kikuu cha Carleton. Amefundisha zaidi ya kozi 25 tofauti, katika ngazi zote, na pia amesimamia wanafunzi wengi wa shahada ya uzamili na uzamivu. Kazi yake ya utafiti imekuwa zaidi katika fizikia ya nadharia, na amechapisha...
Urusi ndio taifa pekee ambalo limekua likipelekeshana na Marekani kichwa kwa kichwa kwenye masuala yote yakiwemo ya kijeshi tangu tangu, Marekani ilijaribu mbinu nyingi sana za kuizamisha Urusi ila ikawa ngumu, hawakua wanaingilika.
Lakini chini ya uongozi wa Putin, Urusi imeshushwa mpaka basi...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala za kwa maslahi ya taifa.
Makala ya leo ni jinsi Watanzania wanavyoishadadia Ripoti ya CAG ya mwaka huu kushangalia ufisadi, as sasa ndio kuna ufisadi saana, kumbe kwa miaka 10 mfululizo ripoti za CAG zinaonyesha ufisadi na tena...
Chama cha Mpira barani Ulaya UEFA, inaichunguza timu ya Barcelona juu ya madai ya kuilipa kampuni ya Jose Mara Enriquez Negreira ambaye ni Makamu wa Raisi mstaafu wa chama cha marefa Hispania.
Nyaraka za mahakama zinaonesha kuwa, Barcelona imelipa kiasi cha €7.3m ambayo ni sawa na paundi 6.5m...
Wataalam wa China wamesema, hatua za karibuni za nchi za Magharibi za kuendelea kuitenga na kuongezea vikwazo Russia zinaondoa uwezekano wa mazungumzo ya amani, na badala yake, zitasababisha umwagaji damu zaidi katika mgogoro kati ya Russia na Ukraine.
Wataalam hao wametoa kauli hiyo baada ya...
Habari wanajamvi. Hili wazo nimekuwa najiuliza kama Kuna uwezekano wa kutumia satelaiti ( low orbit satellites) ambazo zinaweza kutupa images za kubaini matukio ya uhalifu kutoka angani na kuwabaini wahusika ili kuondokana na haya mambo ya "watu wasiojulikana".
Kama tukio limetokea Magali basi...
Wanabodi,
Japo Tanzania tuna makampuni mengi, na hakujawahi kufanyika survey yoyote ya mashindano ya makampuni kuwapenda Watanzania, kungefanyika mashindano hayo, kuna uwezekano kampuni ya mafuta ya TotalEnergies ikawa ndio kampuni inayoongoza kwa upendo kwa Watanzania?.
Ni kufuatia upendo kwa...
Hivi karibuni, Kenya wameonekana wakiimega Tanzania kutoka bara la Afrika na kuanzisha bara jipya ambalo linahusisha Kenya na Tanzania.
Taarifa nyingi zinaonesha matamanio makubwa ya Kenya kuwa sehemu ya Tanzania.
Je, muungano wa Kenya na Tanzania ni jambo linalowezekana? Wacha muda uongee.
Waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu amesema Jumatano kwamba serikali yake haijaondoa uwezekano msaada wa kijeshi kwa Ukraine.
Awali, Israeli ilisisitiza kuwa itatoa msaada wa kibinadamu pekee, ambao nchi hiyo imekuwa ikiutoa kwa Ukraine tangu mwanzoni mwa vita.
Kulingana na Netanyahu...
Baada ya necta kuja na utaratibu mpya wa kutotangaza shule vinara kwa kila upande ni wazi wametoa fursa kwa wadau kufanya utafiti juu ya matokeo haya na kufanya uchambuzi.
Pamoja na necta kujaribu kuficha ukweli hasa kuhusu shule za serikali lakini ukitazama matokeo utaweza kuzipanga shule .na...
Imezoeleka watu kukataza wengine kutumia simu za mkononi wakati wa mvua sababu ya radi. Utafiti unaonyesha kuwa kutumia simu za mkononi hakuongezi uwezekano wa kupigwa na radi. Simu inatumia mawimbi ya radio ambayo hayavutii umeme.
Lakini wanasema kuwa haupaswi kutumia simu ilichomekwa kwenye...
"Wall and underground concealed conduit wiring"
Habari wakuu,
Ningependa kuelezea aina hii ya ufungaji umeme kwenye makazi,tofauti na ule wa kupitisha waya juu ya dari na ukuta.
Katika mfumu huu kiasi kikubwa cha wire zinapita katika ukuta na chini ya sakafu.
Mara nyingi upitishaji wa...
Hayo yamependekezwa na mshauri wa ufundi wa Argentina fc kupitia wizara ya michezo na burudani baada ya kuona kiwango cha messi na wachezaji waandamizi wakishindwa kuifunga hata saudi arabia huku upande mwingine mayele akizidi kutupia kila mechi zaidi ya goli moja au mbili.
Ingawa...
“Today there is spare capacity that is extremely low,” Saudi Aramco CEO Amin Nasser says at a conference in London. “If China opens up, [the] economy starts improving or the aviation industry starts asking for more jet fuel, you will erode this spare capacity.”
Nasser warns that oil prices...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.