uwt njombe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Pindi Chana, Rebecca Nsemwa waibuka kidedea UWT Njombe, wawashinda wagombea 6

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Pindi Chana na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilolo, Rebecca Nsemwa wameibuka kidedea katika kura ya maoni ya kumtafuta mwakilishi wa Umoja wa Wanawake (UWT) mkoa wa Njombe kwa nafasi ya ubunge wa viti maalum CCM. Wawili hao wamepata kura 700 na 588 mtawalia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…