uwt

The University of Washington Tacoma (UW Tacoma) is a public university in Tacoma, Washington. It is a satellite campus of the University of Washington. UW Tacoma opened in leased space in 1990 and opened its permanent campus in 1997.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    Kwanini UWT ni taasisi ya CCM? Kwanini isiitwe Umoja wa Wanawake wa CCM (UWCCM) halafu UWT ikawa umoja wa wanawake wote Tanzania?

    Inashangaza kuona kwamba UWT ni taasisi ya CCM. Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) unapaswa kuwa umoja wa wanawake wote Tanzania bila kujali itikadi ya vyama. Wanawake wa CCM waanzishe umoja wao kama ilivyo BAWACHA kwa CHADEMA, n.k. CCM kiache kupora taasisi na mali nyingine za umma na kuzifanya...
  2. Stephano Mgendanyi

    Fatma Rembo achangia Milioni 2 UWT Mufindi, aahidi kutoa pikipiki Wilaya zote za Iringa

    MHANDISI FATMA REMBO ACHANGIA MILIONI 2 UWT MUFINDI NA KUAHIDI KUTOA PIKIPIKI KWA UWT WILAYA ZOTE MKOA IRINGA. Mjumbe wa Baraza Kuu la UWT Taifa Ndugu Fatma Rembo mnamo tarehe 11 Machi, 2023 amefanya Ziara Wilaya ya Mufindi ambako aliambatana na Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Iringa ndugu Zainab...
  3. Stephano Mgendanyi

    Ziara ya Eng. Fatma Rembo - Mjumbe wa UWT Taifa Mkoa wa Iringa

    ZIARA YA ENG. FATMA REMBO - MJUMBE WA UWT TAIFA MKOA WA IRINGA Mjumbe wa Baraza la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa 2022-2027 Kutokea Mkoa wa Iringa Ndugu Eng. Fatma Rembo amefanya ziara maeneo mbalimbali Mkoa wa Iringa na kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani. Eng. Fatma...
  4. NALIA NGWENA

    Mwenyekiti na Katibu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) yawapasa mjiuzulu nyadhifa mlizochaguliwa na wapiga kura wenu kutoka

    Bila kukupesa macho niende moja kwa moja kwenye pointi hapo juu Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza. UWT ni umoja wa wanawake Tanzania hakika ni moja Kati ya jumuiya yenye nguvu kubwa sana katika Chama Cha mapinduzi maana wanawake ni jeshi kubwa. Nimesikitishwa sana siku ya wanawake duniani...
  5. Stephano Mgendanyi

    Juliana Shonza afanya ziara ya kimkakati

    MHE. JULIANA SHONZA, MBUNGE (UWT) CCM VITI MAALUM MKOA WA SONGWE AFANYA ZIARA YA KIMKAKATI Katika ziara yake iliyoanza mnamo tarehe 18 Februari, 2023 Mhe. Juliana Daniel Shonza alifika Wilaya ya Ileje na kubisha hodi kwa Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ileje komredi Hassan...
  6. Stephano Mgendanyi

    Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Igunga wazindua ujenzi wa nyumba ya Katibu wa Wilaya

    Umoja wa Wanawake (UWT) Wilaya ya Igunga umetumia Siku ya tarehe 29 Januari 2023 kufanya uzinduzi ujenzi wa nyumba ya Katibu wa Wilaya ikiwa ni muendelezo wa matukio mbalimbali yanayofanywa na Jumuiya za Chama cha Mapinduzi (CCM) kuelekea mahadhimisho ya Miaka Arobaini na Sita ya Kuzaliwa kwa...
  7. Stephano Mgendanyi

    Mbunge wa Viti Maalum UWT Mkoa wa Pwani Hawa Mchafu amekabidhi vifaa vya michezo kwa vijana wa Raja Sports Academy

    Mbunge wa Viti Maalum (UWT) CCM Mkoa wa Pwani Hawa Mchafu amekabidhi vifaa vya michezo (Mipira na Jezi) kwa vijana wa Raja Sports Academy iliyopo Kata ya Mtongani Wilaya ya Kibaha Vijijini Mkoa wa Pwani. Hawa Mchafu(Mb) katika ziara yake ameungana na timu ya Madiwani wa Viti Maalum wakicheza...
  8. angelina kabeta

    Aibu: UWT mbeya, jengeni jumuiya yenye nguvu sio machawa wa Mbunge

    Inasikitisha sana kwa taasisi kubwa ya chama chetu kutokemea na kusahihisha upumbavu kama anao fanya huyu naibu waziri wa maji kwa wanawake wa mkoa wa mbeya. Mimi kama miongoni wa wajumbe wa mkutano mkuu wa wanawake niliitikia wito wa jana kwenda pale tughimbe kwamba tumeitwa na mbunge wa...
  9. BARD AI

    Mwenyekiti wa Jumuiya wa Wazazi CCM Dar awakataa "Machawa"

    Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi mkoa wa Dar es salaam, Khadija Ally Said amekataa tabia ya makada wa chama hicho kumsifu hovyo (uchawa), huku akiwataka wafanye kazi kwa ushirikiano bila kujiona miungu watu. Amesema kufanya hivyo kutasaidia kufanikisha utekelezaji wa dira ya jumuiya hiyo...
  10. Teko Modise

    Mwenyekiti wa UWT: Tunaziomba taasisi mbalimbali duniani zimpe Rais Samia tuzo

  11. Chakaza

    Baada ya Kauli ya Rais Samia, Waliomtukana Dkt. Bashiru wamuombe radhi

    Wana-CCM kindakindaki na machawa ambao mlijikita katika kumshambulia Dkt. Bashiru kwa kauli yake kwa Taasisi ya Wakulima juu kumsifia sifia Rais badala ya kutimiza malengo yao ya kutetea wakulima wamepigwa stop. Akizungumza katika kufungua mkutano wa UWT Rais aliwaonya na kukataa mabango ya...
  12. J

    PONGEZI: Mary Pius Chatanda Mwenyekiti Mpya UWT, Rais Samia aitaka UWT kuwaunganisha na kuwakwamua wanawake nchini

    RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 10 UWT JIJINI DODOMA. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan azungumza na Viongozi, wageni mbalimbali pamoja na Wajumbe wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) akifungua Mkutano Mkuu...
  13. J

    Moto wa Kabaka: Wajumbe mkutano mkuu UWT wamekubaliana kwa kauli moja Kabaka mitano tena

    KABAKA MITANO TENA MGOMBEA NAFASI YA MWENYEKITI UWT TAIFA Wajumbe kwa kauli Moja wamekubaliana kumchagua kwa awamu nyingine (MITANO TENA) ndugu Gaudensia Kabaka ili kuendeleza Yale mazuri aliyoyaanzisha ili yaweze kukamilika na kuyasimamia yale yaliyokamilika. Kauli hiyo imekuja siku chache...
  14. J

    UWT taifa tunakwenda na Gaudentia Kabaka nafasi ya Mwenyekiti

    UWT TAIFA TUNAKWENDA NA Comred. GAUDENTIA KABAKA Mchague GAUDENTIA M. KABAKA Mgombea nafasi ya Mwenyekiti UWT Taifa #Daraja Bora la Maendeleo ya Chama, Serikali na Wananchi.
  15. DodomaTZ

    Job Ndugai akwama kongwa Wanaccm wawabwaga yeye na wagombea wake aondoka ukumbini bila kuaga, awatishia UWT kukosa mikopo

    Spika Mstaafu wa Bunge la 11, Job Ndugai amejikuta katika aibu kubwa baada ya wanachama wa CCM Wilaya Kongwa katika JUMUIA YA WAZAZI NA UVCCM kuameamua kujiondoa katika mfumo wa ubabe, kupelekeshwa, amri za hapa na pale za nani achaguliwe katika uongozi wa CCM Wilaya Kongwa. Katika chaguzi...
  16. PendoLyimo

    Mbunge wa Temeke akutana na makatibu UWT uwezeshaji wa elimu ya biashara

    Leo Tarehe 13/01/2021, Mhe. Dorothy George Kilave, Mbunge wa Jimbo la Temeke, amekutana na Makatibu wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) kutoka katika Kata zote za jimbo la Temeke. Kikao hiki ni kikao cha Maandalizi ya Program Maalumu ya Uwezeshaji wa Elimu ya Biashara na mikopo Kwa kina mama...
  17. J

    Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo apongeza Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)

    CHONGOLO AWAPONGEZA UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA (UWT) Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amewapogeza Jumuiya ya umoja wa wanawake Tanzania (UWT) kwa kazi kubwa wanayoendelea kuifanya katika maeneo mbalimbali nchini ikiwa ni pamoja na kuandikisha wanachama wapya...
  18. T

    UWT ndio nini?

    Ilianzishwa lini, Malengo yake ni yapi? Ni miongoni mwa vyama? UWT?
  19. chiembe

    SSH-2025 Brigade, namuona Easter Bulaya, Halima Mdee mguu kwa mguu na UWT & CCM kumsimika Mama katika Urais 2025

    Nadhani huu ni mkakati bora kabisa ambao utasisimua siasa kuelekea 2025, utaua women wing ya chadema na hata ya vijana. Halima Mdee na Easter Bulaya na troop nzima ya wanoitwa Covid ni "dhahabu" ya kisiasa inayomezewa mate na CCM, japo chadema wamekomaa kuwachafua, wamebalansi hali yao...
  20. beth

    Rais Samia: Naamini Tanzania bila Rushwa inawezekana

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Maendeleo ya Nchi huletwa na Wananchi wake. Amesema hayo akiwa kwenye Mkutano wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Zanzibar. Amesema Sheria za Tanzania Bara na Zanzibar zimetoa Uhuru (usiovunja Sheria) kwa watu kufanya kazi. Ameongeza kuwa ataendelea...
Back
Top Bottom