uwt

The University of Washington Tacoma (UW Tacoma) is a public university in Tacoma, Washington. It is a satellite campus of the University of Washington. UW Tacoma opened in leased space in 1990 and opened its permanent campus in 1997.

View More On Wikipedia.org
  1. Mahojiano ya Membe: UWT mpo wapi?

    Kutoka katika mahojiano yake na gazeti la JAMHURI: "Unaambiwa kiongozi huyu anabaka ofisini, lakini hadi anashitaki fulani amenifanya hivi au vile ili nipate kitu fulani, na kuna vitu vinajulikana vya wazi kabisa". Ikumbukwe hapa inaongelewa CCM. Hoja: Kwa nini UWT isilivalie njuga hizi...
  2. Nukuu za Rais Samia katika kilele cha wiki ya UWT

    NUKUU ZA RAIS SAMIA KATIKA KILELE CHA WIKI YA UWT. "Tumekutana hapa kwa madhumuni makuu mawili, moja ni kuadhimisha kilele cha Wiki ya UWT Kitaifa na jambo la pili ni kumuenzi Hayati Bibi Titi Mohamed na tena aenziwe hapa nyumbani kwake Rufiji" "Historia ya Bibi Titi Mohamed imeandikwa...
  3. UWT kumuenzi Bibi Titi Mohamed

    UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA (UWT) KUMUENZI BI TITI MOHAMED (1926 - 2000) Leo nimetembelewa na Waandishi Maalum waliokuja nyumbani kwangu tufanye kipindi kuhusu maisha ya Bi. Titi Mohamed ambae taifa limeamua kumuenzi kama tangazo linavyoonyesha hapo chini. Nimejitahidi kumueleza Bi. Titi kadri...
  4. P

    UWT Taifa mpo?

    Hamsini kwa Hamsini mnachangia kuidhofisha kama hamuwezi hata jitokeza mkawa wakali kuhusu usukani mlionao. Hii ni turufu yenu ambayo Mungu aliwapa tangu March 2021.Hakuwambia sasa mshindwe ninyi Bali alisema naamuru na iwe hivi Hamsini kwa Hamsini. Muna nafasi kubwa yakuandika historia...
  5. Nilichokiona leo Dodoma hakina afya kwa mustakabali mzima wa ustawi Taifa letu, tujirekebishe kwa maslahi mapana ya Taifa

    Wote tunafahamu msemo usemao umoja ni nguvu,na utengano ni udhaifu. Hakuna shaka yeyote kwamba penye mafarakano hakuna mafanikio. Bwana Yesu alipoambiwa kwamba anatoa pepo kwa kumtumia Belzebuli, alisema, "nyumba ikifitinika haiwezi kusimama!" Leo kule Dodoma nimeona nyumba ya mama Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…