uzalendo

Chama Cha Uzalendo (English: The Patriotic Party) is a Kenyan political Party that was one of several affiliates of Mwai Kibaki's Party of National Unity in the 2007 general election. It is currently headed by veteran politician and former Nakuru North Constituency Member of Parliament Koigi Wamwere and had two elected Members of Parliament in Central Imenti's Gitobu Imanyara and Wavinya Ndeti in kenya's 10th Parliament.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Uzalendo sio kuvaa nguo zilizoshonwa kwa vitenge vya bendera ya Taifa

    Watu wengi tumekuwa katika fikra ya kwamba uzalendo ni kuwa tayari kuipigania nchi yako. Huo ndio ukweli lakini uzalendo pia unaambatana na mapenzi ya dhati kwa taifa lako. Mapenzi haya ndio watanzania wengi tunayakosa yaani hatuna uchungu na Taifa letu la Tanzania pamoja na rasilimali zake...
  2. J

    Uzalendo sio kuwa chawa wala kusifia Serikali

    Katika miaka ya kuanzia 2015 Zana nzima ya uzalendo imekuwa ikipotoshwa Sana. Kipindi cha awamu ya tano neno uzalendo liligeuzwa kuwa ni Hali ya mtu kusifia serikali na w viogozi wake. Ikifika mahali mtu yoyote akikosowa serikali au kiongozi akawa anaitwa msaliti au kibaraka. Na wale walio...
  3. Pang Fung Mi

    Nasikitika nimeanza kukosa msisimko wa upendo na uzalendo ninaposikia na kusoma neno Tanzania

    Kwa namna mambo yanavyoenda, mienendo, tabia, maamuzi ya viongozi wa Serikali kuhusu masuala nyeti ya kitaifa katika nyanja mbalimbali nimeishiwa kiu ya kuipenda Tanzania. Hata jezi ya timu taifa na bendera ya taifa sijui navionaje am not proud either, hata nikisikia wimbo wa Taifa sina mzuka...
  4. Nyankurungu2020

    Uzalendo umeshuka na kutoweka kwa Watanzania bada ya Rais Samia kurithi Urais. Watanzania hawamuaamini kwa kila kila jambo

    Mitaani anaonekana ni rais anaendesha nchi kama picha tu huku wanaomua nchi iende vipi wapo kando . Ameonekana ni rais ambaye hana maamuzi ya msingi. Wanaoiba mali za umma kwa ufisadi mkubwa yuko nao. Watumishi wa hali ya chini wakiiba hata mil 5 anag'aka. Anaendesha nchi kwa kwa kudhibitiwa...
  5. M

    Uzalendo wa Hayati Mwalimu Nyerere na Sokoine hakuna kiongozi wa kuufikia

    Wadau nawasabahi. Naomba tuambizane ukweli. Toka vifo vya mwalimu Julius Nyerere na Edward Sokoine nchi yetu imekosa kabisa viongozi wenye uzalendo na nchi hii. Hayati Nyerere na sokoine hawakuruhusu raslimali za nchi zichezewe au ziuzwe Hawakuruhusu fedha za umma ziibiwe na wajanja...
  6. Watchaman255

    Mambo mawili yanabaki kuwa alama ya uzalendo wa Waziri Mchengerwa kwa taifa lake

    G.O.A.T Mambo mawili yanabaki kuwa alama ya uzalendo wa Waziri M. Mchengerwa kwa taifa lake! Mosi: Agizo lake akiwa OR Utumishi alipokuwa anaapisha Bodi ya Nne ya Sekretalieti ya Ajira kuwa, "Kuanzia leo (siku hiyo) ajira zote za umma zipitie utumishi ili kuondoa upendeleo na kuweka usawa...
  7. Msanii

    Ukubwa wa mtu yaani cheo uendane na uzalendo kwa TAIFA. Msitutishe na sheria mbovu mlizotunga

    Sheria nyingi zimetungwa kulinda hadhi za viongozi kama kinga hususan hata wakiwa wapuuzi na majizi yanajitwika heshima na staha wasiyo stahili. Mnataka tuwaite waheshimiwa lakini hakuna hata heshima moja mnayostahili. Mnatumia mamlaka vibaya kukandamiza wananchi wanaohoji na kukosoa. Kuhusu...
  8. BARD AI

    CONFIDENTIAL: Barua Pepe zaonesha Maafisa 62 wa Serikali ya Tanzania akiwemo IGP walihongwa Fedha na ACACIA (2008/2015)

    Acacia, kampuni ya uchimbaji madini iliyokuwa na shughuli zake nchini Tanzania kabla ya kuingia kwenye mgogoro mkubwa na Serikali, inadaiwa kutumia takriban Shilingi bilioni tatu (Dola za Kimarekani milioni 1.2) kwa mwaka kulipa maafisa waandamizi wa Serikali kati ya 2008 na 2015, uamuzi ambao...
  9. Emmanuel Mkwama

    Watanzania Kuna haja ya kuwa na uzalendo, uadilifu na hofu ya Mungu

    "Sipendi kujihusisha na mambo ya siasa wala kuchangia chochote kuhusiana na mambo ya siasa." Ndugu zangu heri nyingi ziwafikie,nikiwa salimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania......... Ndugu zangu kiukweli siasa sipendi kwa sababu ya michezo michafu iliyopo kwenye siasa. Lakini leo...
  10. saidoo25

    Wakili Mwabukusi amevunja rekodi za viongozi wote kutetea mali za umma, atalipwa wema hadi kizazi chake cha mwisho

    Wakili Boniface Mwabukusi yuko Mahabusu kwa siku kadhaa sasa kwa kosa la kupigania haki za Watanganyika kuzuia Bandari zake kuuzwa kwa Mwarabu. Mwabukusi anakuwa Mtanzania wa kwanza wa kizazi cha sasa kupinga mipango ya familia za watu wachache Serikalini kuuza mali asili za watanzania wote...
  11. R

    Kupinga bandari zetu kubinafsishwa si uhaini ni Uzalendo. Waachieni huru Manabii wetu

    Jibuni HOJA zao. Maandamano ya Amani yameruhusiwa kikatiba. Waachieni Manabii wetu tafadhali.
  12. H

    SoC03 Mbegu ya uzalendo kwa watoto: zao la uwajibikaji na utawala bora kwa taifa

    Nimezaliwa mwaka 2013 katika wilaya ya Muleba na kulelewa na bibi yangu kipenzi, Bi.Khadija. Bi.Khadija alipenda sana kusoma na muda mwingi aliutumia kusoma vitabu vilivyoelezea utawala bora na namna babu zetu walivyo pigania uhuru lakini pia alipenda kusoma magazeti. Siku moja nikiwa nje...
  13. Jemima Mrembo

    Lawama zetu ni kwa Idara ya Usalama wa Taifa kukosa uzalendo, weledi na kushindwa kumshauri Rais

    TISS ilitakiwa kuwa mbali zaidi kabla hata mkataba haujasainiwa. Idara ya usalama ilitakiwa iwe na wasomi wabobezi wa sheria, wenye roho za uzalendo na wenye uwezo wa kumwambia rais hapana, hili haliwezekani kwa maslahi ya taifa. Leo ili mtu awe afisa, haàngaliwi uwezo wake wa kiakili, ni...
  14. Chachu Ombara

    Rais Samia: Sasa Tanzania tumeuza (Bandari), wale jirani wamekimbilia kule kufanya nini?

    Rais Samia akihutubia wakati wa uapisho wa viongozi, akizungumzia kuhusu Wizara mpya ya Mipango na Uwekezaji ameonesha namna ya kuweza kuzitambua fursa mbalimbali na kuzifanyia kazi kama nchi ili zisipotee. Akitolea mfano sakata la sasa la fursa ya uwekezaji kwenye bandari zetu amesema haya...
  15. H

    Tucopy na kupaste sample ya IGA ya UK (Muingereza) na UAE (Mwarabu) katika uwekezaji, japo ni ya mwaka 1992, lakini inafundisha uzalendo kwa nchi zao

    Mheshimiwa Mkuu wa Morogoro Adam Malima ametuasa kwa upendo mkubwa sana kuwa katika suala la mikataba hawa waarabu ( jamaa ) sio wajomba zetu, binafsi nimesoma IGA ya ushirikiano katika uwekezaji kati ya UK na UAE, nimegundua waarabu wako serious wanapokutana na nchi zilizo serious na...
  16. N

    SoC03 Bandari Dar es Salaam na anayehusika

    NENO LA MUNGU LINASEMA: "Kila mtu na aitii MAMLAKA iliyo KUU; kwa maana HAKUNA MAMLAKA ISIYOTOKA KWA MUNGU; na ile iliyopo umeamriwa na MUNGU. Hivyo amwasiye mwenye MAMLAKA hushindana na AGIZO LA MUNGU; nao washindanao watajipatia hukumu. Kwa maana watawalao hawatishi watu kwa sababu ya matendo...
  17. Mag3

    Hatimaye CCM, kwa kuipakata DP world, yathibitisha ni genge la ulaji lisilo na uadilifu wala uzalendo!

    Kama ni ushauri umetolewa, kama ni tahadhari zimetolewa, kama ni kelele zimepigwa na kama ni mifano imetolewa lakini harakati zote hizo zaelekea kupuuzwa! Mtu unabaki tu kujiuliza hivi hili zimwi CCM linang'ang'ania madaraka kwa maslahi ya nani? Djibouti walijidanganya hivi hivi lakini, hebu...
  18. Pac the Don

    Je CCM imesheheni uzalendo?

    Kuna mikataba mingi tang zaman imekua na makandokando mengi na ufisadi wa kutisha!! Swali langu ni... Kwann wahusika wanaingia mikataba isiyo na maslahi kwa Taifa na waisainisha? Mpaka bungeni inapitishwa kwa makofi ya kutosha mezani? Inamaana wao hua hawaoni mapungufu ya kimkataba mpaka walio...
  19. B

    Sakata la DP World ni kipimo cha uzalendo. Tunawafuatilia viongozi wetu kwa ukaribu sana

    Kama mzalendo katika nchi ambayo Mwenyezi Mungu aliruhusu nizaliwe, naona kabisa kwamba hili suala la mkataba kati ya Serikali yetu na DP World ya Dubai, itakuwa kipimo cha uzalendo ambao tunapaswa kutumia katika kuwapima. Tuko tunafuatilia kwa ukaribu sana maoni yenu. Hata wale ambao mmeamua...
  20. Eng CA Christopher

    SoC03 Kuwa na ufahamu mtambuka juu ya uzalendo

    Vijana wengi wakitanzania hasa wasomi wamekua vibarakaa kutokana na kwamba wengi wao wapo kimaslahi zaidi. Hivyo basi wamejikuta wanakosa uzalendo na nchi yao, kila kinachofanyika ambacho sio sawa wamekua wanatetea kutokana na kwamba wamejali maslahi yao binafsi zaidi kuliko nchi yao...
Back
Top Bottom