Namshukuru tumeweza kwa muda wa miaka 5 kuzalisha na kusambaza mikoani bidhaa 5 za ngozi na nywele. Sasa wingi wa oda kwa mawakala wa mikoani, unafanya tushindwe kuwahudumia kwa wakati kwa upungufu wa mtaji.
Tumeweza zalisha bidhaa 5 ambazo ni
1.Udongo tiba
2. Sabuni za udongo
3.Lotion
4...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipokuwa akizungumza na maafisa kilimo, wafanyakazi wa kiwanda cha sukari cha Bagamoyo Mkoani Pwani,
ameeleza uzalishaji wa sukari ya mezani nchini unafikia tani 380,000 ambapo bado kuna bakaa ya tani 70,000, hivyo kuna kila sababu ya kuongeza uzalishaji wa sukari...
Kutokana na mafanikio ya kupiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastic tumeshuhudia uzalishaji wa mifuko ya karatasi kama sehemu ya mbadala wa vibebeo.
Lakini nionavyo mimi, karatasi aina zote zinaweza kuwa "recycled" kama zilivyo chupa za plastic ili kupunguza gharama za uzalishaji badala ya...
Wafanyakazi wa kiwanda cha kuzalisha Nguo cha Winds Group ltd maarufu kama Mazava kilichopo Msamvu, kinadaiwa kuwapa likizo ya miezi 3 wafanyakazi wake bila malipo.
Wafanyakazi wamezuiwa kuingia kiwandani kuendelea na shughuli humo leo Mei, 15.
Urusi pamoja na mataifa yanayozalisha mafuta kwa wingi duniani (OPEC) yamekubaliana kupunguza kiwango cha uzalishaji mafuta kwa takribani mapipa milioni 10 kwa siku ili kuidhibiti bei iliyoporomka kutokana na janga la kirusi cha corona na vita.
Punguzo hilo, ambalo liliafikiwa kwenye mkutano...
Rafiki yangu mpendwa,
Kama umekuwa mfuatiliaji wa mambo yanayoendelea duniani, hasa kwenye upande wa sayansi na teknolojia, utakuwa unapata taarifa mbalimbali kwenye eneo la kazi.
Taarifa kubwa na ambazo ni nyingi kwa sasa ni uwezo wa maroboti (Artificial Intelligence) kufanya kazi ambazo...
Serikali imezindua mkakati wa taifa wa awamu ya pili wa miaka 10, wa kuendeleza zao la mpunga nchini ili kuhakikisha wanafikia hekta milioni moja ifikapo mwaka 2025.
Hayo yalibainishwa jana na Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga, ambapo alisema lengo ni kuona wanaongeza uzalishaji wa zao la mpunga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.