uzazi

The term Uzazi refers to the dried fruit of the West African deciduous shrub Zanthoxylum gilletii, syn. Fagara tessmannii, a member of the 'prickly ash' Zanthoxylum family. The name of the spice is derived from Igbo, a language in Nigeria, where the spice is grown and harvested on a commercial basis. Zanthoxylum gilletii is a close relative of the Sichuan pepper, and uzazi has a similar taste profile to the Asian spice. However, unlike Sichuan pepper where only the pericarp of the fruit is used, uzazi is used whole (both pericarp and seed). This may explain why uzazi has a spicier flavour and greater pungency than sichuan pepper.
Even in West Africa this is a rare spice, and typically only five or six dried fruit are added to a dish.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Je ni Kweli mwanamke akitumia sindano za kuzuia mimba, zinaweza kukausha mayai ya uzazi?

    wana jamii ushauri wenu kwa ufupi..... baby mama wangu ameenda hospitali kubwa ya nchi... Kuangalia kwanini hashiki mimba.. Hapo nyuma alikuwa anatumia sindano za uzazi kuepusha kushika mimba.. Sasa daktari amemwambia inawezekana mayai yake yamekaushwa na hizo sindano ...Hivyo inabidi kufanya...
  2. ephen_

    Kuna faida gani kumpaka mtoto aliyezaliwa damu ya uzazi?

    Kuna baadhi ya mama huwapaka watoto wao damu inayotoka ukeni punde baada ya kutoka kujifungua. Kwa nilivyosikia hii kitu ipo sana kwenye jamii ya Watutsi. Wanasema punde mama anavyokabidhiwa mtoto wake basi hufanya kitu hiki huku akinenea maneno. Inasaidia mtoto asipate husda yoyote...
  3. Dr isaya febu

    Mirija Ya Uzazi Kujaa Maji.

    Mirija ya uzazi kujaa maji ni hali ambapo mirija ya uzazi hujaa majimaji na kuvimba, jambo ambalo linaweza kuzuia mimba kutungwa na kusababisha ugumba kwa mwanamke. Tatizo la mirija ya uzazi kujaa maji hujulikana kwa kitaalamu kama Hydrosalpinx. Leo katika mada yetu ya blogu hii tutazungumzia...
  4. Lethergo

    Hizi ni salamu zangu za Pole kwa Wanawake wote mnaopitia Changamoto ya Uzazi

    Wakuu. Leo ngoja nije niwape pole mama zetu, dada zetu na wadogo zetu wa kike wanaopitia changamoto za uzazi. Hauwezi amini ila amini amini nakuambieni maumivu ya mwanamke ya kuishi bila kua na mtoto wa kumzaa hayazungumziki na hayachunguziki. Poleni sana wanawake wote mnaopitia changamoto za...
  5. N

    Wataalam wa mambo ya uzazi naombeni msaada wenu, nimechanganyikiwa

    Leo nimetoka kufanya kipimo cha ultrasound na mpenzi wangu, kipimo kikasema kuwa mpenzi wangu ana ujauzito wa wiki tisa na siku tatu, kinachotuchanganya ni mara ya mwisho kufanya nae mapenzi ilikuwa tarehe 28 desemba ambazo hadi leo wiki 9 hazifiki, je changamoto ni nini?
  6. Rorscharch

    Kataa ndoa ni zao la mfumuko wa gharama za maisha na wahanga ya wanawake wasiojielewa

    Si mara kwa mara huwa napitia Jamii Forums, lakini mara nilipokuja kuvutiwa na mijadala kwenye jukwaa hili, nilikutana na kundi la vijana wanaojiita “Kataa Ndoa.” Vijana hawa wanazua mjadala mkubwa, na maoni juu yao yanatofautiana sana – kuna wale wanaowaona kama wanaokwepa majukumu, wengine...
  7. Dr isaya febu

    Ijue Njia Ya Uzazi wa Mpango Ya Kumwaga Nje Shahawa.

    Njia ya uzazi wa mpango ya kumwaga nje shahawa inayojuliakana pia kwa kitaalamu kama withdrawal method/pulling out method ni ni mbinu ya uzazi wa mpango inayotegemea mwanaume kutoa uume wake kutoka kwenye uke wa mwenza wake kabla ya kufikia kileleni (kumwaga shahawa) wakati wa tendo la ndoa ili...
  8. W

    KERO Malalamiko kuhusu ucheleweshaji wa malipo ya faida ya uzazi (Maternity Benefits) na NSSF

    Maelezo ya Malalamiko: Naandika malalamiko haya kwa niaba ya ndugu yangu ambaye ni mwanachama wa NSSF na alifuata taratibu zote zinazohitajika ili kudai faida za uzazi (maternity benefits). Nyaraka zote muhimu ziliwasilishwa kwa wakati, ikiwa ni pamoja na cheti cha daktari na fomu za madai...
  9. T

    Wanawake Wengi Hawataki kutumia Uzazi wa Mpango ila wanapenda Kugegeduana Pekupeku, Kibaya hawataki mimba au Kuzaa;Hii imekaaje?

    Unajua kuna principle moja kwenye moja ya physchosocial model inasema "we are the product of our decision". Turudi kwenye mada, wanawake wa kisasa ukiwa naye wanapenda kugegeduana pekupeku, yaani wanapenda kuisikilizia skin to skin vibaya sana, ila likija suala la kumshauri kutumia uzazi wa...
  10. Tlaatlaah

    JE, NI KWELI PUNYETO NA USAGAJI NI MIONGONi MWA VYANZO VYA KANSA YA VIA UZAZI, MADAKTARI NA WATAALAMU WA AFYA YA UZAZI?

    Naomba ufafanuzi tafadhali wangwana matabibu wa afya na mapenzi?🐒
  11. U

    Dawa za ku boost uzazi

    Amani iwe nanyi... Nimetamani kuuliza jambo hili kwa muda kidogo, ni kuhusu hizi dawa ambazo wansema zinasaidia katika masuala mazima ya uzazi ikiwemo kutibu magonjwa kama vile PID, FUNGUS,. UTI na mengine kemkem! Ninachoomba kujua kuna mtu amewahi kutumia na zikamsaidia?! Asante.
  12. incredible terminator

    Nini chanzo cha Tumbo la uzazi?

    wakuu nilitaka kujua sababu ya Tumbo la uzazi au Chango la uzazi chanzo chake nini na nini Tiba yake kwa mama aliejifungua? Kuna jirani yangu hapa kajifungua jana ila analia sana tumbo hadi namuonea huruma.
  13. Thabit Madai

    Pemba kunahitajika zaidi elimu ya uzazi wa mpango, Watoto wanateseka

    Naandika andiko hili fupi nikiwa Unguja - Zanzibar baada ya safari ya takribani Wiki Mbili nikiwa kisiwani Pemba. Mimi ni Mwandishi wa habari na nimepata bahati ya kutembelea maeneo mengi Tanzania bara na Visiwani ila nilichokikuta Pemba bado kinanijastaajabisha hadi sasa naandika andiko hili...
  14. T

    SI KWELI Kinyonga wakati wa uzazi wake hupasuka tumbo na kufariki

    Hivi ni kweli kwamba kinyonga akiwa anazaa hupanda juu ya mti na kujirusha chini hali inayopelekea tumbo lake kupasuka na kufariki?
  15. Mjanja M1

    Kisanga cha wana ndoa na uzazi

    Anahitaji ushauri, soma kisa chake hapo 👇 My wife is pregnant with another man's baby and now she wants to leave me. For some background, I got married years ago and my wife and I were happy but issues started when several years passed and she was unable to get pregnant. We tried all we could...
  16. GENTAMYCINE

    Mtaalam wa Afya ya Uzazi: Mimba za Watoto wa Kike 'Style ni ya Mende' na za Watoto wa Kiume 'Style ni ya Bong'oa' hivyo Kazi Kwenu sasa mnaowatafuta

    " Ukitaka kupata Mtoto wa Kike hakikisha Mwenza wako ( Mke au Mpenzi ) ukiwa unafanya nae Mapenzi hafiki Kileleni ( yaani Wewe Mwanaume wahi Kumwaga ) kwani ukifanya hivyo utafanya zile Mbegu za Kiume za Y za Mwanaume zisigusane na X za Mwanamke. Lakini pia ukitaka kupata kirahisi Mtoto wa Kike...
  17. J

    Unafahamu kuwa Upasuaji wa Uzazi (C-Section) wa kuokoa maisha ya Mama na Mtoto ulikuwa ukifanyika Nchini Uganda kabla ya Bara la Ulaya?

    Upasuaji wa kwanza wa Uzazi (C-Section) ulifanikiwa kufanyika Barani Afrika, ambapo Mama na Mtoto wote walikuwa salama, mara nyingi ujuzi huu, ingawa Daktari Mwingereza, James Barry amekuwa akihusishwa zaidi na upasuaji huu kutokea Cape Town, Afrika Kusini. Caesarian Section (C-Section) ni...
  18. A

    Wanawake washauriwa na mchungaji Christina shusho kuzaa watoto wachache na kupanga uzazi binafsi bila kumshirikisha mwanaume

    Ameshauri wawe wajanja kuzaa kuijaza dunia Mungu hakumaanisha Kuwa na watoto wengi Bali kufanya vitu vingi..pia amedai alikataa Dola za kimarekani elfu 20 kutoka Kwa kigogo alietaka kulala nae..hivi ndo anatangaza dau lake kijanja au anajisafisha mbele ya jamii Ione Kuwa Huwa hadangi
  19. M

    SoC04 Nafasi ya madaktari kike na wahudumu wa kike hukatika katika utoaji wa huduma za afya

    Serikali inapaswa kuongeza idadi wa madaktari wa kike ,ili Wawa hudumie Wana wake pale wanapofika hospitalini. Kufanya hivyo kutapunguza unyanyasaji wa kijinsia na kuongeza ufanisi wa kazi. Kwani ni vyema mwanamke akihudimiwa na mwanamke mwenzie ,hasa pale mgonjwa anapotakiwa kupata...
  20. Nyanda Banka

    Naomba kujua kuhusu vipandikizi vya uzazi kwa mwanamke (Kijiti)

    Hoja yangu ni kwamba mwanamke kwa mfano akiwa ameweka kijiti kile cha muda wa miaka mitano (5) na akafikisha miaka mitatu (3) nacho akaamua kukitoa kabla ya muda uliyokusudiwa Je anaweza kupata mimba mara baada yakukitoa ama atasubiri mpaka miaka hiyo mitano (5) ifike
Back
Top Bottom