The term Uzazi refers to the dried fruit of the West African deciduous shrub Zanthoxylum gilletii, syn. Fagara tessmannii, a member of the 'prickly ash' Zanthoxylum family. The name of the spice is derived from Igbo, a language in Nigeria, where the spice is grown and harvested on a commercial basis. Zanthoxylum gilletii is a close relative of the Sichuan pepper, and uzazi has a similar taste profile to the Asian spice. However, unlike Sichuan pepper where only the pericarp of the fruit is used, uzazi is used whole (both pericarp and seed). This may explain why uzazi has a spicier flavour and greater pungency than sichuan pepper.
Even in West Africa this is a rare spice, and typically only five or six dried fruit are added to a dish.
Binadamu yoyote tofauti na wanyama ili aweze kukua vizuri, apate maendeleo na astawi anahitaji msaada, uangalizi na muongozo wa muda mrefu wa wazazi, familia, ndugu, marafiki, majirani na Serikali.
Anahitaji apatiwe chakula bora, mavazi bora, makazi, na elimu bora tangu akiwa mdogo hadi angalau...
Wataalamu wa #Malezi wanatuambia ni muhimu kuwapa watoto elimu ya afya ya uzazi ili kuwaepusha na madhara kama kujihusisha na kujamiiana wangali wadogo, mimba za utotoni, ndoa za utotoni na kupata magonjwa ya zinaa.
Lengo kuu likiwa ni kuwawezesha watoto kujilinda na kujitunza ili waendelee...
Nini maana ya tatizo la nguvu za kiume?
Hili ni tatizo linalohusisha hali tofauti kwa wanaume ambalo linaweza kuathiri njia ya mkojo na uzazi kwa mwanaume.
- wanaume wengi wamekuwa wakipata hofu na aibu kwa sababu tatizo hili linahusisha sehemu za siri.
Je ni Nini chanzo cha tatizo la...
Habari wana ndugu kwa ujumla, natumaini wote hamjambo na mnaendelea shughuli zenu za kila siku! Naomba kujua tiba, ushauri au maelezo yakinifu kuhusu mwanamke aliyetoka kujifungua na tumbo lake likabaki kama awali ya ujauzito au kupungua kidogo tuu!🤤
Magonjwa, ufukara, ujinga, wingi wa rasilimali tulizonazo, uhaba wa nguvu kazi, ukubwa wa ardhi, teknolojia duni.
Tujikite zaidi kwenye haya.
Tuna Corona, wataalam wewe hawezi hata kutengeneza chanjo ya kuzuia tauni ugonjwa uenezwao na panya
UTANGULIZI:
Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria Tanzania 2015-2016, umebaini kuwa kwa kipindi cha miaka mitatu kabla ya utafiti huo, wanawake wa Tanzania wanazaa wastani wa Watoto 5.2. Vilevile, uwezo wa kuzaa kati ya wanawake unatofautiana kwa makazi yao, viwango vya...
Jana Alhamisi muda wa saa 5 usiku hivi nikiwa natafuta Station za Radio nikaangukia Kiss FM 98.9, niliposikia neno "PID" ikabidi nisikilize kidogo kinachoongelewa maana nami nipo kwenye uwanja huo huo wa mambo ya Afya..
Nilipigwa na bonge la mshangao kwa yale niliyokuwa nikisikia,, maana...
Hivi karibuni, China ililegeza zaidi sera yake ya uzazi wa mpango, na kutangaza kuunga mkono wanandoa wanaopenda kupata mtoto wa tatu. China ni nchi inayoongoza duniani kwa idadi kubwa ya watu, lakini pia ni nchi inayoongoza kwa idadi kubwa ya wazee.
Matokeo ya Sensa ya saba ya watu nchini...
Miaka michache iliyopita kununua na kuuza mbegu na mayai ya uzazi lilikuwa jambo lisilofahamika nchini Kenya.
Kenya. Miaka michache iliyopita kununua na kuuza mbegu na mayai ya uzazi lilikuwa jambo lisilofahamika nchini Kenya.
Ila kwa sasa imekuwa biashara inayokua kwa kasi kwa wenza...
Mtie moyo mama mjamzito. Shika mkono wake, ongea naye taratibu, muonyeshe jinsi ya kupumua pumzi nzito zinazokwenda polepole.
Msaidie kumgeuza, kutembea, kubadilisha ukaaji, na hata kutoa sauti.
Kila unapokuwa na mjamzito fanya maandalizi yote ya wepesi wa kumfikisha hospitali. Kujifungulia...
Kwa ajili ya kujifungua salama, andaa vifaa vifuatavyo: -
Sabuni na maji kwa ajili ya kunawa mikono mara kwa mara, kumsafisha mama, na kusafisha vifaa tiba. Vilevile andaa beseni au bakuli kwa ajili ya kunawia na kupokea kondo la nyuma.
Viwembe vipya au mkasi wenye makali kwa ajili ya kukata...
Msongo wa mawazo ni jambo la kawaida linalowapata angalau mwanamke (wamama wapya) mmoja kati ya nane. Dalili zake ni pamoja na kusikia mchovu, kulia, mwenye shahuku, mnyonge na mabadiliko ya kula na kulala hasa wiki ya tano za kwanza baada ya kujifungua. Wakati mwingine kuwa na huzuni, kushindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.