Leo nimekutana na hii njia ya asili ya uzazi wa mpango ambayo watumiaji wake wakubwa wako nchi zilizoendelea.
Njia hii inaitwa Marquette Method kwa sababu ilianzishwa na wataalamu waliopo chuo kikuu cha Kikatoliki cha Marquette cha nchini Marekani.
Njia hii huhusisha mwanamke kupima mkojo wake...
Njia ya uzazi wa mpango ya kumwaga nje shahawa inayojuliakana pia kwa kitaalamu kama withdrawal method/pulling out method ni ni mbinu ya uzazi wa mpango inayotegemea mwanaume kutoa uume wake kutoka kwenye uke wa mwenza wake kabla ya kufikia kileleni (kumwaga shahawa) wakati wa tendo la ndoa ili...
Unajua kuna principle moja kwenye moja ya physchosocial model inasema "we are the product of our decision".
Turudi kwenye mada, wanawake wa kisasa ukiwa naye wanapenda kugegeduana pekupeku, yaani wanapenda kuisikilizia skin to skin vibaya sana, ila likija suala la kumshauri kutumia uzazi wa...
Mratibu wa Afya ya Uzazi na Mtoto katika Halmashauri ya Mji wa Korogwe, Monica Nalinga amesema idadi ya watu wanaonufaika na huduma za Uzazi wa Mpango imeongezeka ikiwa ni matokeo ya ushirikiano baina ya Serikali na wadau ambao wamejitokeza kuunga mkono jitihada ambazo zimekuwa zikifanyika...
Naandika andiko hili fupi nikiwa Unguja - Zanzibar baada ya safari ya takribani Wiki Mbili nikiwa kisiwani Pemba.
Mimi ni Mwandishi wa habari na nimepata bahati ya kutembelea maeneo mengi Tanzania bara na Visiwani ila nilichokikuta Pemba bado kinanijastaajabisha hadi sasa naandika andiko hili...
Mimi Kuna Kitu Kinanichanganya Sana Kwenye Hii Serikali Yetu
Wanasema Mimba Na Mtoto Ni mali ya Serikali Lakini Kwanzia Ujauzito Na Mtoto Unahudumia Wewe Sasa Kwanini Kama Mtoto Ni mali ya Serikali Usiwekwe Mfumo Wa Kuwalipa Wazazi Posho Za Malezi Ya Mtoto/ Watoto Wao? Hapo Nachoka Kabisa.
Au...
Mimi ni kijana nina miaka 24 tafadhari nina shida.
Naomba unisaidie maana Nina mke na mtoto mmoja toka mke wangu amejifungua kiufupi Sina furaha na maisha kabisa maana baada ya kujifungua tu tulikwenda hospitali na tukaweka uzazi wa mpango lakini baada ya hapo mke wangu amekosa hisia na Mimi...
Heshima kwenu nyote
Ni wazi kuwa sie wabongo ni watu wa kujaribu vitu hata vile tusivyo visomea.
Nitaweka baadhi ya dawa(vidonge) ambavyo vinatibu ugonjwa fln lakni Kwa ujuaji wa kibongo vidonge hivo hutumika Kwa matumizi mengine na kuleta manufaa.
Baadhi ya vidonge Hivi ni kama(sitatumia...
Miaka ya 1980 kurudi nyuma watoto walikuwa sehemu ya nguvu kazi ya familia. Hivyo mtu akiwa na watoto wengi alihesabika kana kwamba anamiliki matrekta kadhaa ya kumsaidia ktk kilimo.
Siku hizi mambo yamebadilika. Watoto hawana thamani tena, sana sana wamegeuka kuwa sawa na kujitwisha zigo la...
Mamia ya wananchi wameshiriki maziko ya aliyekuwa Diwani wa Kamena Halmashauri ya mji wa Geita, Peter Kulwa (67) aliyefariki dunia Juni 13, 2024 na kuacha watoto 34, wajukuu 129 na vitukuu 10.
Kwa mujibu wa risala iliyosomwa na mjukuu wake, Makutano Sadick, diwani huyo alianza kuugua kisukari...
Kwa mwendo huu hakuna Rais atakayeweza kuumaliza umaskini wa nchi hii.
Ili twende sawa nitoe tafsiri ya umaskini kwa mujibu wa IMF:- umaskini ni hali ya kukosa huduma za afya/maji, chakula, elimu na mahala pazuri pa malazi (nyumba bora).
Kwa tafsiri hii, na kwa uzazi holela wa hapa nchini, ni...
Uwajibikaji wa uzazi wa Mpango umeweka mzigo usio sawa kwa wanawake, licha ya ukweli wa kibaolojia kwamba wanaume wana uwezo wa kumfanya mwanamke apate ujauzito. Wanawake huzalisha idadi ndogo ya mayai kwa mwezi, (kwa kawaida moja) wakati wanaume hutoa mamilioni ya manii(Shahawa) kwa kufanya...
Ndugu Wanajamvi,
Ninawaletea mjadala wenye uzito wa kielimu na kifikra kuhusu maendeleo mapya katika teknolojia ya uzazi wa mpango kwa wanaume. Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mjadala unaoendelea kuhusu dawa mpya ya uzazi wa mpango kwa wanaume, ambayo inaonekana kupokelewa na pande mbili...
Wakuu hawa jamii ya watu inakaribia kupotea Africa?
Sasa je nini kinasababisha na wakati wao hawatumii uzazi wa mpango, wala hawachangamani na watu kifupi hawakubali maisha tunayoishi sisi jamii nyingine.
Ukienda Rwanda wanaitwa Twa,
Wengine wapo cameroon
Drc, zambia nk
Au hanahujumiwa
Kiwango cha Matumizi ya Njia za Uzazi wa Mpango nchini hadi kufikia Machi 2024
Vipandikizi - 38.3%
Sindano - 23.1%
Vidonge - 11.3%
Njia za Asili - 11.1%
Kondomu - 10.4%
Vitanzi - 4.6%
Kufunga Kizazi - 0.4%
Mikoa yenye Kiwango Kikubwa cha Matumizi ya Njia za Uzazi wa Mpango Tanzania
Mara -...
Hello
Habari ya uzima na poleni kwa majukumu ya hapa pale. Naombeni kujua jambo kuhusu uzazi nk.
Mwanamke akitoka kujifungua kwa operation, baada ya siku arobaini, je, akikutana na mumewe Inanasa nyingine au mpaka atumie kinga? Wakati huo yuko na zaidi ya siku 56+, na uchafu (damu - mabonge)...
Habari za leo wakuu,
Nasikia watu mtaani wakisema
matumizi ya njia za uzazi wa
mpango kama kuweka vijiti
huchangia wanawake kuwa na
matumbo makubwa,
Je, wataalamu, Kuna ukweli wowote katika hili?
Siku moja nikiwa natafta ID yangu nilikutana na pedi ya mke wangu iliyotumika imetunzwa kwenye hand beg chumbani, nilishkwa butwaa sana. Nilichofanya ni kuipiga kiberiti, hakuwahi niuliza Chochote.
Pia soma: Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)
Sasa majuzi tena...
Habari wanaJF,
Nimeleta kwenu bandiko lako ili tuweze kujadili njia mbalimbali za asili za kupanga uzazi.
Tujadili...
2. Uzazi wa Mpango: Jinsi ya kutumia Majivu kuzuia mimba
3. Matumizi ya mbegu za Mnyonyo kupanga uzazi
4. Mwanaume kumwaga nje ya uke ( Pull Out Method )
Wabunge nchini Uganda wamekataa pendekezo la serikali la kuruhusu wasichana wenye umri wa miaka 15 kupata tembe za kupanga uzazi ili kupunguza viwango vya juu vya mimba.
Naibu Spika Thomas Tayebwa aliliita wazo hilo "Ushetani", akisema "Litarasimisha unajisi" wa wasichana.
Afisa mkuu wa wizara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.