uzazi wa mpango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    SoC03 Afya, uzazi wa mpango

    Mwandishi MZT company limited, kazi za jamii. Yanachochea mabadiliko katika utawala bora. UZAZI WA MPANGO NI NINI? Uzazi wa mpango ni uamuzi wa hiari unaofanywa na mtu binafsi, mwenzi au wote wawili, ili kuamua ni lini watapata watoto, baada ya muda gani na kuufuata. Huu ni uzazi unaofutata...
  2. JanguKamaJangu

    Rais Samia: Lazima tuwafundishe Watoto wetu kuhusu uzazi wa mpangilio

    Rais wa Samia Suluhu Hassan ameyasema hayo wakati akihutubia katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere (JNICC), Julai 26, 2023 Jijini Dar es Salaam. Amesema “Lazima tuwafundishe Watoto wetu kuhusu uzazi wa mpangilio, kama nilivyosema Afrika...
  3. Vedasto Prosper

    Kwanini, Simiyu, Kigoma, Mara, Geita na Pemba hawatumii Uzazi wa Mpango Kama Mbeya na Iringa?

    Katika ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria wa Mwaka 2022 ya Wizara ya Afya Dodoma kushirikiana na Wizara ya Afya Zanzibar, Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dodoma, Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar, iliyotoka Januari 2023, INaonesha Kuna Mikoa kabisa haina...
  4. A

    SoC03 Andiko kuhusiana na suala zima la Uzazi wa Mpango

    Uzazi wa mpango ni suala muhimu sana katika maendeleo ya nchi na ustawi wa wananchi. Hata hivyo, kumekuwa na changamoto kubwa katika suala la kufikia malengo ya uzazi wa mpango kutokana na ukosefu wa utawala bora na uwajibikaji. Serikali inahitaji kuweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha kuwa...
  5. Lady Whistledown

    Njombe, Kilimanjaro vinara kutumia uzazi wa mpango

    Mikoa ya Njombe, Kilimanjaro na Mbeya inaongoza kwa matumizi ya njia za uzazi wa mpango kwa wanawake walioolewa, wastani wa wanawake watatu kati ya watano wanatumia njia hizo. Dar es Salaam. Ripoti ya ‘Utafiti wa Afya, Viashiria na Malaria’ wa mwaka 2022 uliofanywa na Wizara ya Afya kwa...
  6. BigTall

    Tanga: Idadi ya Wanawake waliopata huduma ya uzazi wa mpango kwa njia ya kisasa imepanda kutoka 40% hadi 59% Muheza

    Elimu inayotolewa kwa makundi ya vijana Wilaya ya Muheza Mkoa wa Tanga imechangia kupunguza idadi ya mimba za chini ya umri wa miaka 19 (mimba za utotoni). Kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni zilizotolewa na Mratibu wa Afya ya Mzazi na Mtoto Wilaya ya Muheza, Angelina Sengwaji anaeleza kuwa...
  7. mdukuzi

    Wanawake wa Pemba na Kanda ya Ziwa wapigwe sindano ya uzazi wa mpango kwa lazima, wanatesa watoto

    Naandika nikiwa Simiyu baada ya kutoka safarini Pemba Nimetembea mikoa mingi Tanzania ila haya maeneo tajwa yanashangaza. Karne hii mwanamke anazaa watoto kumi!!! Nilichogundua, wanawake wengi huku hawajui mensturation cycle inafanyaje kazimama mtu mzima hajui tarehe yake ya kuwa hedhini...
  8. Lycaon pictus

    Trump alikuwa na mpango wa kulipa wanaozaa watoto wengi

  9. Sildenafil Citrate

    NADHARIA Matumizi ya Muda mrefu ya Dawa za uzazi wa Mpango husababisha kuzaa watoto wa Kiume wenye homoni za Kike

    Miaka ya hivi karibuni, matumizi ya dawa za uzazi wa mpango (Vidonge na Sindano) yameongezeka sana, hali inayozua wasiwasi wa usalama wake miongoni mwa watumiaji. Baadhi wameonesha wasiwasi wao kuwa dawa hizi husababisha kupata watoto wa kiume wenye homoni nyingi za kike, au hata kupata watoto...
  10. kwenda21

    Uzazi wa mpango: Nafikiri ni wakati muafaka sasa kwa Serikali kutupangia idadi ya watoto

    Nafikiri ni wakati muafaka sasa kwa serikali kutupangia idadi ya watoto na siyo kuzaana zaana tu, tukiendelea na tabia hii, nchi itashishwa kujiendeleza na kufanya kazi ya kujenga mashule na mazahanati, lazima kuwe na limit, ili pesa inayopatikana ikafanye maendeleo mengine.
  11. Ali Nassor Px

    Je, unaweza kumpa wanafunzi au mwanao Elimu ya Afya na uzazi wa mpango?

    Dunia ya sasa imebadilika sana. ni ukweli uliowazi kabisa kuwa ngono kimekuwa sio kitu cha siri sana. Na uwepo wa ujuaji wa watoto kuhusu ngono umechochewa na mabadiliko mbalimbali yaliyopo ikiwemo Utandawazi kama vile Simu za mikononi, Television na hata muingiliano wa tamaduni za jamii...
  12. Ngongo

    Uzazi wa mpango ni lazima

    Heshima kwenu wanajamvi, Leo Rais wetu Mheshimiwa Samia katutangazia matokeo ya sensa ya watu na makazi. Ukiitazama vizuri idadi ya watu inavyoongezeka (61 million) na ukuaji wa uchumi ni wazi sasa tunatakiwa kuzalisha zaidi bidhaa mbali mbali kuliko kuzalisha watoto ambao watakuja kuangukia...
  13. M

    Mara mseme hatuna nguvu za kiume, mara tuache kuzaa sana - tushike lipi sasa?

    Kuzaliwa mwanaume kweli mateso. Yaani wanatafuta sababu ili watutukane mara hatuna nguvu za kiume, ooohh tunatumia pweza mara vumbi la kongo. Tunaomba mtueleze ina maana mkitundikwa mimba nalo ni kosa? Huu ni unyanyasaji mnajua kazi ya maziwa mgando, karanga mbichi, sato, sangara, na ugali wa...
  14. BigTall

    Elimu ya Uzazi wa Mpango bado ni mtihani mgumu kwa Watanzania (World Contraception Day)

    Kupata Mtoto ni kitu kizuri sana na binadamu wengi wanaishi wakiwa na ndoto hiyo, lakini ni vizuri kiumbe huyo akija wakati muafaka. Ujio wa mimba wakati huo ukiwa na mtoto mwingine mchanga au katika mazingira ambayo hujajipanga kiuchumi kuhudumia ujio mpya huwa ni mtihani kiafya na kiuchumi...
  15. The Burning Spear

    Kuhusu uzazi wa mpango Magufuli alikuwa sahihi 100%

    Myonge mnyongeni Ila haki yake apewa. Haters wote wa magufuli ni wale wenye ajenda zao binafsi hasa za unyonyaji. Ila mwamba alikuwa poa Sana. Binafsi naamini madhara ya uzazi wa mpango ni makubwa zaidi ya faida zake. Akina mama wanateseka Sana na side effects zake.
  16. BARD AI

    Sababu za kupata ujauzito wakati unatumia uzazi wa mpango

    Uzazi wa mpango ni uamuzi wa hiari wa mtu binafsi mke/mume au mtu na mwenzi wake kuhusu lini waanze kupata watoto, wazae wangapi, wapishane kwa muda gani, lini waache kuzaa na njia gani ya uzazi wa mpango wangependa kutumia. Matumizi ya kondomu, vipandikizi, sindano, vidonge, kitanzi na...
  17. The Assassin

    Wanasayansi: Vidonge vya uzazi wa mpango kwa wanaume vina uhakika wa 99% kuzuia mimba

    Wanasayansi kutoka American Chemical Society huko nchini Marekani wamegundua ama wamefanikiwa kutengeneza dawa za uzazi wa mpango kwa wanaume ambazo zina uhakika 99% kuzuia mimba. Wanasayansi hao wanatarajia kuanza majaribio kwa binadamu mwezi June 2022 na wana matumaini kua hili litafanikiwa...
  18. Yoda

    Uzazi wa mpango ni suluhu ya matatizo mengi ikiwemo umachinga uliokithiri

    Binadamu yoyote tofauti na wanyama ili aweze kukua vizuri, apate maendeleo na astawi anahitaji msaada, uangalizi na muongozo wa muda mrefu wa wazazi, familia, ndugu, marafiki, majirani na Serikali. Anahitaji apatiwe chakula bora, mavazi bora, makazi, na elimu bora tangu akiwa mdogo hadi angalau...
  19. MissRaya

    Je, ni kweli p2 inazuia mimba?

    Habari za mda huu, naamini ni wazima wa afya na kama yupo anaeumwa Mungu atampa nafuu. Niende kwenye point, iko ivi nilisex na mme wangu siku 2 baada ya KUMALIZA hedhi, yaani zile siku ambazo ni salama ila alimwagia ndani😥 Ikabidi nitumie p2 mapema kabla ya masaa 24 kuisha. Yote ni kuhofia...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je, Waafrika uzazi wa mpango ni sahihi kwetu? Kama ndio/hapana kwanini?

    Magonjwa, ufukara, ujinga, wingi wa rasilimali tulizonazo, uhaba wa nguvu kazi, ukubwa wa ardhi, teknolojia duni. Tujikite zaidi kwenye haya. Tuna Corona, wataalam wewe hawezi hata kutengeneza chanjo ya kuzuia tauni ugonjwa uenezwao na panya
Back
Top Bottom