Habari zenu wakuu,
Kuna visa nimekutana na wakaka ambao wamezaa Watoto Wengi na hawahitaji Watoto zaidi mpaka ikabidi nijiulize hili. [emoji23][emoji23]
Huyu wa kwanza hajaoa anamiaka 30, anawatoto wanne kila mmoja na Mama yake, Ukipiga nae story atakwambia jinsi gani anajuta kuwa na Watoto...