Huwa naumia sana roho nikiona jinsi maliasili zinavyoteketea vijijini huku yule aliyetakiwa kusimamia akiwa ndiye kinara wa uharibifu huo. Hawa vijana wanaokuwa recruited kila mwaka sijui wanapelekwa wapi masikini. Wala sitaki kuingilia utendaji wa serikali lakini ninachoona ni kwamba mfumo wa...
Wizara ya OR_TAMISEMI na Utumishi iangalieni halmashauri ya Singida kwa jicho la tatu, upandaji wa madaraja unaweza usiwezekane kwa uzembe wa maofisa wa ofisi hizo. Naomba wakubwa lifuatilieni hili watumishi wapate haki zao, janjajanja kibao ambazo hazina tija, inshort kuna uzembe wa wazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.