uzinzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unajua zinaa na uzinzi vinabeba baraka zako?

    Nitakujuza tu yoyote unayemvulia chupi ama suruali yako kama sio mkeo wa ndoa kitendo cha kuingiza dudu lako kwake nikujuze anaondoka baraka zako Haijalishi amevaa hajavaa condom nitakujuza NDUGU pambana na roho ya uzinzi Watu wengi sana walikuwa matajiri wakajifanya wajanja Leo ni masikini...
  2. S

    TikTok imekuwa chimbo jipya la kueneza uzinzi, ushoga ukahaba na uasherati ulipitiliza

    Wakati inaanza ilianza kwa maudhui mazur sana na yenye maadili Watu tukaipenda zaidi kwakuwa ndio platfom inayoweza kukuingizia hela kwa urahisi ukilinganisha na platfom zingine za online kama vile Youtube n.k Ila sasa hivi imekua ya kishenzi sanaaaa...hauwezi kuingia tiktok bila kuvaa...
  3. Nikitaka kuacha kumsaliti mke wangu linatokea jinamizi linanirudisha kwenye uzinzi

    Kuna kipindi mke wangu alikuwa anabana Sana kunipa utamu yani hadi umbake la si hivyo utalala mzungu wa nne mwezi mzima kwa visababu visivyoeleweka Sasa kama rijali nikaona usinitanie kwanini nisivute pisi kadhaa nikazipanga nikawa najipimia kwa zamu. Mwanzo nilikuwa natoboka pesa ila imefika...
  4. Tofauti na uzinzi na kujimwambafai, hakuna motivation yenye mashiko ya kuongeza mke zaidi ya mmoja

    Unakuta mwamba ana wake wawili watatu ila kila siku unakutana nae kwa wakina fatuma ndala ndefu na jesca utelezi. Polygamy haijawahi kua dawa ya kushinda uzinzi wa mwanaume. Polygamy ni mwendelezo wa old fashioned masculinity ya enzi na enzi, kwamba kidume naweza, kidume mimi ni mashine...
  5. Uzinzi ni mbaya sana ukishaingia katikati ya watu wenye makubaliano ya kuoana

    UZINZI ni NINI? Imeandaliwa na Magical power Uzinzi Ni tendo la kufanya mapenzi na mtu ambaye si mkeo au mume wako, na mara nyingi linachukuliwa kama kukiuka ahadi za ndoa au maadili ya kijamii... NDOA ni yale makubaliano ya mwanamke na mwanaume kuingia katika mkataba(agano)litakalo husisha...
  6. M

    Madhara ya dhambi ya uzinzi

    1. Huangamiza nafsi. "Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake." (Mithali 6:32) Mtu hufa kiroho, kama ilivyo dhambi yoyote ile humuondoa mtu katika uwepo wa Mungu, na pia huondoa uwepo wa Mungu kwa mtu na hicho ndicho kifo cha kiroho. 2. Huondoa...
  7. Beatrice Mwaipaja, ukitaka kupona tafuta mwanaume uolewe na uachane kabisa na uzinzi

    Nawaambia walokole na watu wote mnaopata Sana mikosi Hakuna kitu kinarudisha nyuma Kama uzinzi . Dhambi ya uzinzi inaondoa kibali na unabaki kuwa mtu wa kawaida ambaye hauna impact yoyote. Beatrice Mwaipaja -uzinzi ndo umekufikisha hapo na sio huyo shetani wala mapepo . Kupata kibali cha...
  8. Mwarobaini wa kukomesha tabia ya uzinzi kabla ya ndoa huu hapa

    Habari! Mimi naona uwepo utamaduni kwenye jamii zetu za sasa wa kuwasaidia mabinti. Wanazalishwa kisha wanaachiwa jukumu zito la kulea watoto peke yao. Wanazalishwa kisha waliowazalisha wanakwenda kuoa msichana mwingine na yule aliyezalishwa kuonekana hajatulia na jamii kumtazama kwa mtazamo...
  9. Kijana ukiendekeza uzinzi hautoboi aisee.

    Vijana wenzangu tubonge jambo, kidogo haya mambo nitakayo ongea nimeyapitia japo nilikuja nikashutuka mapema kabla sijachelewa nikabadilisha muelekeo na matokeo chanya nayaona. Kama ww ni kijana ambaye bado ndo unajitafuta na una ndoto za kufika mahali fulani kimafanikio, basi itabidi uwe na...
  10. Historia fupi ya mwaka 2006-2008 Mpenzi wangu Akiwa analea Mtoto Akawa Anafanya Uzinzi

    Kwa wale mnaokumbuka miaka hio kulikuwa na sakata la Barclays bank kwenye ishu za mikopo na upotevu wa pesa, wakati huo nikiwa mwajiriwa idara fulani hivi ya Serikali kabla ya kujinasua na kuwa mjasiliamali wa pori kwa pori. Basi bhana nyakati hizo nilipata boom la kimtindo nikatimba ifakara...
  11. Nina mwaka mmoja na nusu sijafanya uzinzi

    Je Wajua? KISANGATI - Ni mtu mwenye tabia ya kutopenda kutumia na kutoa kilicho Chake Kwa wengine (Kwa mujibu wa BAKITA) Wakuu ni mwaka mmoja na zaidi Sasa sijafanya Uzinzi/Uasherati na bado Niko poa kabisa! Kitu ambacho namshukuru Mungu kunipatia ni kutokuwa na tabia ya kupenda wanawake...
  12. Uzinzi mnauchukuliaje?

    Habari zenu jf, moja kwa moja kwenye mada hivi uzinzi mnauchukuliaje, maana nilikuwa nasikiliza kipindi cha mwarobaini cha chaneli ten, nadhani kuna swali walikuwa wameuliza ambalo linauhusu siri ambazo umewahi kufanya wakati uko na x wako na hajawai kuzijua mpaka leo. Baadhi ya majibu kutembea...
  13. Wanaume na wanawake wanaojitambua ambao hawajawai Kufanya uzinzi walio jitunza naomba tujuane hapa tafadhali

    Wanaume na wanawake wanaojitambua ambao hawajawai Kufanya uzinzi walio jitunza naomba tujuane hapa tafadhali
  14. Tuambiane Dalili zinazonekana kwa mwanamke ambae ametumika sana kwenye uzinzi au uashetati

    Hi, Kwa uzoefu wangu wakati na wajuu, nimeona na kushuhudia papuchi mbovu mbovu, ambazo ni kinyume na muonekano wa nje wa mwanamke kwenye maeneo kama mavazi,, urembo, sura, shepu,, samosa zimetumika hovyo. Wanaume tujitafakari hawa wadudu wanashinda sana saloon ila chini moto chini kwa hovyo...
  15. Uzinzi na biashara

    Naomba kuuliza eti pesa au biashara haviendani na uzinzi au kujaamiana na watu flani flani au kujamiiana na mtu flani specifically Je ni kweli pesa huwa inakimbia ukianza kufanya uzinzi Au ukiwa na mahusiano na watu flani flani? Binafsi nina ushuhuda Ukiwa msafi namaanisha haujamiiani mauzo na...
  16. N

    Dhambi ya uzinzi ni mbaya sana

    Moja ya dhambi mbaya kwenye maandiko matakatifu itakayowafanya watu wengi waikose mbingu na kwenda motoni ni dhambi ya uzinzi na uasherati licha ya kuwa dhambi zote zina toba ila hii dhambi ya uzinzi toba yake ina procedure nyingi inaiñclude watu wengi ili uweze kusamehewa pamoja na hilo mtu...
  17. N

    Unafahamu toba ya uzinzi na uasherati?

    Habari wakuu!! Wote tunaamini ipo siku tatasimama mbele za Mungu kutoa hesabu ya yale tuliyoyafanya, mambo ambayo yatatupa uhalali wa kuingia mbinguni au kukataliwa na kutupwa kwenye ziwa la moto! Mtu haendi motoni kwa sababu amefanya dhambi ila anaenda motoni kwa sababu amekataa kutubu hiyo...
  18. Ndoa ya mke mmoja ni mpango wa shetani tusiache uzinzi?

    Nauliza kwa upole, tujadiliane bila jazba. Sidhani kama kuna mwanaume mwenye mpenzi au mke mmoja tu. Katika marafiki zangu milioni moja huyo mtu hayupo, labda useme huko hali ipoje. Nimejaribu tu kuwaza, labda ni mpango wa shetani kuchomekea hii itikadi. Alichomekea akijua huu mtego hawa...
  19. T

    Uzinzi umeharibu maisha ya familia yetu

    Wakuu bila shaka mnaendelea vyema. Tumezaliwa watoto wanne , mimi nikiwa wa tatu. Mtoto wa kwanza ni wa kike yeye aliolewa wakati wa ukuaji wangu hivyo sifahamu sana kuhusu kumhusu. Kaka yangu alikuwa ni kipanga tangu darasa la kwanza hadi la saba hakuwahi kutoka top 3, alivyomaliza la saba...
  20. Acha uzinzi, unajimaliza wewe mwenyewe

    Kumekucha! Baada ya kuwapopoa wanawake ombaomba wanaojificha kwenye kichaka cha mapenzi sasa nawarudia vijana wazinzi (both men and women). Uzinzi haujawahi kuleta tija kwa mtu yeyote tangu Dunia ianze. Uzinzi ni dhambi, hautoshelezi. Ni tendo lisilokata kiu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…