Habari!
Nilitaka kuandika kitabu muda kidogo chenye title inayosema "Kanisa la uzinzi" ila nimekosa muda kidogo, ila ipo siku nitaandika hichi kitabu ili angalau watu wachache wapone.
Kanisa la sasa limepatikana, silaha ya mwisho ya Ibilisi ambayo ni roho ya uzinzi inafanya kazi kwa kasi sana...
Ni aibu kubwa mno kuona jinsi gani mijitu na ndevu zao yanavyoanzisha mada kuonyesha kufurahishwa na tukio la zinaa la mke wa Masanja Mkandamizaji. Nasema tukio la zinaa kwa sababu hakuna mwanamume yeyote anayetazama upande wa pili wa marehemu mzinzi isipokuwa GENTAMYCIME pekee, bali wengine...
Na Christian Bwaya
Ninapata chai ya jioni na Injinia. Jamaa kafanikiwa. Maisha yake yanaongea na kuhamasisha wengi. Jamaa anaheshimika na kanipa heshima ya kikao. Simu zimeachwa yatima mezani kwa takribani saa mbili zilizopita.
Injinia anaomba kutoka akateme mate kidogo. Namruhusu...
Unamleta Dar demu kutoka Arusha, umemlipia tiketi ya ndege go and return, umelipa hoteli chumba super deluxe 150,000/, maandalizi kibao umeyafanya ambayo yamegharimu hasa kipato chako.
Umeenda airport kumpokea mchuchu, mashamsham kibao, halafu demu anakwambia ameanza kubleed wakati wa take off...
Habari ya asubuhi wanajamii
Nimekua nafuatilia baadhi ya mambo yanayofanyika katika jamii ya Tanzania leo kwakweli yanasikitisha na kukatisha tamaa. Wakati tunaendelea kulia kuhusu ugumu wa kudumu kwenye mahusiano kwa wanandoa au wapenzi tusisahau kuangaliza chanzo cha ugumu huo.
Leo...
Nawasalimu katika jina la chama pendwa CCM.
Leo nimekuja kitofauti.
Leo ninatoa maoni yangu kuhusu mambo ya mapenzi na ndoa. Kabla sijaelezea nataka kila msomaji ajikumbushe ule msemo usemao "fuata maneno yangu sio matendo".
Leo nitaongelea kitendo cha madhehebu yetu hasa ya kikristo...
Katika watu ambao nilikua najivunia uplayer na kuchezea wanawake basi mimi ni miongoni mwao.Sina idadi kamili ya wanawake ambao nilishawahi kuwachezea,kumbukumbu zangu hata haisebiki. Mtu mwenye akili hutulia na mpenzi mmoja! Hii ni dhahiri huna vitu vingi vya kuwaza ukitulia na wa kwako mmoja!
Habari!
Ninaposema vijana wazinzi na walevi mtakwisha simaanishi kuwa mtaiacha dunia na kutuacha sisi ambao hatufanyi uzinzi na hatulewi. La hasha, namaanisha nguvu kazi inapotea, vijana wanakufa wakiwa wabichi, heshima na utu wa vijana umeondoka katika jamii kwasababu ya pombe na uzinzi.
Kivipi...
1. UZINZI MATAWI YA JUU, mfano munatoka Tanzania mnapanda ndege munaenda China kufanyia uzinzi, au mnafanyia uzinzi kenywe hotel za 5 stars dau linakuwa kubwa kidogo kama 400,000/= kwa siku
2. UZINZI MATAWI YA KATI, mfano mnaenda kufanyia uzinzi kwenye lodge,gest za dau dogo kuanzia tsh 5000...
Dunia inavyozidi kuendelea kuna dhambi ambazo kila kona zinaongoza kwenye billboard za mbinguni.
Hizi dhambi huwezi kukosa kusikia kwenye habari hata siku moja.
1-uzinzi
2-mauaji
3-dhulma
4-ushirikina
miaka nenda rudi lazima ukutane nazo
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Masanja Mkandamizaji anamsisitiza Diamond awape mimba wanawake kutoka nchi zote Africa Mashariki.
Huyu mchungaji chenga sana, anaacha kuhubiri toba na kuacha dhambi yeye anasisitiza Diamond awape mimba haraka huko nchi ambazo Bado Kisha aoe.
Dini imevamiwa
Ndugu zangu nimeacha rasmi uzinzi kuhangaika na mademu wa kuokota njiani. Toka 1997 sijaona faida ya uzinzi zaidi ya kutumia gharama kubwa na kujiweka hatarini na magonjwa ya UKIMWI/Zinaa/COVID.
Pesa ya kulipia gesti na pombe napeleka VICOBA tukutane May 2022.
Kwa kipindi cha mwaka mmoja nimefuatilia maada nyingi humu ndani hakika wanawake wamezidi kufanya ngono ndani ya mahusiano.
Yaani kuna matukio yanajitokeza mpaka unashindwa kuelewa kama wana moyo wa huruma au wameingiliwa na shetani gani. Mtu unaingia kwenye Ndoa kwa kusahau yote aliyoyapitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.