Habarini Wana jukwaa.
Nimekuja mbele Leo kutafuta connection, Network ya kazi.
Nina uzoefu wa miaka 8 kazi za Administration, procurement and logistics.
Nina uzoefu nmefanya kazi kwenye Mashirika na pia kwenye sekta binafsi.
Nipo tahari kufanya kazi mahali popote.
Kwa Maelezo zaidi pamoja na...
Kuna shirika lina jiita Allience In motion global. Linakusanya vijana toka mikoa mbalimbali Tanzania, likiwaahaidi kuwapa ajira. Badala yake vijana huishia kutapeliwa kwa kujidai wana fundisha networking marketing.
Wengi wamelia na kusaga meno baada ya kutoa tsh 900,000. Na Wengine 580,000...
Naombeni msaada wa kupewa ushauri
Binti yangu kamaliza mwaka jana form four; matokeo yake yametoka mwaka huu, kapata Divion one ya point 9
Matokeo ya masomo yake
MATH A, BIOLOGY A ENGLISH A, GEOGRAPHY A, HISTORY A, PHYSICS B, CHEMISTRY B, KISWAHILI B,CIVICS B LITERATURE IN ENGLISH B
Yeye...
Gari ni Toyota Wish 2010 (wanaiita new Model) kwa mkazi wa Bunju ofisi Posta. Inaweza ikawa na wastani wa Kms ngapi kwa lita moja?
Kwa mwenye uzoefu please. Hapo fikiria umewasha AC muda wote maana ndo kazi yake. Hakuna kuzima wakati wa foleni.
Nimeweka huu Uzi ili watu wanaoishi na ugonjwa kisukari kuelezana na kusaidia mawazo na uzoefu na changamoto za ugonjwa na kuelezana namna kukabiliana nazo karibuni
Ambaye amewai fika na kuishi chini maurritius tunaomba atupashe habari kuhusu nchi hiyo kuanzia utaratibu wa kuingia chini humo,Maisha ya kila siku na shughuli za kiuchumi kama ajira na biashara.karibu.
Kuna soundbars aina ya SKYWOOD, 470 Watts naiona katika matangazo katika social media tofaut tofauti
Mwenye uzoefu na aina hii ya mziki alete uzoefu wake
Binafsi napenza mziki mnene uliochujwa vp huu unafaa ili niagize?
Si kila kava ni kwajili ya ulinzi wa simu, Kuna kava ambazo zipo kwajili ya mvuto, ikiwa unanunua kasha kwa lengo la mvuto chagua yoyote itayokuvutia lakini kwa lengo la ulinzi hasa kwetu wenye uchumi wa kawaida tunaopenda kutunza simu, yatupasa kujikita na hadhi ya ulinzi wa kasha.
Kava nzuri...
Kuhusu Hii thread- Credit zote ziende kwa mwamba Joel Nanauka. Nimeichukua kama ilivyo kutoka kwenye akaunti yake ya Twitter @jnanauka- hili jina jipya la Twitter la X linanitatiza sana silipendi.
Twende sasa moja kwa moja kwenye mada yetu ya niliyocopy and na kupaste.
HEKIMA 7 ZA UONGOZI...
Habari ndugu zangu.
Girl ni wa ki persian pure, kwao Tehran ila yupo bongo kwa muda.
Tumekuwa marafiki na nahitaji muongozo kutoka kwenu ili niliwakilishe vema taifa.
Asanteni.
Habari zenu wakuu,wakubwa shikamoni
Straight to the point,Niko mwaka wa tatu chuo x, niliingia na mipango mingi sana nilivyotoka advance ya kusave boom ili ikiwezekana nifungue biashara kwasababu home hali ndo hivyo maisha sio mazuri sana
Tunapewa elimu tu mtaji utajua mwenyew na sababu...
Katika zama hizi za utandawazi, usafiri umekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku. Tunaweza kusafiri kwa ndege, treni, basi, gari, pikipiki, au hata kwa miguu. Hata hivyo, pamoja na urahisi huu wote, bado tunakabiliwa na changamoto nyingi, ikiwa ni pamoja na ucheleweshaji, ajali, na...
Prof Janabi anatosha WHO. Nashauri timu ya kampeni iwe na watu wenye exposure ya Kimataifa haswa. Huku Peramiho tunawaunga mkono.
PIA SOMA
- Ikitokea tukapewa nafasi nyingine, Prof. Janabi anafaa kuwa Mbadala katika nafasi ya Faustine Ndugulile DG-WHO
Kuna mahali nimepita nikakutana na hii "Multifunctional Turntable Bluetooth Record Player with Vinyl to MP3 Converter, CD, Cassette Player, and FM Radio", bei yake 250,000/=, je is it worth it ama iko overpriced?
Hizi dude nazionaga sana kwenye movies ila sijawahi kutana nayo physically...
Habar za muda huu
Asalem aleykum,
Ndugu jama na marafiki nipo hapo Leo kuelezea changamoto yangu kwenu nipo hapa kuomba Kazi za udereva wa kumuendesha mtu, taasisi yoyote ile hatakama ipo gari ya Uber.
Niko tayari kufanya mana hiyo Kazi nimesha fanya na account zote ninazo za Kazi.
Naomba...
Wasimamizi wasaidizi zaidi ya 600 wa vituo vya kupiga kura uchaguzi Serikali za Mitaa wa jimbo la Tabora wametakiwa kutokutanguliza uzoefu wa usimamizi wa chaguzi zilizopita katika uchaguzi wa mwaka huu badala yake wafuate mafunzo na mwongozo wa usimamizi wanaopewa ili kuweza kufanikisha zoezi...
Kuepuka kuumia wakubali watu kama walivyo na sio kwa vile unavyotaka wao wawe. Kwasababu hawawezi kuwa kama unavyotaka
Tafuta amani kwa kufanya mambo yako na sio kufuatilia maisha au mambo ya watu wengine
Jiangalie na kujithamini wewe mwenyewe kwasababu lolote likikupata watu wanaendelea na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.