uzoefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baba Benson

    Naomba mwenye kujua mahali naweza pata nafasi Quality assurance officer

    Habari wana JF katika jukwaa letu hili pendwa, Nina shahada ya sayansi katika kemia UDOM. Sijabahatika kupata kazi serikalini kama mnavojua ugumu ulivo lakini nimefanya kazi katika kitengo cha ubora ( Asst lab tech na Quality supervisor) katika kiwanda cha kuchakata samaki ambapo kimsingi...
  2. Hypersonic WMD

    Mwenye analima Papai atupe uzoefu wa soko la papai

    Naonaga kama hiki kilimo ni hatar kutokana na kua papai inaharibika haraka . Na pia haina matumizi mengi kama vile juice, au kuliwa mara nyingi ukilinganisha na matunda mengine soko lake likoje,,? Hayaozei shambani kweli
  3. mzeewangese

    Serikali kuna haja kuomba msaada kwenye kampuni za uchimbaji madini Maana wana uzoefu Mkubwa na mambo kama hayo

    Kuna umuhimu mkubwa wa kuhusisha kampuni kama Barrick Gold au nyingine za uchimbaji madini ambazo zina vifaa vya kisasa na utaalam wa kushughulikia shughuli za kufukua vifusi kwa haraka na kwa usalama. Kampuni kama hizi zina vifaa na uzoefu unaoweza kuwa msaada mkubwa, hasa katika hali kama hii...
  4. K

    Mwenye uzoefu wa Biashara ya cake accessories

    Habari wadau!, Naomba mtu mwenye uzoefu katika biashara ya cake accessories (vifaa vya kutengenezea keki (isipokua oven), mapambo ya keki, mabox, ingridients za keki, n.k) anisaidie kunipa overview ya biashara hii pamoja na makadilio ya mtaji.
  5. The ice breaker

    Naomba uzoefu kilimo Cha bamia

    Wakuu habari Aliwahi kulima kilimo Cha bamia , naomba uzoefu 1. Mbegu nzuri yenye kukua Kwa haraka 2. Mbolea gani nzuri na dawa za kuulia wadudu 3. Upande wa sokoni 4.Kwa heka moja naweza kupata kiasi gani Hapa, teyari Nina pump ya kumwagilia, shamba lipo , na maji Yana flow through...
  6. KING MIDAS

    Kwa uzoefu wangu, sehemu zenye Waha wengi ni ngumu sana kufanya biashara

    Salaam Nia ya uzi wangu sio kubeza wala kudhihaki mtu yoyote, ila natoa angalizo tu kwa mtu mwenye nia/ ndoto/ dhamira/ kusudi la kufanya biashara ajue anakabiliwa na mtihani mkubwa mbeleni. Utafiti wangu umejikita mitaa ya Boko Chasimba, ambako Nina nyumba kadhaa za kupangisha na ninaona hali...
  7. Mutangi

    Uzoefu wangu baada ya kutumia 5G smartbox kutoka Airtel

    Wakuu habari za wakati huu? Moja kwa moja niende kwenye mada. Kwa dunia ya sasa internet imekuwa ni moja kati ya basic needs kama ilivyo chakula, mavazi na malazi. Lakini changamoto kubwa hasa kwa nchi zetu za ulimwengu wa tatu huduma ya internet inaonekana kama ni anasa. Kwanza ni unreliable...
  8. B

    Natafuta kijana wa operation mwenye uzoefu wa kazi za usafirishaji

    Habari tena wadau. Natafuta kijana mkazi wa Dar es Salaam, kazi yake itakua ni kutafuta tenda ya kubeba mizigo kwenye makampuni na viwandani kwa kutumia malori. Elimu kuanzia certificate, mwenye uzoefu katika usafirishaji.
  9. ranchoboy

    Uzoefu Wangu na Mafunzo Niliyojifunza Kutoka Israeli

    Nikiwa mwanafunzi wa shahada ya juu katika chuo flani cha kilimo hapa nchini, nilipata nafasi ya pekee ya kuhudhuria kozi fupi (short course) usawa wa siku 14 ivi nchini Israeli. Katika safari hii, niliona kwa macho yangu jinsi wenzetu wanavyoendesha mambo, na nilijifunza masomo muhimu...
  10. enzo1988

    Je, uzoefu siyo tatizo kwa wayahudi huko vitani? Angalia umri wa huyu kamanda aliyeuawa huko Lebanon.

    Kuna kamanda ameuawa na Hezbollah huko Lebanon, ukiangalia umri wake halafu ndiyo kiongozi, napata shida kidogo! Wajuzi wa vita tupeni elimu! Israeli commander killed in Lebanon, Israel says The Israeli military says an army squad commander has been killed in Lebanon. It's the first combat...
  11. haszu

    Naomba uzoefu wa kuendana na mke wenye uhitaji wa "sex" kila wakati

    kwa uzoefu wangu nimefikia hitimisho la kusemackua, mke wangu ana nguvu nyingi kwenye tendo la ndoa na si kuwa nina tatizo la nguvu za kiume. Nimejaribu kuendana na kasi yake ya uhitaji wa jambo hili lakini nimeona uhitaji wake ni above average. Naomba msaada wa namna ya kuedanda nae, anapokua...
  12. G

    Mkong'oto wanaotembezewa wastaafu wanaotumia mafao kuanzisha biashara ni funzo kwamba uzoefu ni muhimu, Biashara zinabuma stress zinawamaliza wazee !

    Wafanyakazi wa serikalini na baadhi ya makampuni huwa wanakatwa pesa kila mwezi kwenye mishahara yao kwa ajili ya malipo yao ya mafao ya kujikimu wakistaafu. Mafao wanayopewa kwa mkupuo moja huwa ni fedha nyingi sana mfano milioni 200, 150, 100, 50, 30, n.k. kulingana na kazi walizofanya...
  13. chibuOG

    Kwa Milioni 15 naweza kujenga nyumba ikakamilika na nikahamia?

    Nina milioni 15 CASH na kiwanja kipo kigamboni nataka kujenga naomba kujua kwa pesa hiyo naweza kukamilisha nyumba nikahamia kabisa?
  14. Mhafidhina07

    Uzoefu ni jambo muhimu katika Maisha, inakuwaje watu mnawakataa single Mamaz kwenye mahusiano ya ndoa?

    Hakuna ubishi unapoomba kazi moja ya sifa na kigezo kinachozingatiwa ni uzoefu wa kazi how long you work for the position?una yafahamu vyema majukumu yako na kuna impact gani umeifanya katika taasisi yako uliyotoka? Lakini mambo yamekuwa tofauti katika mahusiano hivi kwanini wanaume tunawakataa...
  15. N

    Naomba mwenye uzoefu wa kuandika barua ya kupinga makadirio ya kodi TRA anisaidie mfano

    Naomba mwenye uzoefu wa kuandika barua ya kupinga makadirio ya kodi TRA anisaidie mfano.
  16. Kyambamasimbi

    DOKEZO TANROAD Morogoro, Zebra ya Msamvu imefutika madereva wanatumia uzoefu kusimama Ili watu wavuke na mamlaka zimekaa kimya mpaka watu wagongwe?

    Ni mwaka sasa tangu kivuko Cha waenda kwa mguu kifutike eneo na msamvu stand ya Dodoma, madereva wa barabara kubwa kama hii wanatumia uzoefu kusimama kuwa hapa Kuna kivuko. Mamlaka zipo na zimekaa kimya au mpaka watu wagongwe? Tusiishi kwa matukio tubadilike.
  17. Riskytaker

    Kwa wenye uzoefu na Dar, kati ya biashara ya daladala na gari za kukodisha (special hire), ipi inafaa kwa anayeanza na kwa nini?

    Pia kipi bora kati kununua gari/Coaster mpya au used?
  18. Kalamu Nzito

    Kuna Mwenye Uelewa au Uzoefu na Namna UFANDAO Inavyofanya Kazi?

    Habari wana JF Mimi ni jobless wa muda mrefu na nimeona nitafute njia za kupata mtaji nifanye project niliyonayo kichwani. Kuna mtandao unaitwa UFANDAO kwaajili ya ufadhili kutoka kwa watu mbalimbali endapo watashawishika na wazo lako. Kuna mwenye uelewa na namna inavyo-operate anipe hints...
  19. Moto wa volcano

    Tupeane uzoefu ulichukua hatua gani na nini ulijifunza ulivyoyumba kiuchumi kurudi kwenye ubora wako

    Kuna kipindi niliwahi kuwa na biashara nzuri na wafanyakazi pamoja na usafiri wa kutembelea ulionipa heshima kila niendapo, ikatokea biashara ikayumba mambo yangu yakaharibika ikapelekea kuangukia kwenye madeni mpaka kuuza gari langu aisee heshima yangu ilishuka mpaka sakafuni kuna...
  20. R

    Wenye uzoefu naombeni ushauri, kuhusu baba kaoa kule na mama kaolewa huko

    Wakuu Habari za weekend. Hivi unakuta Baba na mama walizaa ila kila mmoja akaenda na ndoa yake. Sasa kijana anataka kuoa, na yeye hajaishi kwa Mama yake wala kwa Baba yake. Kaishi na shangazi yake. Sasa anajiuliza kuhusu situation itakuwaje kuhusu mama yake kuudhulia kwenye shughuli kama...
Back
Top Bottom