uzoefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania JamiiClub Yaanzisha Vipengele Vipya vya Kuboresha Udhibiti wa Machapisho na Uzoefu wa Watumiaji

    JamiiClub Yaanzisha Vipengele Vipya vya Kuboresha Udhibiti wa Machapisho na Uzoefu wa Watumiaji JamiiClub imeendelea kuboreshwa kwa kuanzisha vipengele vipya vya kibunifu vya kimataifa vinavyolenga kuwapa watumiaji udhibiti zaidi wa machapisho yao, kuongeza uwazi wa maudhui na kuboresha namna...
  2. JamiiForums Tanzania Vilio mradi wa viwanja Mvuti Dar es salaam. Uzoefu wangu umenisaidia.

    Nimeona watu wengi sana wakilalamika kuhusu viwanja vilivyouzwa MVUTI Dar es salaam tarehe 30/10/2026 kwenye mfumo wa TAUSI Haya ni maoni yangu kwa uzoefu wa muda mrefu wa kutumia mfumo wa TAUSI. Uzoefu wa kunua viwanja, kuomba leseni za biashara, kushiriki Auction kwenye Mfumo. Malalamiko...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uzoefu huonyesha watu wa miaka 40+ huishi kujutia mambo ambayo hawakuyafanya kwenye miaka ya 20+

    KUPOTEZA SIKU MOJA INAWEZA KUGHARIMU MIAKA 10 KUIREKEBISHA 😔 KATAA KUGHAIRISHA HOVYO ✍️ KILA KUKICHA NA MUNGU AKIKUPA AFYA USIKUBALI KUIPOTEZA HIYO SIKU TENA UWE MKALI KWA YOYOTE MWENYE KIASHIRIA CHA KUIVURUGA SIKU YAKO #Mwanasayansi Saul kalivubha #Malenga wa Kiha #Fikia Ndoto Zako
  4. B

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu kwenye kilimo cha Mahindi 2025_2026. Hili zao libaki kuwa zao la Chakula tuz kwenye biashara haifai

    Mtu akitusua vipesa vyake kama vya kina Wicknell anakuja kutupigia makelele oooh Mimi Mkulima, Niko Manyara namlima kashamba ya Mahindi. Basi mwaka Jana nikajichanganya nikiwa Bagamoyo huku Karibu na Tanga wanapata........ Nikalima mahindi, nimechanganya na Elimu yangu na uzoefu kutokankwa...
  5. JamiiForums Tanzania Nchi 22 za Afrika zakutana Tanzania kubadilishana uzoefu wa Mtaala unaozingatia umahiri – Prof. Shemdoe

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amesema nchi 22 za Afrika zimekutana nchini katika Mkutano wa Sita wa Jumuiya ya Taasisi za Mitaala Afrika kwa ajili ya kubadilishana uzoefu kuhusu namna mabadiliko ya mitaala...
  6. JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu wa biashara ya almonds anijuze

    Kwema wakuu Kwa mwenye kufahamu upatikanaji wa almonds kwa bei ya jumla anijuze popote mm nafika Msaada tafadhali
  7. JamiiForums Tanzania Punyeto itanimaliza wakuu, Kwa mwenye uzoefu na alifanikiwa kuacha naomba ushauri wake natamani sana kuacha wakuu

    Punyeto itanimaliza wakuu Kwa mwenye uzoefu na alifanikiwa kuacha naomba ushauri wake natamani sana kuacha wakuu
  8. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Stationery na uzoefu nayo zaidi ya miaka 5 Niko Mwanza

    Habar za wakati huu, Samahan Mimi ni Kijana mchapakazi na muaminifu. Niko Mwanza nina miaka 30. Natafuta kazi yoyote ya halali, Nina ujuzi mkubwa wa kutumia computer pamoja na ufundi upande wa software. Pia na ujuzi wa kazi za Stationery mambo ya online application, kazi, mikopo ya wanafunzi...
  9. JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na biashara ya Dry cleaner anijuze

    Habari za muda Huu wadau, Mwenye uzoefu au anayefanya biashara ya Dry cleaner anijuze. Changamoto za biashara iyo Faida za biashara Soko linapatikana vipi (wateja) nakadhalika... Asante..
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mhitimu wa digrii au diploma ya kodi na bado hujapata ajira wala fursa ya kupata uzoefu wa vitendo, taarifa hii ni kwa ajili yako.

    HALA TAXPRO LAUNCHPAD Programme imeandaliwa mahsusi kwa ajili yako. Ni programu ya kukuongezea ujuzi na uzoefu wa vitendo katika taaluma ya kodi, na haitakugharimu ada yoyote ya mafunzo. Awamu ya kwanza ya programu itahusisha wahitimu 15 pekee, kulingana na idadi ya vitendea kazi vilivyopo...
  11. JamiiForums Tanzania Uzoefu wa Kukaribia Kifo

    Je umewahi kumsikia mtu aliyepata ajali mbaya au moyo wake kusimama akiwa hospitalini, madaktari wakamtangaza amefariki, lakini baada ya dakika chache moyo ukaanza tena kudunda na akazinduka? Anapozinduka, anakupa kisa cha ajabu cha pale alipokuwa kwa hizo dakika chache! Kitendo hiki huitwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna mwenye uzoefu wa kutoka kimapenzi na mwanamke lecturer humu?

    Kuna single mother mmoja nimemuotea mahali ni lecturer wa chuo kikuu kimojawapo hapa nchini.nimepiga mara moja lakini naona ameanza kuniganda,ila naona kama anajiheshimu flani hivi. Kuna mwenye uzoefu wa kutoka na hao viumbe kimapenzi humu?
  13. A

    JamiiForums Tanzania Je wewe ni mhitimu wa digrii au diproma ya kodi ambae umechoka kukaa mtaani bila kazi kisa huna uzoefu wa taaluma yako?

    Ewe mhitimu wa kodi hii ni nafasi njema kwako' (i). Unapenda kupata uzoefu ili uanze kutengeneza pesa kwa kutatua matatizo ya wafanya biashara na makampuni mbalimbali. (ii). Unahitaji kupata uzoefu kwenye taaluma yako ili uaminiwe na waajiri pindi unapoitwa kwenye interview. (iii). Tumia career...
  14. JamiiForums Tanzania Kampuni kutotoa nafasi za Madereva wapya wa malori kuchangamana na wazoefu, watatoa wapi uzoefu?

    Kwa sasa kumekuwa na ongezeko la mahitaji ya madereva katika kampuni za usafirishaji, hususan madereva wa malori yanayofanya safari za ndani na nje ya nchi. Hata hivyo, kampuni nyingi zinahitaji madereva wenye uzoefu wa angalau miaka 3 hadi 5. Kero yangu ni kwamba baadhi ya kampuni hizi...
  15. JamiiForums Tanzania Wafanya biashara wenzangu, tupeane uzoefu wa ku-deal na wateja wa online

    Nimeona niwashirikishe hili kwa sababu naamini wafanyabiashara wengi humu wana experience kubwa ambayo inaweza kutusaidia wengine. Mimi nafanya biashara ya vifaa vya ujenzi. Kwa kuwa siku hizi soko kubwa limehamia online, nilitengeneza page kwa ajili ya kutangaza bidhaa zangu. Kwa kweli...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa uzoefu wako juu ya Maisha toa maoni yako kuhusu msemo huu

    Kuna mtu mmoja nilikuwa nafuatilia mafunzo yake. Kuna kauli alisema "ANGUKO KUU LA MWANADAMU LIPO KATIKA KUSAHAU ALIPOTOKA" Kwa uzoefu wako juu ya binadamu,Maisha hata Dunia Kwa ujumla.niambie unavyouelewa.
  17. JamiiForums Tanzania Wenye Uzoefu na hii JBL BAR 1300MK2

    Wakuu niliikuta sehemu jamaa akaijaribu niliipenda sana nawauliza ni Chaka gani hapa Tanzania naweza kuipata JBL BAR 1300MK2 chini ya sh. 4M kwa kweli Mziki wake unaotoka humo niliupenda sana Full Specifications JBL Bar 1300XMK2-11.1.4 Channel Soundbar System With Detachable Surround...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Je, Lengo la Askari wa Usalama Barabarani ni Kuelimisha au Kutoza Faini? Uzoefu Wangu Musoma Umeniacha na Maswali

    Nimeamua kushirikisha uzoefu wangu nilioupata Musoma Mjini ili nipate maoni ya wanajamii na pia kuona kama kuna wengine wamewahi kupitia hali kama hii. Mnamo tarehe 19 Juni 2026 nilisimamishwa na askari wa kike wa Usalama Barabarani akiwa Musoma Mjini. Aliniomba leseni ya udereva, nikamkabidhi...
  19. JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na Majiko ya Induction ya ECOA anipe uzoefu tafadhali!

    Wakubwa habarini za leo, kuna hii kampuni ya wakenya inaitwa Bunny ndio wana tengeneza haya majiko ya ECOA induction cookers, naomba ambaye ameyatumia anipe uzoefu kabla sija jilipua kuchukua.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…