Jamani wazazi wenzangu tuwe makini na hawa wadada wa kazi wa majumbani, hapa Tabata Kimanga karibu na kanisa la Anglikana kafariki mtoto wa miezi sita, na msichana wa kazi kakiri na kusema kwamba yeye ndo kamnyonga, baada ya kumnyonga akaenda kumlaza chumbani kwa mama yake kimya akamwekea na...