vanila

  1. S

    Kunani ITV kutumika kutangaza utapeli? Ilianza na Vanila Village Njombe, ikaja Kaylinda na sasa inatangaza Vanila village Zanzibar.

    Wale matapeli wa Vanila village Njombe sasa wamehamia Zanzibar. Na ITV iliyokuwa ikiwatangaza wakiwa Njombe (Vanila village Njombe) ndiyo Sasa inawatangaza wakiwa Zanzibar (Vanila village Zanzibar). Hawa ITV ndiyo waliohusika kuwatangaza Kaylinda waliochezesha upatu kwenye mitandao na kisha...
  2. mgt software

    Kilio cha Walima Vanilla Kagera kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Kwako Rais Wetu Mpenda. Nianze kwa kukupa pole na majukumu yako ya kila siku, pia nikushukru jinsi unavyoongoza nchi kwa amani na utulivu. Bila kuacha kukupongeza kwa unavyopambana na miradi ya kimikakati katika kuiinua nchi kuelekea uchumi wa kati. Sisi wakulima wa vanilla Kagera tumekumbwa...
  3. somji

    Natafuta soko la Vanila Tanzania

  4. N

    Naomba kufahamu bei ya kilo moja ya vanila inauzwa sh. ngapi?

    Umofya kwenu wadau humu ndani. Twende kwenye maada ! Ni hivi wakuu mimi nipo huku Njombe na ningependa niwashirikishe juu ya uvumi wa bei ya zao tajwa hapo juu,kuna kikundi cha watu huku kimejitanabaisha kuwa ni taasisi(jina kapuni)kinapita kikiwahamasisha wakulima kulima zao la vanila wakidai...
Back
Top Bottom