Jipatie ubuyu mtamu sana wa kiarabu ambao unapata kwa ladha tofauti tofauti
Ladha ya Vanilla
Ladha ya Chocolate
Ladha ya Pilipili
Ni mtamu na hauchubui Mdomoni
Call:0752228138
Jumla na Rejareja
Mkurugenzi Mwanzilishi wa Makampuni ya Vanilla International Limited, Simon Mnkondya amejikuta Mikononi mwa Polisi Mara baada ya kutajwa kutapeli wakulima wa Vanila mamilioni ya fedha na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paulo Makonda kuagiza akamatwe na alipe madai yao chini ya ulinzi mkali wa polisi...
Habari Wakuu!!!!
Tunahutaji wakulima wanaouza zao la Vanilla.
Tunahitaji ziwe zimekaushwa.
Ziwe Grade One kuanzia sentimita 13 na kuendelea.
Kama Una Grade nyengine njoo na bei tutalinganisha.
Serious farmers Tu wani DM ASAP.
Wakulima wa zao la Vanilla Mkoani Kagera wameendelea kuiomba Serikali kuingilia kati kuwasaidia kupata malipo yao ya zao hilo walilouza kwa Kampuni ya Sosaka Limited.
Imeelezwa kuwa Kampuni hiyo ilifuata taratibu zote na kupata vibali kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera, ikanunua Vanilla...
Sisi Wakulima wa Zao la Vanilla Kagera tulimuuzia Kampuni ya Sosaka Limited iliyopewa vibali na Ofisi ya Mkoa wa Kagera, vanilla zetu mnamo tarehe 19-23 July 2023 lakini mpaka sasa hatujalipwa hela zetu. Sosaka alikua ananunua vanilla kwa bei ya 15,000 Tsh na alikusanya takribani kilo 80,000...
Matukio ya watu kutapeliwa kwa njia ya Upatu yamekuwa yakishamiri nchini na hii inahusishwa zaidi na ndoto za baadhi ya watu kutaka kutajirika kwa haraka huku wanaotajwa kuwa wasimamizi wa miradi hiyo wakitumia mbinu za ushawoshi
Kama heading inavosema hapo juu wakuu Nina mtu anahitaji vanilla kiasi chochote na kwa bei tajwa hapo juu,
Mawasiliano piga 0746021481
Hata Leo uwezekano ukiwepo tunaanza safari ya Kuja kucheki mzigo.
Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu, kama unauza vanilla grade one (kuanzia sentimita 13 na kuendelea) njoo PM kwa mazungumzo zaidi.
Iwe Dar es Salaam.....
Call/Whatsapp: 0710535327
Habarini members.
Kuna mzigo wa vanilla safi iliyokaushwa vizur unatafuta mnunuzi/mteja.
Kiasi kilichopo:Tani 40
Bei kwa kilo : Tsh1,100,000/= (negotiable)
Mahali mzigo ulipo: Comoro
Mzigo unafika mahali popote ukihitaji karibu PM for more details
Nataka nitafute masoko ya Vanilla nje ya mipaka ila kabla ya yote ningependa kujua bei ya Vanilla ni TZS ngapi kwa sasa hasa maeno inapotoka iwe Kilimanjaro, Bukoba ama Iringa.
Naomba anayejua anishirikishe niweze kujua bei ya kwenye source mashambani huko au kwenye zile AMCOs
Wanajamii poleni na majukumu, nipo hapa Dar es Salaam hila natokea Mkoani Kagera ambako kuna wakulima wa Vanilla wengi mno na zao hilo limekosa soko.
Wanakijiji wenzangu wamenituma niwatafutie wanunuzi huku hila hapa Dar nikaambiwa hawapo mpaka huko Zanzibar hivyo nauliza mwenye kuwajua hao...
Blue Java bananas are popular bananas that can be eaten fresh or cooked. They are known for their fragrant flavour which has a vanilla-like custardtaste.[2] The fruit goes well with ice cream.
They are also popular as ornamentals and shade plants for their unusual blue coloration, large size...
Ujumbe wa DC Njombe kissagwakisakasongwa kuhusu VanillaNjombe
📍Serikali bado inafanyia kazi maswali mengi yaliyopo katika jamii kutokana na matangazo kwamba Vanilla inalipa na bei ya manunuzi ya Vanilla kwa kilo zinazotajwa kuwa ni kubwa sana. Naomba wananchi tuwe watulivu wakati Serikali...
Wana JF.
Waziri wa Kilimo Mkenda ameonyesha ubingwa wa kukwepa maswali au kutoa majibu mepesi kuhusu mikakati ya kuimiza na kuboresha zao jipya la vanilla katika kuleta maendeleo ya nchi na wakulima, yeye jinsi alivyojibu unaweza Ukakaa chini ukalia. Yale matatizo wapatayo wakulima wa korosho...
Nisiwachoshe bure nitaandika kifupi sana. Kuna tangazo limepata airtime kubwa kwenye ITV kuhusu Vanilla International inayo promote kilimo cha vanilla wilayani Njombe. Bottom line ni bei ya soko ya kilo moja kuwa ni Tsh 850,000.
Wasiwasi wangu:
1. Kama faida ni kubwa hivyo kwa nini wasilime...
Salaam. Mdau mjuvi na mpenzi wa mafanikio ya binadam mwenzie anisaidie kupata mteja wa vanilla wa uhakika hasa wa nje kuanzia kg 100. Na haizid kg 150.
wadau nahitaji mteja wa kuaminika wa vanilla kavu. naanza na kg 120 zilizopo. mwenye offer nzuri ya nje au ndani atoe mchango wake kwa mjasiriamali mimi. mteja awe dar au bukoba
Wakuu kwema? Hili zao la vanilla nimeona linapigiwa chapuo sana hasa kwenye bei yake nasikia ipo juu sana hadi kufikia usd 500 kwa kilo. Je ni kweli?
Kwa wadau wanaohusika na ulimaji au wenye uelewa wa hili zao waje watupe elimu kuhusu ulimaji wa hili zao. Mimi siyo muumini sana wa fursa...
Wadau
Naomba kujua ukweli kuhusu biashara ya Vanilla ambayo inatangazwa sana na jamaa wa Vanilla International wa Vanilla Village wa kule Njombe.
Kwa mahesabu ambayo wamenipa naona faida yake ni mamilioni ya shilingi kwa mfanio ukiwekeza 10m faida yake kwa mwaka huo uikshavuna na kuuza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.