vanilla

  1. M

    Kwa anayejuwa kuhusu zao la vanilla

    Siku za hivi karibuni kumekuwa na uhamasishaji mkubwa sana juu ya kilimo cha vanilla hapa nchini Tanzania, wahamasishaji wanadai kuwa zao la vanilla ni zao lenye faida na lina utajiri mkubwa sana tena wanasema ni zaidi ya madini. Mimi binafsi nashawishika kuingia kwenye Kilimo hicho ila tu...
  2. Informer

    Kilimo cha Vanilla nchini Tanzania

    Zao hili lilianza kuingia nchini kutoka Uganda mnamo mwaka 1954 kupitia kwa mkulima mmoja wa kijiji cha Kiilima wilaya ya Bukoba Vijijini. UTANGULIZI Zao la vanilla ni moja ya zao la viungo ambalo asili yake ni Kusini Mashariki ya Mexico na sehemu nyingine za Amerika ya Kati. Vanilla hulimwa...
Back
Top Bottom