var

The video assistant referee (VAR) is a match official in association football who assists the referee by reviewing decisions using video footage and providing advice to the referee based on those reviews.

The assistant video assistant referee (AVAR) is a match official appointed to assist the VAR in the video operation room and around the pitch. There are 3 AVARs (AVAR1, AVAR2, and AVAR3) that are assigned to different parts of the game that they are charged with reviewing, and are in consistent communication with the VAR about possible situations that might warrant further review. The job of the AVAR1 is to watch the main camera and communicate some of the more obvious offenses within the game. The AVAR2 is located at the offside station and are responsible for assisting the VAR with offsides and reporting possible missed offside calls. The AVAR3 is responsible for monitoring the TV programs and assists in communication between the AVAR2 and the VAR since the AVAR2 is at the offside station.
  1. D

    leo kuna game ya community shield simba na yanga princess, VAR ya KARIA iko wapi??

    I will be short. tulisema tutaelewana tu with time, juzi tu hapa alisema games za community shield VAR inaweza kutumika. leo kuna game ya community shield VAR iko wapi? incompetence tu. nothing to show for it. karia should change or leave.
  2. magabelab

    VAR,

    .
  3. D

    Wallace Karia amesema hakutakuwa na matumizi ya VAR

    BUDGET YA VAR BUNGE LIMEPITISHA✅ PESA WAMEPIGA, VAR AMNA , TUTAELEWANA TU NA KARIA
  4. N

    Wallace Karia: Msimu huu hakutakuwa na matumizi VAR Ligi Kuu

    Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema hakutakuwa na matumizi ya VAR kwenye msimu huu wa Ligi Kuu mpaka kutakapokuwa na uhakika wa kutosheleza mechi zote kutumia VAR. Amesema VAR inaweza ikatumika katika mashindano yanayojumuisha mechi chache kama vile Ngao...
  5. OMOYOGWANE

    TFF mnalitufanyia utapeli wa VAR wapenzi wa soka mnasingizia vibali wakati huko Mauritania VAR imeanza kutumika

    Wakuu, Leo VAR imeanza kutumika huko Mauritania kwenye ligi yao Sisi huku licha ya uzinduzi kufanyika na ligi kuanza TFF wanasingizia vibali kutoka CAF na FIFA. Huu ni utapeli wa mchana kweupe. Tutegemee maumivu zaidi mpaka msimu unaisha ================== UPDATES Tumepigwa...
  6. Wakusoma 12

    Hivi VAR itaanza lini kutumika kwenye Ligi kuu ya NBC 2024/2025? Maana kumekuwa kimya na ligi imeshaanza

    Habari ndiyo hiyo wakuu mliopo Dar es salaama vipi mambo tayari ama Bado? Uzi tayari. Katika nyakati tofauti kwa mwaka huu tuliambiwa na TFF kuwa VAR itaanza kutumika kwenye michezo ya ligi kuu ya NBC katika baadhi ya viwanja vitakavyokidhi vigezo. Lakini ligi imeanza tunakwenda mzunguko wa...
  7. Bila bila

    TFF kutangaza Waamuzi wa ndani ya uwanja bila waamuzi wa VAR haijakaa Sawa..

    Mwishoni mwa msimu wa ligi uliopita tuliambiwa Sasa waamuzi watasaidiwa na teknolojia saidizi ya Uamzi (VAR), lakini Jana orodha ya waamuzi wa Mechi zote 2 imetoka na hatuoni wataalamu VARs. Je bado haziko tayari japokuwa AZAM TV walishatuonyesha ziko tayari? Au uwepo wake unahitaji utashi wa...
  8. mtwa mkulu

    Bongo Fm ya TBC mnaogopa nini kumtaja aliyeleta VAR ya Gharama kubwa sana?

    Hawa vijana wa Bongo Fm sijajua ama Kwa kusahau ama Kwa kuona si muhimu wamerusha taarifa hii Kwa kuweka kipande tuu Cha maneno ya Mh waziri Mkuu. Najiuliza sana kipi kinawatisha kumtaja aliyetoa VAR?
  9. dr namugari

    Bajeti ya Kenya ni trillion 88 na hakuna bajeti ya VAR

    Nimeamini kenya Ni taifa kubwa kwa nyanja zote za siasa na uchumi na mamb ya kijamii kwa kuitazmaa bajeti yake tu Ni Mara mbili ya bajeti ya Tanzania ya trillion 46 Taifa Lina ekeza kwenye mamb ya .msingi sna hakna blaa blahaa Kama huku kwetu serkali inasamehe Kodi kwa vitu vya kipuuz na...
  10. Mkalukungone mwamba

    VAR kutumika msimu wa 2024/25 ligi kuu ya NBC

    Afisa mtendaji mkuu wa bodi ya ligi, Almas Kasongo amesema msimu ujao 24|25 Video Assistant Referee (VAR) itatumika ligi kuu. Amesema, mfumo wa (VAR) utafungwa kwenye baadhi ya viwanja vinavyokidhi vigezo Nchini. Katika viwanja vya awali ni Benjamini Mkapa, Azam Complex, Mkwakwani Tanga na...
  11. BUSH BIN LADEN

    Baada Ya Yanga Kunyimwa Goli La Wazi Kabisa Dhidi Ya Mamelodi Na Refa Kukataa Kureview VAR Niliikosa Mantiki Ya Huu Mfumo. Mdau We Unasemaje

    Mdau we unasemaje? Waingereza nao huu mfumo umewachosha. https://www.bbc.com/sport/football/articles/c4n1ndlknk1o
  12. BARD AI

    Vilabu vya Ligi Kuu Uingereza kupiga Kura ya kufuta matumizi ya VAR

    Klabu zinazoshiriki Ligi Kuu zimeombwa kuunga mkono hoja iliyowasilishwa na Klabu ya Wolverhampton Wanderers inayopendekeza azimio la kupiga Kura ya kufuta Matumizi ya 'VAR' kuanzia Msimu ujao Pendekezo hilo ambalo linadaiwa kupingwa na Bodi ya Ligi Kuu linatarajiwa kusikilizwa Juni 6, 2024...
  13. D

    Kuna possibility ya kuwa na video assistant referee (VAR) next season NBC Premier league

    Kuna tetesi Azam amelipia VAR next season maana kuna cheaper alternatives ya var. FIFA introduced recently Azam na Board ya ligi wanataka kuipitisha. Kiwake next season, tutajua mchawi nani?! note : Hawa wazee wa TFF na board ya ligi wanaweza kuzingua, wataweka rushwa mambo yawe magumu, wapo...
  14. covid 19

    Eid ya mwaka huu mwezi tutaangalia kwa kutumia VAR tumechoka kufungishwa siku ya Eid

    Habari ziwafikie BAKWATA mwaka huu ngoma lazima itazamwe kwa VAT kama umeandama au la! Haiwezekeni kila mwaka tunafungishwa siku za eid hili lifike mwisho.
  15. Mhaya

    Siku mbu akitua kwenye korodani zako ndiyo utajua kuna njia bora ya kutatua shida au matatizo bila kutumia vurugu

    Mungu alianza uumbaji wake katika siku ya kwanza. Akaamua kuweka ardhi, lakini hii ardhi akaamua kuitofautisha, kwa nini? Kwa sababu alitaka dunia ipendeze. Akaiwekea miti na kwingine akaamua kupawekea mchanga mwingi na kupaita jangwa. Kwingine akaamua kupawekea tu mchanga wa kawaida, ndipo...
  16. Mayu

    Kuna tofauti kati ya VAR na Goal Line Technology

    Michuano ya CCL hawatumii Goal line technology ambayo ingemaliza huu utata CCL wanatumia VAR peke yake kusaidia kutoa maamuzi Angalia Goal line technology ilivyotumika kwenye hii video fupi hapo chini Utaona ni jinsi gani mpira unatakiwa uwe umeingia kwa asilimia 100 ili kuhesabika goli So...
  17. Mcheza Piano

    Wazee wa kimila, tunaweza kumroga refa wa jana na timu nzima ya VAR?

    Inawezekana kuwashusha busha na kupiga chata ya Yanga kwenye busha?
  18. Mr mutuu

    Sasa hawa watu wa VAR wanalipwa kwa kazi gani?

  19. mahindi hayaoti mjini

    Mnaotamani VAR ije haraka jiandaeni na maumivu

    Hii bila shaka ipo kwa maslahi ya watu flani, sie wengine tunafata mkumbo tu, Ni kweli ina faida yake ila hasara yake ni kubwa sana, imagine unakataliwa goli la halali kabisa ambalo pengine lingewaokoa msishuke daraja Nashauri tuangalie tena na tena uamuzi huu
  20. mtwa mkulu

    Happy birthiday Collina(the VAR himself)

    Tulisahau kukuwish tarehe 13 tulikuwa na mambo ya msiba. Heri ya kuzaliwa kwa mwamuzi bora zaidi katika historia ya soka Ulimwenguni, Pierluigi Collina ametimiza miaka 64 leo. 🎂🇮🇹🤝 Mwamuzi huyu anaongea lugha nne (Kifaransa, Kihispania, Kiitaliano, na Kiingereza). »Kabla ya kila mchezo...
Back
Top Bottom