Ziko timu ambazo zitashuka daraja kwa kupokwa ushindi na waamuzi dhidi ya timu kubwa nchini.
Round ya pili hata kama hakutakuwa na VAR lakini iwepo TV inayoweza kutumika watu kuangalia slow motion za matukio tata viwanjani.
Kwangu nadhani ili Tanzania tuweze kupiga hatua, VAR ni kitu cha baadaye sana. Kwanza inabidi tuwekeze kwenye kuendeleza kiwanda chetu cha michezo kabla ya masuala mengine ambayo yanaweza kufanyika baadaye sana.
Ni wazo zuri kufunga VAR lakini kwangu wazo zuri zaidi kwa sasa ni kuwekeza kwenye...
Mara baada ya Simba kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbeya Kwanza, bao ambao lilizua utata kutokana na baadhi kuamini kabla ya tukio hilo kulitokea Meddie Kagere kuwa offside kisha Clatous Chama kufunga, kuna maoni mengi yalitolewa.
Sehemu ya maoni hayo yalitolewa pia na Waziri wa Fedha...
Hata wazungu waligundua kuwa tatizo lao sio waamuzi wazuri viwanjani bali technology ya kufidia mapungufu ya kibinadamu katika kuona na kufanya maamuzi kwa matukio yanayotokea kwa haraka sana.
Tutaendelea kuwalaumu bure waamuzi wetu. Hata wakosoaji wanatumia fursa ya kuangalia tena na tena...
Habar wadau wa michezo,
Baada ya kelele nyingi za muda mrefu kua Tanzania marefa wetu Hua wanaboronga mechi kutokana na kufanya maamuzi ambayo yanaleta utata nimeona ni Bora wawawekee waamuzi wetu screen ndogo ambayo inakua imeonganishwa moja kwa moja na kifurush cha Azam ili kama linatokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.