var

The video assistant referee (VAR) is a match official in association football who assists the referee by reviewing decisions using video footage and providing advice to the referee based on those reviews.

The assistant video assistant referee (AVAR) is a match official appointed to assist the VAR in the video operation room and around the pitch. There are 3 AVARs (AVAR1, AVAR2, and AVAR3) that are assigned to different parts of the game that they are charged with reviewing, and are in consistent communication with the VAR about possible situations that might warrant further review. The job of the AVAR1 is to watch the main camera and communicate some of the more obvious offenses within the game. The AVAR2 is located at the offside station and are responsible for assisting the VAR with offsides and reporting possible missed offside calls. The AVAR3 is responsible for monitoring the TV programs and assists in communication between the AVAR2 and the VAR since the AVAR2 is at the offside station.
  1. Je, VAR kwenye michuano ya AFCON imeongeza au imepunguza ladha?

    Wakuu nini mtazamo wako kuhusu matumizi ya VAR kwenye michuano hii ya AFCON 2023 inayoendelea. Je,unaona imeongeza ladha au imepunguza ladha ya mpira?
  2. Tunahitaji aina ya refa kama yule aliyechezesha mechi ya Zambia na Congo, Januari 17, 2024

    Jana nimefurahishwa na huyu refa, kama kuna matokeo niliyapenda ni ya jana watu waligawana point kihalali. Kikubwa zaidi kumpongeza huyu bwana na wachezaji kumhadaa refa awape penalty. OK kibinadamu akataka kuhadaika wachezaji pinzani wakamfwata wakamkomalia tunaomba VAR, refa kapeleka mpira...
  3. S

    VAR inathibitisha waamuzi wengi ni wabishi na zaidi wanafanya makosa sana katika maamuzi yao

    Mechi ya Burkina Faso dhidi ya Mauritania iliyoamuliwa kwa kutumia teknolojia ya VAR, ni uthinbitisho tosha kuwa waamuzi wengi ni wabishi kwa kujiona wako sahihi kumnbe wanafanya makosa yanayogharimu timu nyingi katika michezo mingi. Pia, inathibitisha kuwa wachezaji wanapomzonga refa, mara...
  4. VAR haina msaada Tanzania; unazi unaanzia kwa viongozi

    Yaani nasikiliza. Tv moja ati tunaletewa VAR Hii VAR inaongozwa na wanadamu na hawa hawa ndio wengine marefa wanaofanya mambo machafu na ya kijinga Sasa shida sio var shidda inaanzia unazi wa viongozi wanaongoza michezo na.Timu.Kubwa Kutoka hapo unazi wa marefa na timuzao kubwa jkumbuke refa...
  5. Wauana kibandaumiza kisa VAR ya Arsenal V Man U

    Shabiki wa Arsenal ameaga dunia baada ya kuchomwa na kitu chenye ncha kali na shabiki wa Man U kwenye banda la video. Wawili hao walianza kwa kurushiana maneno na kufikia ugomvi baada ya VAR kukataa goli la Man U. Ugomvi huo ukapelekea kifo cha Jackson Aineruhanga eneo la Sheema, kaskazini mwa...
  6. VAR hatuna basi tutumie TV re-play viwanjani kwa Sasa

    Video Assisted Referees (VAR) hatuna kwanini tusianzie na tv re-play (slow motions) viwanjani kwa baadhi ya matukio kama uhalali wa magoli na offsides? Goli la Konkoni kwenye mechi ya Yanga vs KMC nusura lilete dhahama pale kiwanjani. Na yapo matukio mengine ambayo kwa wanaoangalia replay wako...
  7. Var checking sakata la Bandari;CCM total political miscalculation,kosa la kiufundi la CCM kulikabili suala la bandari

    CCM imefanya kosa kubwa sana la kiufundi kuivalia njuga agenda ya Bandari, it's a total political miscalculation. Chama kilipaswa kuiachia serikali zigo lake na kuipa maelekezo itoe ufafanuzi yenyewe. Sasa leo CCM ndio imeingia frontline kutoa ufafanuzi na kuikingia kifua DP World, Kama...
  8. M

    Kwa namna hii Serikali iweke VAR hata kwenye ngumi. Mwakinyo hajashinda kabisa kuanzia mwanzo alipelekewa moto

    Tunaharibu sana kuwa na upendeleo usiofaa hata kidogo. Mtu anapelekewa mwanzo mwisho halafu anapewa ushindi wa mchongo. Wapi amempiga huyu jamaa? Ile moja tu ya kubahatisha?
  9. Refa asimamishwa baada ya kutumia VAR feki

    Refa asimamishwa kazi kwa kutumia simu ya shabaki kukataa goli Mwamuzi wa Misri Mohamed Farouk amesimamishwa kazi kwa kutumia simu ya mtazamaji kukataa bao katika mechi ya ligi. Al-Nasr walidhani walikuwa wamefunga bao la kusawazisha dakika za lala salama wakiwa ugenini kwa Suez katika mechi...
  10. S

    VAR kuwekwa dimba la Benjamin Mkapa

    Note 📝 “Tutaweka chumba maalum cha Video za Marejeo (VAR) kitakachotumika wakati wote wa mashindano” sehemu ya maneno ya Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Pindi Chanda akizungumzia ukarabati wa dimba la Benjamin Mkapa uliopo Dar es Salaam.
  11. Wazungu wana VAR wanakosea, sisi hatuna tunafungia waamuzi wetu

    Nani ameturoga? Kumfungia mwamuzi bila kudhibitisha pasipo kuacha mashaka kuwa mwanafuzi amekosea kwa makusudi na siyo kwa bahati mbaya ni kuonyesha namna tunavyodharaulika duniani. Ni nani ana ushahidi kuwa waamuzi wetu wamekosea kwa kudhamiria? Hata sisi watazamaji tunategemea fursa ya...
  12. Makocha England waanza kupinga uwepo wa VAR

    Baadhi ya makocha wa Premier League wanataka matumizi ya Teknolojia ya kumsaidia mwamuzi uwanjanani ( (Video Assistant Referee -VAR) kuondolewa kutokana na waamuzi kufanya makosa licha ya kuitumia. Kocha wa Tottenham, Antonio Conte amelalamika waamuzi wa England kushindwa kutafsiri Seria za...
  13. Tuelewe kwanza ufanyaji kazi wa VAR

    Kwema Wakuu, Nimeona mijadala mbalimbali juu ya Utumikaji wa VAR katika Mchezo wa Kwanza kati ya Simba Sport Club dhidi ya Orlando Pirates a Afrika Kusini. Sintotaka kwenda kwenye mjadala kama Penalty ilikua halali ama lah, bali nitajikita kwenye matumizi ya VAR tu. Katika Mchezo huo timu ya...
  14. M

    Ufafanuzi kwa wale Wavivu wa Kufikiri ( wana Yanga SC ) kwanini jana hawakuona Refa akienda kuangalia Screen ya VAR ili Kuamua Matukio

    Tukiwa tunasema kuwa wana Yanga SC mna matatizo ya Kufikiri msiwe mnakataa au mnatuona kuwa tunawadhihaki bali muwe mnakubali na mjitathmini mbadilike upesi. Nimepitia Kurasa nyingi sana za Mitandao ya Klabu Mbovu na yenye Nuksi duniani ya Yanga SC na hata Kusoma baadhi ya Comments za wana...
  15. Salehe Jembe: Viongozi Yanga wanaumia Simba ikitajwa kuwa ya kwanza kutumia VAR

    Hii ni hoja, nayo tunapaswa kuijadili? Ndio swali nimekuwa nikijiuliza, lakini kutokana na MIOYO YA WIVU hasi, nimelazimika kuingia kuijadili, nasikitika. Hoja ya VAR, wako ambao hawataki kusikia haya… @ Simba ikitajwa kuwa ya kwanza kutumia VAR au VAR kutumika kwa mara ya kwanza na Simba @VAR...
  16. N

    Kamati ya mapokezi yajipanga kupokea VAR

    Ni katika muendelezo wa kukirimu wageni, ile kamati nguli ya mapokezi inajipanga kupokea VAR na wasimamizi wa VAR watakapowasili nchini kwa mechi kati ya mabingwa watarajiwa wa confederation cup mwaka huu SIMBA SC. na pirates Hatua hiyo ni maandalizi ya kuwapokea orlando pirates au wanaume...
  17. VAR kutumika kwenye mchezo wa CAFCC kati ya Simba SC dhidi ya Orlando Pirates Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Kuelekea kwenye mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAFCC) kati ya Simba SC dhidi ya Orlando Pirates ambao unatarajiwa kupigwa April 17, 2022 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, waamuzi watatumia msaada wa video (Video Assistant Referee-VAR) ili kuhakikisha maamuzi...
  18. VAR yaibiwa Nigeria baada ya mechi ya kufuzu World Cup 2022

    Imeripotiwa kuwa mashine maalum ya VAR (Video Assistant Referee) iliyokuwa imewekwa Abuja Nigeria kwa ajili ya kusaidia waamuzi wa mchezo wa play off wa kufuzu Kombe la Dunia 2022 kati ya wenyeji Nigeria dhidi ya Ghana imeibiwa uwanjani hapo. Mchezo huo ulimalizika kwa sare bao 1-1 ambapo faida...
  19. TFF: Bei ya VAR ni Sh Bilioni 14.5, kamera ziwe 38, kila mechi timu zinalipia Sh milioni 7

    Rais wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF), Wallace Karia amezungumzia matumizi ya VAR wakati wa kufunga semina ya siku tatu ya Waamuzi wa Ligi Kuu ya NBC iliyomalizika jana Februari 17, 2022 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Haya hapa ndiyo aliyoyasema Karia: “Unajua gharama za VAR? Sawa...
  20. V.A.R inawezekana Tanzania bila gharama wanazozitaja wao

    Wadau habari zenu, Nimekua nikifatilia mijadala hasa inayohusisha waamuzi wa soka na maamuzi yao tata either kuwanyima au kuwapendelea baadhi ya vilabu vya mpira wa miguu hapa Tz nakupelekea mijadalla hii kifika mbali hadi serikali kutaka kuweka var ili kuepusha mapungufu hayo ya waamuzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…