Kwangu nadhani ili Tanzania tuweze kupiga hatua, VAR ni kitu cha baadaye sana. Kwanza inabidi tuwekeze kwenye kuendeleza kiwanda chetu cha michezo kabla ya masuala mengine ambayo yanaweza kufanyika baadaye sana.
Ni wazo zuri kufunga VAR lakini kwangu wazo zuri zaidi kwa sasa ni kuwekeza kwenye...