Wana JF,
Ujumbe huu uende kwa Rais Samia pamoja na TRA.
Huu mfumo mpya ambao TRA imeuanzisha katika kukusanya VAT umeleta matatizo makubwa sana hasa kwa kampuni za wilayani na mikoani.
Kawaida VAT huwa hivi. Mfanyabiashara unaauza bidhaa yako au huduma yako na kuongeza VAT juu ambayo mlaji...
Picha hapo juu inajieleza. Tafsiri nyepesi ya hizi tozo ni kwamba VAT imepanda mara 2. Zile stori za sijui nchi ni yetu sote, tunajenga nchi, tunaendesha miradi ni vichaka tuu vya kujifichia ila ukweli ndiyo huo kwamba VAT ime-double.
Sasa kwa hali ya uchumi ilivyo ni mzigo tosha kwa mwananchi...
Viwango vya juu vya tozo ya Serikali vimepunguzwa kutoka sh. 7,000/- hadi 4,000/-(kwa wanaotuma zaidi ya sh. 3,000,000/-). Viwango vya chini vimepunguzwa kutoka sh. 100/- hadi shilingi 10/- (wanaotuma kati ya sh. 100/- hadi 2,999/-
Pia tusichanganye makato mengine ya watoa huduma yaani benki au...
Habari zenu Wakuu,
Nimekuwa Nikiyumba Kuhusu Sheria Ya ARDHI Kwa Makampuni ya Upimaji na Uuzaji wa Viwanja
Kwamba Je Wanapovuka Tsh, Million 100 Kwa Mwaka. Je Hulazimika Kulipia VAT ?
Hii Nakusudia Makampuni na Wauzaji Wengine Ambao Hufanya Upimaji Na Kurasimisha Mipango Miji na Kuanzia...
Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Hassan Chande amesema Serikali inafanya tathmini ya hatua mbalimbali zinazopaswa kuchukuliwa kwa kila Sekta ili kukabiliana na athari zinazotokana na Hali ya Kisiasa ikiwemo Vita ya Urusi na Ukraine
Ameeleza hayo baada ya Mbunge Nancy Hassan Nyalusi kuhoji ni hatua...
Katika hatua ambayo integemewa kukuza uchumi kwa kiwango kikubwa kupitia uwekezaji, serikali ya Kenya inatazamiwa kuondoa kodi za Excise na VAT kwa magari yatakayoundwa nchini Kenya.
Kwa sasa hivi Kenya tayari imetoa exemption ya import Duty ya 25% wa magari yanayoingizwa.
Tahadhari kwa...
Bei ya mafuta ya petroli na diseal imeshuka tena na kuwa chini ya USD 100 kutoka 130 wiki iliyopita. Wiki iliyopita serikali ilitoa tozo ambalo ni mahususi kwa jambo maalumu. Mimi nadhani serikali ipunguze VAT kwenye mafuta ili kuleta suluhisho la kudumu kuliko hili la kutoa tozo.
Habari wakuu! Naomba kuelimishwa kidogo, nataka kufanya biashara na Supermarket moja hapa jijini Dar, wameahidi kuchukua mzigo mkubwa iwapo ntakuwa namiliki risiti za EFD kwaajili ya VAT. Kwa lengo wakati nawauzia basi niwatolee hiyo electronic receipt.
Sasa naomba ushauri je kumiliki hicho...
Ukweli usemwe kodi ya uhalali katika nchi nyingi ni ile inayopewa jina la VAT na hutozwa pale unaponunua kitu.
Ila hapa Nyumbani Tz kuna mlolongo wa kodi zisizo na miguu wala kichwa ila zinameno na zinatumaliza wananchi.
Unaenda kununua mfano luku ya umeme mle ndani mna tozo tatu kuna hiyo ya...
Kodi ya Ongezeko la Thamani(VAT) ni kodi ambayo inatozwa kwenye ongezeko la thamani ya bidhaa katika kila hatua ya uzalishaji hadi kuuzwa. Hata Mamalaka ya Mapato Tanzania(TRA) wameweka maana inayofanana na hii. Kabla sijaenda kuipinga kwanza nielezee namna VAT ipo theoretically
Mfano
Mkulima...
Baadhi ya mambo ukiyatafakali yanadhihilisha wazi baina yetu bado tuna imani za kikoloni kichwani!
Elimu haijatukomboa kabisa, hatuna ubunifu kichwani kabisa! Ni bure kabisa!
Hivi kazi ya VAT ni nini? Na matumizi ya fedha hiyo ni yepi?
Hivi kuna sababu gani ya mimi kukatwa 18%ya VAT, Halafu...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Nianze na angalizo kuhusu andiko langu hili kuwa sio la kielemu wala kitaalam ni mawazo yangu binafsi ninavyotamani kuona kama yanaweza kuonesha njia ya mabadiliko kwenye ukusanyaji wa mapato nchini. Nikirejea motto wa mamlaka ya mapato...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.