vazi

Vazi (Persian: وازی‎, also Romanized as Vāzī) is a village in Mazu Rural District, Alvar-e Garmsiri District, Andimeshk County, Khuzestan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 25, in 4 families.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Nashauri hili ndio liwe vazi la taifa, tutaokoa fedha na gharama

    Wakuu kama mnavyojua kuna mchakato wa kutafuta vazi la taifa huko na kuna kamati zimeundwa, hizi zote zitakula muda na fedha Nashauri vazi la taia liwe hili kwani linamtambulisha mtanzania popote pale duniani na ni la kisasa pia
  2. kmbwembwe

    Wanapiga tena hela ya umma eti kutafuta vazi la Taifa

    Hivi jamani vazi la taifa hua linatafutwa au linakuepo tu? Mimi naamini watanzania kama taifa hatuna vazi ila tuna mavazi ya jadi kwa makabila mbalimbali ya nchi yetu. Mavazi ambayo wala hatuyavai tena isipokua kwa makabila machache kama wamasai. Wao hadi leo wameweza kudumisha uvaaji wa vazi...
  3. Msanii

    Vazi la Taifa: Nchi yetu imepata fursa nyingine ya matumizi mabaya ya rasilimali

    Na Ndesumbuka Merinyo Mbunifu wa Mavazi Afrika Sana Kwa mara ingine hivi karibuni tumetangaziwa na Waziri mwenye dhamana na utamaduni wa taifa kwamba imeundwa kamati ya "kutafuta" vazi la taifa. Hii ni mara ya tatu kwa serikali kufanya jambo hili. Mara ya kwanza ilikuwa miaka ya 2003-4 wakati...
  4. Suley2019

    Mchengerwa ateua Kamati Maalum ya kuratibu Vazi la Taifa

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo ateua kamati maalum kwa ajili ya kuratibu upatikanaji wa vazi la taifa. Zaidi soma:
  5. Introver

    Akajifunga vazi lake, akajitupa baharini

    AKAJIFUNGA VAZI LAKE, AKAJITUPA BAHARINI. Bwana Yesu asifiwe. Ulishawahi kulitafakari kwa ukaribu lile tukio, ambalo Bwana Yesu aliwatokea wanafunzi wake kwa sura nyingine, walipokuwa baharini wanavua?. Utaona muda wote aliokuwa anazungumza nao wasimtambue Petro alikuwa uchi, Lakini Yohana...
  6. Sky Eclat

    1910 suti ya vipande vitatu na kofia ilikua ndiyo vazi la heshima kwa wanaume

    Ukitoka nje ya nyumba yako unakubalika katika jamii ukiwa na vazi hili. Kuvaa jeans na t-shirt ilionekana si ustaarabu.
  7. B

    Vazi lenye nasaba na dini kuvaliwa na Askari kanzu katika Ukamataji linatupa tafsiri mbaya kimataifa kama nchi

    Moja ya Askari aliyeshiriki Ukamataji Kisutu amefunga kitambaa ambacho uvaliwa na waumini wa dini flani hasa kipindi Cha mfungo na sikukuu kuashiria vazi lenye star na linaloitambulisha dini hiyo kwa watu wengine. Inapotokea Askari akavaa vazi Hilo na kufanya Ukamataji Tena unaodhaniwa kwenda...
  8. Erythrocyte

    Vazi Rasmi la siku ya Katiba ( Katiba day ) latajwa , Washiriki waanza kugawiwa

    Katika jambo lolote kubwa na lenye Maslahi ya Kitaifa , huwa kunakuwa na Alama Maalum zinazoitambulisha siku hiyo Maalum pamoja na ukubwa wake . Taarifa inaeleza kwamba Vazi rasmi lililoteuliwa ni TSHIRT NYEKUNDU na SURUALI NYEUSI , taarifa hiyo inaendelea kueleza kwamba tayari baadhi ya...
  9. Erythrocyte

    Arusha: Freeman Mbowe avishwa vazi rasmi la kimila la Wamasai na kusimikwa kuwa kiongozi wao

    Kama tulivyoahidi kuwa nanyi bega kwa bega katika kipindi hiki ambacho Chadema imekuja na mkakati mpya wa OPERESHENI HAKI , basi leo tena Tunaendelea kuwapa uhondo na taarifa mbali mbali za yanayoendelea huko Arusha kwenye vikao vinavyoendelea. Mpaka hivi ninavyoandika hapa tayari Mwamba Mbowe...
  10. YEHODAYA

    Barakoa yawa vazi rasmi Ikulu

    Wakati mitaani tukijiishia raha mustarehe bila Barakoa vazi hilo limekuwa vazi rasmi la Ikulu. Hapa ni mheshimiwa Raisi Samia Suluhu Hassan akipokea hati za utambulisho wa mabalozi wakiwa kwenye vazi rasmi la barakoa. Ngoja niwaimbie wimbo. Wanameremeta,wanameremeta, wanameremeta...
  11. MK254

    Mkenya atengeneza vazi linaloweza kuchaji simu

    Vazi lenyewe linatumia nishati ya jua kuchaji simu, hongereni sana vijana, mnakokwenda kunafaa...... Ruuj Caflon a University of Nairobi (UoN) graduate is the founder of Caflon design, a company that designs clothes that can charge phones and produce lights. He was taking an electrical...
  12. Infantry Soldier

    Tanzania isiwe na vazi moja tu la Taifa, tuwe na mavazi rasmi matano kutoka katika makabila yetu

    Mambo vp JamiiForums? Ninashauri sana nchi yetu ya Tanzania isiwe na vazi moja tu la taifa. Tuwe na mavazi rasmi matano (5) kutoka katika makabila yetu yatakayorasimishwa na kupewa hadhi ya utaifa. Yaaani kama inawezekana mpangilio uwe hivi au hata kama kura ya maoni inaweza kupigwa itakuwa...
Back
Top Bottom