Wakuu,
Anaandika Kumbusho Dawson kwenye ukurasa wake wa Instagram:
Hii ilikuwa mwaka 2019, wananchi wa Venezuela walijaribu kuandamana kupinga matumizi mabaya ya mali za umma, utekwaji na upoteaji wa wakosoaji wa Maduro, Vijana kutaka ajira na utawala wa sheria, Maduro aliwajibu waandamanji...