Video: Mnaomtetea Maduro mko wapi? Mnaposema Marekani kaingilia Demorasia ya Venezuela, Demokrasia yenyewe ndo hii?

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Anaandika Kumbusho Dawson kwenye ukurasa wake wa Instagram:

Hii ilikuwa mwaka 2019, wananchi wa Venezuela walijaribu kuandamana kupinga matumizi mabaya ya mali za umma, utekwaji na upoteaji wa wakosoaji wa Maduro, Vijana kutaka ajira na utawala wa sheria, Maduro aliwajibu waandamanji kwa kuwapiga risasi huku gari za polisi zikiwakanyaga waandamanaji kwa makusudi na kuwaua.

Kuna wahuni wanapiga kelele huko kwamba Marekani inaingilia demokrasia ya Venezuela, Demokrasia mnayo isema ni hii?

Hawana majibu akili kisoda maCM
 
CcM hata siku mungu akienda kumfata shetani wanaweza kuja na mada kumtetea
FB_IMG_1767532058135.jpg
 
Wakuu,

Anaandika Kumbusho Dawson kwenye ukurasa wake wa Instagram:

Hii ilikuwa mwaka 2019, wananchi wa Venezuela walijaribu kuandamana kupinga matumizi mabaya ya mali za umma, utekwaji na upoteaji wa wakosoaji wa Maduro, Vijana kutaka ajira na utawala wa sheria, Maduro aliwajibu waandamanji kwa kuwapiga risasi huku gari za polisi zikiwakanyaga waandamanaji kwa makusudi na kuwaua.

Kuna wahuni wanapiga kelele huko kwamba Marekani inaingilia demokrasia ya Venezuela, Demokrasia mnayo isema ni hii?

ICC ilinyamanzia kimya?
 
ccm akili zao wanazijua wenyewe ..wanatetea ujinga ambao hata mtoto hakubali
 
I’m glad wamelitoa Maduro, lakini don’t kid yourself eti Trump amefanya kwa ajiri anawapenda au anataka democracy Venezuela, ni mafuta tuu hayo mengine ni matokeo tuu, I hope freedom itarudi na watafaidika na utajiri wao (I doubt), ila is great madulo is out
 
Back
Top Bottom