Baada ya Uchaguzi Mkuu kupita, nayaona yaliyojitokeza venezuela yakitokea kwa Mwanasiasa Tundu Lissu.
Namfanisha Tundu Lissu na mwanasiasa wa Venezuela, Juan Guaido ambaye alitumiwa sana na wanasiasa wa Marekani ili kumuondoa Rais Nicolas Maduro wakitegemea ana uwezo na nguvu za kisiasa kwa...
Rais wa Belarus Alexander Lukashenko amesema kwamba wanapaswa kuandaa jeshi kwa ajili ya vita kwa sababu ya hatari zilizoelekezwa kwa nchi yake kutoka Magharibi,
"Lazima tufunge mipaka na Magharibi, haswa Poland na Lithuania." alisema.
Katika hotuba yake kwenye Mkutano wa Wanawake uliofanyika...
Raia wa Marekani anayeshikiliwa nchini Venezuela kwa madai ya kufanya ujasusi nchini humo hakutumwa na serikali ya Marekani, taarifa ya kiongozi wa ngazi ya juu katika serikali ya Marekani imebainisha.
Mwendesha Mashtaka mkuu wa Venezuela, Tarek Wiliam Saab alitangaza siku ya Jumatatu kuwa...
Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro amesema kuwa wamemkamata jasusi wa Marekani aliyekuwa akipeleleza kiwanda cha kuchakata mafuta ghafi nchini humo.
Maduro aliutangazia umma wa Wavenezuela kupitia televisheni ya taifa katika matangazo ya moja kwa moja akimweleza jasusi huyo kuwa ni mwanajeshi wa...
Kiongozi wa upinzani Venezuela Juan Guaido amelitaka jeshi la nchi hiyo kuunga mkono hatua ya kususia uchaguzi wa bunge unaopangwa Desemba na kusaidia kuongeza shinikizo la kimataifa dhidi ya Rais Nicolas Maduro.
Katika hotuba aliyorusha kwenye mitandao ya kijamii, Guaido ameuomba uongozi wa...
Serikali ya Venezuela imefungua kesi ya madai nchini Uingereza kudai kiasi cha dhahabu yake yenye thamani ya dola bilioni 1 ilohifandhiwa katika benki kuu ya Uingereza.
Kesi hiyo itakayosikilizwa kwa siku nne mjini London itahusisha pande mbili ambapo ni wawakilishi wa serikali ya Venezuela na...
| Jamhuri ya Bolivia ya Venezuela, Bolivarian Republic of Venezuela au República Bolivariana de Venezuela
Ni taifa linalopatikana bara la Amerika Kusini katika uwanda wa juu wa Caribbean, likiwa limepakana na Colombia - Magharibi, Brazil - Kusini Mashariki, Guyana - Mashariki, Trinidad na...
The US has charged Venezuela's President Nicolás Maduro and other senior officials in the country with drug trafficking crimes.
The move, which will increase tensions between the two nations, was announced by Attorney General William Barr.
The US also offered a $15m (£12.5m) reward for any...
Rais wa Venezuela amenusulika katika jaribio linalosemekana la kutaka kumuua kwa kutumia drone device, wakati akihutubia mkutano mjini Caracas. Rais Maduro hakupata madhara yoyote katika tukio hilo ingawa wanajeshi saba waliumia.
Television ya Taifa ilionyesha hotuba ya Rais ikikatishwa ghafla...
Afrika iliishindia Ufaransa kombe la Dunia, na Ulaya inafaa kusitisha ubaguzi dhidi ya wahamiaji kulingana na rais wa Venezuela Nicolas Maduro.
Akizungumza katika mji mkuu wa Caracas, chombo cha habari cha kitaifa kilimnukuu akisema.
Paul Pogba asherehekea na wenzake baada ya kufunga bao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.