Bodi ya mikopo Tanzania imetangaza orodha ya wanufaika iliyotangazwa tarehe 21 Oktoba 2026, inayowajumuisha wanafunzi wa mwaka wa kwanza na wanaendelea na masomo waliodahiliwa katika vyuo mbalimbali vya elimu ya juu na vyuo vya kati.
Wanafunzi 90,235 wapangiwa mikopo na ruzuku ya TZS 284.73...