Naomba msaada kwenye kujaza hii ajira portal. Kila kitu nimeshaweka, pamoja na vyeti vya masomo ambavyo vimethibitishwa na mwanasheria.
Lakini mwishoni pale chini kwenye Academic qualifications, ninakutana na ujumbe unasema "You have not attached any Verification Certificate", nikigusa + hiyo...
Kampuni ya Meta ambayo inamiliki mitandao hiyo imebainisha kuwa watumiaji wenye Tiki ya Bluu watalazimika kulipa Dola 11.99 (£9.96) kwa mwezi au Dola 14.99 kwa watumiaji wa iPhone
Huduma hiyo itaanza kupatikana wiki hii kwa wateja wao wa Australia na New Zealand ambapo Mtendaji Mkuu wa Meta...
Wakuu mimi nilimaliza mbeya technical college,enzi za FTC,sasa nikitaka kupata award verification number, kutoka nacte.
Nikiingiza INDEX NO yangu ambayo inaanza na U*/, inakataa, inasema nianze na S/ au P/*, naombeni msaada wana jukwaa, nataka nijiunge dit na 3 years bachelor program.
Nimejaribu kuhakiki bidhaa kwa kutumia ap ya Hakiki Stamp ya TRA nimekuta kila bidhaa feki.
Unachotakiwa kufanya scan bar code au QR code iliyopo kwenye bidhaa.Ap inawasha camera ya simu, hakikisha QR code au bar code inakuwa kwenye target ya camera, bila
ya kutingishika, kama huwezi
ingiza...
Wakuu habarini za saa hizi.
Husika na mada tajwa hapo juu... Mimi ni miongoni mwa walioomba mkopo, lakini kuna swala linanitaniza kidogo..
Juzi siku ya Jumatatu, nilipokuwa natembelea GOOGLE, kitu cha kwanza nilichokutana nacho kilikuwa kinasema hivi.. (YOUR APPLICATION FORM WAS VERIFIED AND...
Habari za kazi wakuu nilikua nauliza kuwa hivi uchukua muda gani nacte kuverify matokeo kwa diploma manake sisi wengine matokeo yetu ndo yametumwa Jana nacte na AVN bado atujapata tunataka tuapply chuo muda umeisha
Msaada kwa anaejua nini kinafanyika
Wakuu!
Nimeona nyuzi kadhaa na comments kadhaa hapa jukwaani, zikilalamika sana juu ya wanaume kutumia ID za kike ili kupata umaarufu. Wengi wanasema Jf hakuna hii jinsia pendwa ya KE.
Ninaomba tufanye verification kidogo hapa, ili mambo yakae sawa.
Mimi nitawataja wadada waliopo humu ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.