Huko nyuma kupata blue tick ilikua ni ishu, lazima uwe maarufu sana ama uwe na followers wa kutosha ana kiongozi wa siasa ndio ulikua unapata blue tick. Kipindi hicho kupata blue tick ilihitajika hadi Dollar 6,000 kupata blue tick.
Musk kabadisha huo utaratibu, sasa mtu yoyote anaweza kua na...