Hauna haki ya kuwa chawa ni kujikosesha heshima tu, hamlipwi mnashinikizwa sababu mnafahamika.
mtu kama Pascal Mayalla Robert Heriel Mtibeli n.k
Ni case study hawana namna .
kama mimi nilivyoenda ikulu nikakuta darasa la viongozi yule mama anawafundisha yeye ni mwema na alivyoniona mgeni nilikuwa naaambiwa rudia kila nachosema kama mtoto unaambiwa sema mama ni mwema mama anaupiga mwingi usiporudia au ukiria shaka utajua ujui.
umaarufu na kujulikana tz ni lazima uzungunze vitu vingine sio vya kisiasa ukiingia hapo wakikukiona unapewa darasa pale .
wanakuambia deal na siasa utusifie sio kupinga kama hutaki fanya mambo mengine otherwise kimekuramba