viashiria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. olimpio

    Viashiria vya rushwa ICT commission na YAS - serikali ichunguze

    Tarehe 21 Feb ,ICT commission ilitoa tuzo muhimu tatu kwa kampuni ya YAS(zamani Tigo) Walishinda Tuzo tatu kama zilivyo hapa chini 1. Huduma Bora za Intaneti (Best Internet Service Provider) 2. Kampuni Bora ya Mawasiliano (Best Mobile Network Provider) 3. Mtumiaji Bora wa TEHAMA & Manufaa kwa...
  2. Damaso

    Utafiti wa Viashiria vya UKIMWI

    Utafiti wa Viashiria vya UKIMWI wa mwaka 2022/23 unaonesha kuwa, kiwango cha maambukizi katika Mkoa Njombe ni 12.7% kiwango hiki kimeongezeka kwa 1.3% ukilinganisha na 11.4% ya utafiti uliofanyika mwaka 2016/17. Lengo la kongamano hili ni kujenga uelewa wa maswala ya VVU na UKIMWI kwa vijana...
  3. chiembe

    Msajili wa vyama vya siasa asisite kusogeza mbele uchaguzi wa Chadema kama atapata taarifa za viashiria vya uvunjifu wa amani

    Kumekuwa na tetesi za magenge ya wanasiasa wa chadema, akiwemo Mdude Nyagali kukusanya makundi ya vijana na kuyapa silaha za aina mbalimbali ili waje nazo kwenye uchaguzi mkuu wa chama changu cha chadema. Hili pia linafanywa na Heche. Taarifa zinasema wamejipanga kufanya vurugu kubwa sana nje na...
  4. T

    Kupotea kwa mfanyabiashara Ulomi na viashiria vya uhalifu ktk jamii yetu jicho la tatu linahusu..

    Vijana nawaomba mje hapa msome na mfungue macho yenu ya Tatu tupunguze haya madhila. Ktk dunia ilio staarabika kuna mambo tunayaona na kuna mambo hatuyaoni. Ila nivyema tuambiane ukweli tupone sote. Epuka kulisaliti taifa lako na kulihujumu ni hatari kwako binafsi na uzao wako. Kuwa Raia...
  5. Waufukweni

    LGE2024 DC Chamwino: Hakutakuwa na viashiria vya changamoto ya Usalama wakati wa Uchaguzi

    Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe. Janeth Mayanja amesema kuwa hali ya usalama ni shwari katika vituo vyote vilivyopo katika vijiji 107 na vitongoji 813 katika Wilaya Hiyo ya Chamwino Mhe. Mayanja ameyasema hayo Leo Nov 27,2024 wakati akizungumza na Wasafi Media kwenye kituo Cha kupiga kura Cha...
  6. jingalao

    Matumizi ya Grader na Excavetor ni pale ambapo hakuna viashiria vya walio hai

    Hii ndio sababu muhimu ya kutowahisha matumizi ya mitambo katika uokoaji. Kwa waliosoma Physics watakuwa na uelewa zaidi
  7. Mr_mkisi

    Viashiria /dalili 6 vya kujua kuwa unatapeliwa mtandaoni

    Unajisikiaje, unatafuta pesa mingi na Kujikusanya alafu mtu anakuja kukuibia Kirahisi tu. Inaumiza eeh! Hivi karibuni nimekuwa nikipata malalamiko mengi kutoka kila kona ya Tanzania. Hapa naamanisha unaweza kuipenda bidhaa fulani wewe upo mkoa A na unamtumia muuzaji mkoa B alafu baada ya...
  8. State Propaganda

    Kuna kila viashiria Israel kufanya mashambulizi dhidi ya Iran leo Oktoba 4, 2024

    Kuna tetesi za kiintelijensia zisemazo kuwa utawala wa Kizayuni umepanga kufanya shambulio la makombora dhidi ya viongozi wa serikali ya Jamuuri ya Kiisalam wa Iran waoongozwa na Himam Ayatollah Khamenei leo ijumaa kwa kuwavizia wakiwa misikitini.
  9. Roving Journalist

    Wanavyuo waambiwa watoe taarifa za viashiria vya vitendo vya ukatili wa Kijinsia na unyanyasaji

    Wanafunzi wa Shule za Sekondari, Vyuo vya Kati na Vyuo Vikuu Mkoani Mbeya wamehimizwa kutoa taarifa za viashiria vya vitendo vya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji. Akizungumza katika uzinduzi wa kampeni ya "Tuwaambie kabla hawajaharibiwa" iliyofanyika Septemba 25, 2024 katika uwanja wa Ruanda...
  10. OMOYOGWANE

    Mechi ya jana Azam vs KMC goli la Iddy Nado kapiga chenga mabeki watano mpaka kipa kisha kufunga, kuna viashiria vya upangaji matokeo?

    Wakuu, Nimeona clip kijana wa azam akipiga chenga mabeki wa KMC kisha wakawa wanajiangusha, Mabeki watano na kipa wa sita, tena akiwapita wanajiangusha na kunyanyuka kisha wanamuangalia tu kwa kusimama wala hawamkimbizi. Kuna viashiria vya upangaji matokeo Najaribu kuiweka clip inagoma...
  11. Wizara ya Ardhi

    Wizara ya Ardhi yahitimisha mafunzo ya viashiria hatarishi vitakavyosaidia katika utekelezaji wa majukumu

    Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imehitimisha mafunzo ya siku tatu kwa watumishi wa wizara hiyo kuhusiana na viashiria hatarishi. Mafunzi hayo yamefanyika jijini Dodoma yakihusisha Wakuu wa Idara na Vitengo pamoja na Waratibu wanaosimamia masuala ya viashiria hatarishi kwenye...
  12. N

    Ukiona vijitabia gani au viashiria gani ujue unakaribia kupigwa kibuti?

    Kabla ya kuachwa mara nyingi kunakua na vijitabia au viashiria ambavyo wenza wetu hutuonyesha ila kwa vile wanasema mapenzi ni upofu tunakua hatuvioni viashiria hivyo. Saa nyingine tunaviona viashiria vyote ila inakua ngumu kukubaliana na ukweli wa kuwa mwezangu anataka kuend uhusiano. Kwa...
  13. Nyanda Banka

    Viashiria 7 kuwa wewe ni mtu wa thamani kubwa

    1.Unatambua kuwa unaweza kutofautiana na watu wengine bila kuwakosea heshima. Unatambua kuwa unaweza kutofautiana na watu wengine bila kuwapandishia sauti. 2. Unaanza kujitokeza na kuondoka katika muda ulioupanga. Watu wanakufahamu kwa umakini wako wa muda. 3. Unaacha kuwahukumu watu kutokana...
  14. W

    Ni Viashiria gani ukiviona kwa mtu ujua hakupatiwa malezi mazuri?

    Mara ya kwanza nimeenda out na rafik yangu tukaagiza chakula sasa kika kimechelewa na kikaja cha baridi. Rafiki yangu akamuita yule muhudumu akaanza kumfokea hadi watu wa meza nyingine wakaanza kutuangalia sisi. Ikabidi niingilie kati kumuomba yule kaka arudishe vipashwe moto kwa sauti ya...
  15. Black Butterfly

    Tanzania imetajwa katika nafasi ya 12 kwenye Ripoti ya Viashiria vya Demokrasia Barani Afrika

    Ripoti inaonyesha kuwa Kiashiria cha Demokrasia nchini Kenya kinaendelea kuwa nyuma ya Tanzania kwa miaka minne mfululizo kutokana na alama duni kwenye mchakato wa uchaguzi na wingi wa vyama, uhuru wa raia, na utendaji wa serikali. Ripoti ya Kiashiria cha Demokrasia 2023 kutoka Economist...
  16. Mhaya

    Kauli hizi za bodi ya nyama ni viashiria vya kutaka kuua biashara ya Mr. Manguruwe

    Jamaa aliyepata umaarufu mitandao kwa uuzaji wa Kitimoto alimaarufu kama nguruwe atimbiwa na Bodi ya Nyama iliyochini ya Serikali. Bodi hiyo imefika katika eneo la Bwana huyo ambaye pia ni maarufu kwa jina la Mr. Manguruwe na kukagua maneno ya banda hilo la nguruwe. Alianza kupata umaarufu baada...
  17. A

    DOKEZO Uchunguzi ufanyike Kituo cha Polisi Ilula Iringa. Kuna viashiria vya RUSHWA kukithiri na kusababisha ucheleweshwaji wa huduma

    Nilipokea taarifa ya kifo cha baba baada ya kupata ajali ya pikipiki Februari 2024. Nililazimika kuahirisha mitihani ya chuo iliyokuwa imeanza siku mbili kabla ya kupata taarifa ya kifo cha baba. Nikarejea nyumbani kwaajili ya mazishi ya baba na taratibu zingine ikiwemo ufatiliaji wa hati ya...
  18. Roving Journalist

    Rais Samia azindua Ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, Viashiria vya Malaria na Ugawaji wa Magari ya Kubebea Wagonjwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria Tanzania ya Mwaka 2022 na Ugawaji wa Magari ya Kubebea Wagonjwa na Vifaa Tiba katika Ukumbi wa Mikutano wa JNICC leo tarehe 28 Oktoba, 2023...
  19. T

    Natafuta viashiria muhimu vya CCM kuanguka uchaguzi unaokuja na upinzani kushinda sivioni

    Kama mada inavyojieleza hapo juu na kama waswahili wasemavyo wa kushiba huonekana mezani, awamu hii tofauti sana na hali ilivyokuwa kuelekea uchaguzi wa mwaka 2015, sijaona viashiria vingi muhimu vinavyotoa matumaini ya ccm kuanguka katika uchaguzi unaokuja. Mwaka 2015 kulikuwa na vuguvugu...
Back
Top Bottom