Twende kwenye mada. Kuna dharau za waziwazi na kuna dharau zilizojificha. Tusaidiane kugundua dharau zikizojificha.
1. Ukiona mtu anakusifia sana mbele za watu jua anakudharau. Mtu mwenye heshima zake huona haya akisiwa mbele za watu. Sasa mtu akikusifia bila kujali hilo fahamu kuwa...
Ndugu wajumbe,
Natumia nafasi hii kama raia mtiifu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuwaandikieni nyinyi ikiwa ni sehemu ya wajibu wangu wa kiraia na wa kikatiba (1) Mosi kulinda amani ya nchi (2) Pili Kutoa maoni ya kuleta usitawi kwa nchi yangu (3) kutumia haki yangu ya kikatiba kutoa...
CCM YALAANI VIKALI KITENDO CHA BAADHI YA VYAMA VYA SIASA KUANZISHA VIASHIRIA VYA UVUNJIFU WA AMANI NA MPASUKO ZANZIBAR
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimelaani vikali kauli za baadhi ya wafuasi, wanachama na viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani Zanzibar kuanza kuhubiri mgawanyiko na kauli...
Kwa jinsi uchaguzi wa CCM ulivyofanyika kwenye mikoa yote Tanzania watanzania tuache unafiki uvccm na CCM kwa ujumla Kuna udini.
Angalia viongozi waliochaguliwa kuanzia halimashauri kuu, Uvccm mpaka ngazi ya kata ni udini mtupu.
Kama huu uchaguzi umefanyika kumridhisha Rais basi watu...
Kwa kipindi tofauti tofauti Jumuiya hii ya Africa ya Mashariki imekuwa inakumbana na mambo ya Ajabu ajabu kutoka kwa viongozi
Awali miaka ya 2005's -2010's Tilipitia kile kilichooitwa Coalition of Willingness ambapo hapa kidogo baadhi ya wana jumuiya walitaka kumtenga Tz, hatukukaa sawa...
Waziri wa Mambo ya Ndani Eng. Masauni Yusuph Masauni ameitaja mikoa hiyo kuwa imekuwa na matukio ya kukamatwa kwa watuhumiwa waliokimbia baada ya kufanya vitendo vya ugaidi katika nchi jirani.
Pia, kuna dalili ya kuenea kwa itikadi za msimamo mkali zinazopelekea watu kuhamasika na kujiunga na...
Ukifuatilia Kwa Makini tunakoelekea na Kelele hizi.
Naona mchezaji wa Simba anazalilishwa kutokana na rangi yake .
Siongelei kishabiki lakini fuatilieni na ninyi muone.
TFF Toeni neno tunakoelekea siko, kwa nini ni mzungu tu na lugha za kukebei.
Kwani hakuna wachezaji wengine wa Simba...
VIASHIRIA VIKUU VYA MWANAUME ANAYEKUPENDA.
Anaandika, Robert Heriel.
Kutokana na Wadada wengi kunifuata PM kuniuliza "watajuaje mwanaume anayewapenda?" Nikaona isiwe kesi niweke hapa ili kila mtu aone, Kupunguza usumbufu WA hapa na Pale.
Nitajitahidi kuifupisha makala hii Kwa kadiri...
Kinachoendelea nchini kwa sasa, kisiasa, kuna viashiria vya kijamii na kiuchumi kwamba huenda ndio mwisho wa utawala wa CCM.
KIJAMII
Kuna matukio kadhaa makubwa ambayo yanamomonyoa misingi imara ya usalama wa kijamii. Matukio hayo, yanayotokana na uongozi wa CCM, ni kama vile wanasiasa wa...
Ukweli ni kwamba Rais Samia anaupenda u Rais na hayupo tayari kabisa kuuachia na kwa gharama yeyote inaonekana yu-radhi kuupambania kwa namna yeyote ile.
Samia hataki kabisa kuona yeyote yule akionyesha dalili za kutaka uongozi huko mbele katika anga lake.
Samia ni muumini wa kupambwa kuliko...
Deni la Serikali ya Tanzania viashiria vinaonesha ni stahimilivu na ni tulivu kwa wigo unaokubalika kimataifa kwa kipindi kifupi, cha kati na kirefu hivyo kuweni na amani,
" Hakuna kama Rais Samia "
Deni la Serikali kwa mujibu wa Ripoti ya Hali ya Uchumi ya Taifa iliyotolewa mwezi Jun 2021 na...
GAUDENSIA KABAKA MWENYEKITI WA UWT?
Mwenyekiti wa UWT Gaudensia Kabaka ndiye aliyehusika kuwafukuza Waislam 11 Chuo Kikuu cha Dodoma na kusimamisha ujenzi wa msikiti hapo chuoni ambao ujenzi wake ulishaidhinishwa.
Leo yupo katika sherehe za kumuenzi Bi. Titi Mohamed.
Huyu ndiye kiongozi...
Athari ya vitendo vya rushwa, udanganyifu na ubadhirifu ni pamoja na upotevu wa fedha za umma, wananchi kutokuwa na imani na serikali yao, kukosekana kwa utawala bora, uvurugaji wa bei ya soko kwa bidhaa mbalimbali na kupelekea wananchi kukosa huduma bora za kijamii.
Katika Uchambuzi wa ripoti...
Utawatazama waajiriwa wake, wengi wanakuwa na afya nzuri, uso na mwili umetakata, wana sura za furaha, wana magari mazuri haya makubwa makubwa, wanakuwa na furaha ya kumuhudumia mteja n.k
Lakini ukienda kwa taasisi, shirika au kampuni ambapo wafanyakazi wake hawana furaha, wako kinyonge nyonge...
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema.
Ikumbukwe kuwa kuna uzi uliletwa humu juzi kuwa Moshi, Kilimanjaro kata ya Mwika Uuwo kuna mama alikatwa shingo hadi kufa na watu wasiojulikana na jeshi la polisi mkoa wa Kilimanjaro akasema chanzo cha kifo ni wivu wa kimapenzi basi leo ndio...
Habari wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada, kwa muda mrefu nimekua nikisoma threads tofauti tofauti hapa JF zinazohusiana na watu wapole/wakimya (introvert) na wale wasio wapole/wacheshi (extrovert)
Binafsi nimekua nikijiuliza nipo kundi lipi bila kupata majibu kwa sababu sifa zote za...
Mwalimu Mkuu huwezi kuunda tume ya kuchunguza KELELE za wanafunzi wakati umezisikia kuwa;
1.Monitor haandiki majina ya wapiga kelele
2.Mwl wa darasa hawasikilizi wanafunzi
3.Mwl wa nidhamu hawajibiki ipasavyo.
Kutokufundishwa na Mwl wanafunzi wataanza kuongea wao kwa wao mwisho huzaa kelele.
✍🏿✍🏿 MAFANIKIO NI TABIA:
Waswahili husema : Tabia hujengwa🤷♂️ Eti ni kweli?
Sina jibu ila kuna watu walikuwa wema sana Leo waovu, pia kuna watu walikuwa wovu Leo ni wemaa
👩🏿🦲👩🏿🦲 Yaweza kuwa kweli tabia hujengwa.
✍🏿 Hivi wajua mafanikio ni Tabia? 🤭🤭 😁😁😁
Ndio kuna tabia lazima...
BAVICHA wamekuwa wapiga soga wapiga ramli waigizaji wapika majungu wametoka kwenye siasa ziwe za kujenga hoja au za kiunaharakati wamekuwa wapiga majungu ambao wanashindwa kutambua kwamba uimara wa Chama Chao hautokani na madhaifu ya CCM bali unatokana na Sera dhabiti zenye kuunganisha makundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.