viatu

  1. Bidhaa tunazouziwa siku hizi hasa viatu na nguo za dukani zinapauka kwa haraka sana, mamlaka imelala?

    Yaani unanunua jeans leo mwezi march unavaa ukifua mara mbili tu nguo inapauka vibaya mno kiasi cha kuonekana ni kama ya mwaka juzi. Hivyo hivyo na bidhaa nyingine, kama viatu yaani ni shida tupu. Mamlaka ziko wapi, wananchi tunauziwa bidhaa zisizo na ubora kwanini?
  2. Napata wapi viatu hivi kwa hapa Dar?

    Habari?Nahitaji raba hizi pichani,mwenye kujua chimbo zinapopatikana anijulishe vinapopatikana.
  3. Ubunifu: stand za viatu

  4. Naomba kwa mwenye kujua wanapouza viatu vya mpira kwa bei ya jumla Kariakoo

    Habari za majukumu wanajamvi Naomba kwa mwenye kujua wanapouza viatu vya mpira kwa bei ya jumla k.koo anisaidie mawasiliano yao.mimi napatikana mwanza.
  5. K

    Mimi nikijana ambae nimeshindwa kuendelea na chuo, na ninamtaji wa laki tatu nataka kufanya biashara ya viatu vya kike. Naombeni ushauri

    Habari waungwana mimi nikijana ambae nimeshindwa kuendelea na chuo, na ninamtaji wa laki tatu na ninaitaji kufnya biashara ya viatu vya kike nifanyaje
  6. B

    Tunapoelekea msimu wa sikukuu, tuma hela ya Kusuka, hela ya nguo, hela ya viatu lakini usimsahau Mama yako na Baba yako.

    Ewe kijana jitathimini sasa. Mpaka sasa umeshamtumia pesa ya kusuka, pesa ya viatu na mmeshapanga sehemunya kukutana kula bata. Mpak muda huu Atm ishaumia mara kadhaa kqa ajili ya kumnunulia pamba za sikukuu. Je umejiuliza mpaka muda huu umemtumia Baba yako na Mama yako kiasi gani? Panga...
  7. B

    SOLD: Viatu Vinauzwa

    Hallow JF habari zenu Natumaini mko sawa Kama kichwa cha Uzi kinavyosema Viatu Vinauzwa, ni vizuri havina mushkeri yoyote bado ni vipya havijatumika sana, bei ni Tsh 15000 tu ila maelekezo ya maelewano yapo, Karibuni sana Size no 38 Bei 15000 tu Jinsia kike
  8. Nahitaji material za kutengeneza viatu.

    Kwa anaejua sehemu naweza kupata material za kutengeneza viatu kariakoo yaani ngozi, leather, last, gundi,uzi n.k naomba anielekeze. Kuna sehemu nameelekezwa tatizo ni mbali sana ivyo nakosa muda na biashara za kuigiza huwa siziwezi napendelea zaidi nifike mimi mwenyewe dukani kuikagua na...
  9. Mimi nikimwangalia mtu miguuni jinsi alivyovaa viatu na kichwani jinsi alivyo napata jibu moja kwa moja naongea na mtu wa namna gani

    Kujua mazingira ya mtu anayoishi. Kujua uwezo wa mtu kichwani. Kujua tabia ya mtu. Natazama hair style na shoe style ya mtu baaasi. Wewe unatazama nini?
  10. Wanaouza bidhaa za bei rahisi, sahani za plastiki na yeboyebo au viatu vya bei rahisi, mitumba nje ya dareslaam tukutane hapa

    Wakuu hii ni mada maalum ya kupeana mbinu, updates na kushea uzoefu kwenye biashara hizi za minadani au magulio. Nina plan na mikoa ya nyanda za juu kusini kibiashara. Nataka kupeleka mitumba, vikombe vya plastiki na yeboyebo. Karibuni kwa mjadala
  11. U

    Uzi maalumu picha mbalimbali za viatu moccasins kali za kisasa

    Moderator nikuombe usiunganishe Uzi huu kwingineko Wadau hamjamboni? Tafadhali tupia picha ya moccasin kali ya ukweli, weka Bei zake na sema wapi vinapatikana
  12. L

    Rais Samia hana Mbadala Wake wa kuweza kuvaa viatu vyake katika Uchaguzi hapo Mwakani

    Ndugu zangu Watanzania, Katika uchaguzi wa hapo Mwakani ni vyema tukaendelea kukumbushana na kuelezana ukweli tu kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan jasiri muongoza njia, simba wa nyika,nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge hana Mbadala...
  13. M

    Tetesi: Itoshe kusema kuwa Mfalme wa soka nchini Tanzania, Simba Sc imepata mshambuliaji hatari Abubeker Nessir. Mabeki ya NBCPL wajiandae kulala na viatu

    Mara baada ya tajiri Mo dewji kupost katika mtandao wa X kuwa Simba itasajili Mshambuliaji mwingine kabla ya dirisha kubwa kumalizika. Habari zimevuja kuwa tayari Simba sc imeinasa mshambuliaji wa kimataifa wa Ethiopia, Abubeker Nessir kutoka klabu ya Mamelodi. Niwape tu habari kuwa huyu jamaa...
  14. Fahamu sababu za uwepo wa matundu mawili (holes) upande wa kati (ndani) wa viatu vya converse chuck taylor all star

    Kuna vitu vingi vidogo ambavyo tumekuwa tukiviona kwenye bidhaa ambazo tunazitumia kila siku na tunashindwa kuelewa umuhimu wa kuwepo kwa hivo vitu either kwa sababu tumekuwa tukivipuuza au hatujui kabisa kwanini vinahusishwa kwenye hzo bidhaa. Je, umewahi jiuliza kwanini viatu aina ya converse...
  15. Viatu vya kanisani na mitoko na kazini

    0712163738
  16. Wapenzi wa Jordan shoes: Model ipi unaipenda?

    Kwa wapenzi wa kuvaa raba, sana sana za Jordan, kutoka Jordan 1 hadi 23 ipi your fav? Nikiambiwa nichague moja, Jordan 1, nikiambiwa tatu, nitaongeza 4 na 6.
  17. Z

    INAUZWA Nauza viatu vya ngozi (Sandals) vya kiume na kike kwa bei nafuu.

    Viatu ni vizuri na imara sana. Bei: 12,000 tu Napatikana Dsm Segerea mwisho. Ukihitaji huduma ya delivery utaletewa kwa gharama zako. Mikoani pia utatumiwa kwa gharama zako.
  18. Wanaume Warefu: Ebu jaribu viatu vyenye "long neck style" kama vitakufaa

    Wakuu. Kama wewe ni mrefu, juu ya mita 1.7 ebu jaribisha kuvaa viatu vyenye shingo ndefu kwenye mitoko yako ya sahivi. Kama ni mtu wa jeans na track jaribisha Jordan 1 [ata copy nzuri tu unapata kwa 40,000/=] au Jordan 5, 6 au 7 etc. Au kama una mix jean na juu shati, au kadeti, unaweza...
  19. Wapi naweza kupata nguo na viatu vya Mtumba vya quality na bei nzuri?

    Wadau, Naombeni msaada wapi nitapata Mashati na suruali kwa bei nzuri hapa Dar na Quality ya ukweli. Mimi hupendelea mtumba sababu unakuwa wa tofauti kidogo kuliko Dar Combine. Anywhere but not Kariakoo please.
  20. Viatu vya culture

    Waheshimiwa habari zenu, Naomba kuuliza na kufahamu, viatu vya culture kwa hapa DSM wanatengeneza wapi au wanapouzia kwa jumla? Msaaada wakuu nina tanguliza shukrani Naweka picha ili upate kujua nachoulizia
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…