viatu

  1. Nehemia Kilave

    Je, katika suala la Mikataba na Tenda mbalimbali, tukivaa viatu vya Hayati Magufuli vitatutosha?

    Kwanza kabisa tumsikilize Tundu lissu kuhusu Mali za Tanzania .. Pili, binafsi sina shaka na alichokiongea Tundu lissu kuhusu JPM . Mwisho, kama wewe ungekuwa ndio Hayati JPM umeingia madarakani na kukuta kuna Tenda au Mikataba ya hovyo inaumiza taifa kama anavyoiita Tundu Lissu ,ungefanyaje ...
  2. Mtafiti77

    Uvaaji viatu aina ya brogues

    Mimi ni mpenzi sana wa hivi viatu,brogues. Kwa mnaojua viatu, ninadhani mnajua heshima inayoletwa na viatu hivi. Pia ,ni timeless. Lakini ,sijui inakuwaje? Kila nikinunua, nikivaa sijisikii comfortable. Ni vigumu, na huniumiza miguu yangu. Ninajitahidi kupata size yangu lakini haisaidii. Vidole...
  3. Zekoddo

    Nitumie nini ili niweze kuondoka haya madoa kwenye viatu vyangu

    Habari I Wakuu Shida yangu ni moja.. Nina viatu vyangu brand "Clark" hvi majuzi vimemwagikiwa na mafuta ya nywele almaarufu "Olive" ambayo yamekuja kutengeneza madoa ambayo yameonekana ni magumu kutoka licha ya kuosha vizuri hvyo viatu na kuspray dawa yake official ya kiatu cha ngozi kama hicho...
  4. NetMaster

    Nini siri ya nguo na viatu kuwa bei rahisi na ubora wa juu ukiwavizia wale wanaouza kwa kuzitembeza mtaani ?

    Niliwahi pata kiatu kigumu sana, ni kizuri yani tangu 2020 mpaka sasa kinadunda poa tu, Ajabu ni kwamba hata sikuomba kupunguziwa bei maana kilikuwa elf 15 tu, laiti ningeenda dukani nisingeshangaa ni laki 2 na mtumbani kiwe laki. Mwaka jana nilinunua raba hizi za vic nabaki nashangaa ni vipi...
  5. Rwetembula Hassan Jumah

    Wakristo, tena nyie Roman mbona padri akipanda madhabahuni anakuwa hajavaa viatu?

    Naomba jibu, waumini wa Roman Catholic. Padri wenu havai viatu nyie mnaingia na viatu kanisani. Mnajifanyaga mko na akili sana.
  6. BARD AI

    Big Red Boots, viatu vilivyotrend mtandaoni bei yake imefikia Tsh. Milioni 3.9

    Hivi karibuni kampuni ya Mitindo ya Mavazi ya #MSCHF iliingiza sokoni mzigo mpya wa Viatu aina ya 'Big Red Boots' ambao uliuzika wote ndani ya dakika 7 tu #BigRedBoots zimeanza kutrend Instagram na Tiktok ambako Mastaa kama Lil Wayne, Janelle Monae, Diplo na Ciara wameonekana kuvivaa. Kwa sasa...
  7. chizcom

    Kuna watu na viatu ila kuna wengine ni ndala na vingine

    Kupata mtu anayeweza kuvaa viatu vyako hakuna, sasa marafiki wengi wamejaa kuangalia unacho tu sio mengine. Omba sana ufirisike ndio utajua aina ya viatu. Dunia tunaishi maisha ya kuangalia unacho tu mpaka mnauzi jamani, tupumzishane wakati mnatupiga vita mlitegemea kusaidiwa na nani.
  8. Kwitogelo

    MSAADA: Amenidhulumu pesa yangu lakini aliacha viatu vyake kwangu

    Habari wakuu. Kuna jamaa yangu alikuwa na shida ya pesa laki tano(500,000/=) ili akaongezee kama nauli kwenye biashara zake kusafirisha kutoka DSM kwenda Songea. Kama rafik yake ninayefahamiana nae muda mrefu kidogo na kutokana na namna alivyokuwa akihangaika kuipta hyo pesa nikaamua kumuazima...
  9. Amiry outfitstore

    Tunauza handbags za kike kwa bei ya jumla na rejareja

    Hello wana JF, Karibuni ofisini kwetu kariakoo mtaa wa agrey na msimbazi jengo la canaan complex ujipatie handbags nzuri na za kisasa wa wadada na wamama kwa bei ya jumla na rejareja. Kwa mawasiliano ni 0626817740 Karibuni sana wana JF naomben sana support yenu
  10. M

    Biashara ya viatu vya kike spesho hivi vya fashion na pochi

    Habari, Biashara ya viatu na pochi za kisistaduu zinalipa kwa Mbagala Rangitatu? Natumai kuanzisha biashara, nina 2.5M ila biashara ninayoipenda ni viatu vya kike, yaani vinavyohusu wanawake. Fremu nakusudia nipate mbele mbele stendi yaani. Mnanishaurije, biashara hii inalipa au?
  11. zitto junior

    John Heche anastahili kuvaa viatu vya Freeman Mbowe

    Nimefuatilia michango yake tokea akiwa diwani huko Tarime mpaka kuwa Mbunge 2015, unaweza kubaliana na Mimi kuwa huyu ni msomi anayejitambua, anajua kujenga hoja, mzalendo haswaa, mtiifu, na misimamo isiyoyumba Alipokuwa mwenyekiti BAVICHA ndipo tulishuhudia taasisi imara ya vijana iliyozaa...
  12. Zekoddo

    Muongozo wa namna ya kuoshea viatu vya ngozi kama hivi

    Wakuu nipeni ujuzi hapa.. viatu vya ngozi kama hv naosha kwa kutumia maji ya kawaida, valve/spay, au Sabuni..? Nipeni utaalamu maana naweza kuviharibu hv viatu paso kujua..
  13. M

    Naomba kufahamu chimbo la wale wauza viatu vya kike simple jion mbezi mwisho na kimara kwa 5k na 6k wanazitoa wapi?

    Habari zenu jf Km kichwa habari hapo juu knavyojieleza naomba kufahamishwa tafadhali
  14. NetMaster

    Nitamjuza vipi rafiki yangu bila kumkwaza, kwamba akivua viatu chumba kinajaa harufu mbaya?

    Nina rafiki yangu wa muda mrefu tu na wala hatujawahi kuwa na tatizo, isipokuwa tu akivua viatu yaani chumba huwa kinajaa harufu kali. Ila yeye wala haonagi noma! Nitawezaje kumjuza bila kumkwaza?
  15. Mwamuzi wa Tanzania

    Swali kwa Mwakinyo: Je, ulizuiliwa kununua viatu huko Uingereza?

    Maandiko matakatifu yanasema "Mpumbavu huamini kila neno bali mwenye hekima huchunguza sana". Haya Mwakinyo nijibu haya maswali; 1. Ulizuiliwa kununua viatu huko Uingereza? 2. Promoter wako hakuweza kufanya mchakato wa kukutafutia vifaa kazi baada ya kupoteza vifaa vyako? 3. Hivyo viatu...
  16. MakinikiA

    Mwakinyo uje tanzania na viatu unavyolalamikia

    Tupo wataalamu wa uchunguzi tutavichunguza tutabaini na hata aliyekuibia tutamtambua .keep it up ngumi unaweza ila gangamala.
  17. Mwande na Mndewa

    Mandonga: Namtaka Mwakinyo, changamoto za viatu haziwezi kunipa shida

    Leo 13:15hrs 04/09/2022 Mandonga, shujaa wa ulingoni mwenye ujuzi mkubwa na mbinu za kuvutia, tekniki na ubora wa hali ya juu, timamu wa akili ya ngumi, mwepesi wa mwili mwenye kipaji cha kuzaliwa cha masumbwi, si mpiganaji mjanja bali mpiganaji mwenye skills zilizokwenda mbele zaidi kwenye...
  18. Akilihuru

    Hawa ni watu maarufu duniani ambao viatu vyao vimekosa mvaaji

    Za asubuhi wakuu, leo nakuja na makala ya watu maarufu duniani, ambao wameacha alama kubwa katika tasnia zao na mpaka leo hakuna alietokea kuziba mapengo yao. 1) Mohammedi Ali Huyu ni bingwa, mbabe na mtemi wa masumbwi ulimwenguni kote. Mohammed Ali ambae alizaliwa 17 January 1942, huko...
  19. Teko Modise

    Unaweza kuvaa viatu vya aina hii?

    Kwangu mimi ni big no...sijui kwann?
Back
Top Bottom