Habari wadau.
Kwa Dar es Salaam wapi naweza kupata duka la viatu vya mtumba bei ya kati. Mimi sio mdosi. Bei zake range kuanzia 30K mpaka 80K.
Mtumba OG kabisa.
Naomba kuwasilisha.
Nauza makabati ya nguo na viatu ya zipu
Ni imara na zinapendezesha nyumba
Yapo ya rangi mbalimbali
Wateja wa dar unaletewa buree
Unafungiwa pia buree
Kwa wateja wa mkoani tunatuma kupitia mabasi kwa gharama za mteja
Milango 2 tsh 65,000
Milango 3 tsh 75,000
Mawasiliano;
KUPIGA SIMU NA MESEJI...
Wizara ya Ulinzi ya Ukraine imetetea uamuzi wake wa kuwavalisha wanajeshi wa kike viatu vya mchuchumio (vyenye visigino virefu) katika gwaride la kusherehekea miaka 30 ya kujitenga na Umoja wa Kisovieti baada ya baadhi ya wabunge kulalamikia uamuzi huo.
Picha za wanajeshi hao zilisambaa katika...
Nauza makabati ya nguo na viatu ya zipu
Ni imara na zinapendezesha nyumba
Yapo ya rangi mbalimbali
Wateja wa dar unaletewa buree
Unafungiwa pia buree
Kwa wateja wa mkoani tunatuma kupitia mabasi kwa gharama za mteja
Milango 2 tsh 55,000
Milango 3 tsh 70,000
Milango 4 tsh 85,000
Mawasiliano...
Habari wataalamu, na tumaini ni wazima wa afya.
Leo nimeona kituko na nilikuwa sijajua Kama wadada au watu ni waoga wakujua afya za au kupima HIV.
Kimsingi kujuana afya wapenzi inapendeza Sana, hasa mda huu ambapo vijana Dunia imetuamini sana hivyo lazima na sisi tujiamin kwa kila Hali na njia...
Mfanyakazi wa kuuza duka la viatu, rasta na vitu vingine anahitajika.
Majukumu:
Atauza vitu vya dukani na kupiga mahesabu ya dukani ya kila siku na kuchukua maoni ya wateja na kupendekeza nini wateja wanahitaji.
Kituo cha kazi/duka lilipo: Mkonze, Dodoma
Jinsia: awe mwanamke /msichana
Umri...
Viatu vikali hivo hapo angalia kipi kina waka kwako zipo simple raba za kike 30,000Tsh na Nike 38,000Tsh.
Vipo viatu kama Nike vikali, scorpions nzuri, sebago, airmax, airforce, jordan, timberland, fimbo,clark boot, casual shoes.
chagua kimoja hapa nikupe bei.
Serious buyer only do not...
Viatu ambavyo mtindo wake ulibuniwa na kuvaliwa na mwanamuziki Kanye West vimeuzwa kwa $1.8m (£1.3m) katika mnada ikiwa ni bei ya juu zaidi kuwahi kununuliwa .
Viatu hivyo aina ya Nike Air Yeezy 1vilivunja rekodi iliowekwa na viatu vya Nike Air Jordan 1s vilivyouzwa kwa $615,000 mwaka uliopita...
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, napata tabu ya kun’garisha boot lang maana mwanzoni nilikua nafosi natumia kiwi ila sasa nikawa naona kama rangi yake inafifia.
Then nikaona niwe navifuta tu na maji kidogo kwenye kitambaa napo naona havin’gai vinafifia.
Wenye ujuzi wa viatu vya ngozi hii...
Kuna vitu vidogo vidogo ambavyo wanaume tunakosea katika uvaaji wa nguo.
Kama unavaa mashati na unachomekea kwenye suruali basi hakikisha rangi ya mkanda wako inaendana na viatu unavyovaa.
Vitu vingine sio lazima uwe na hela nyingi ndo uvifanye[emoji123]
Na. M. M. Mwanakijiji
(Makala hii imetoka kwenye gazeti la Raia Mwema, Jumatano Machi 31, 2021. Picha juu kutoka kwa Michuzi Blog).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan ana kibarua kigumu. Anakabiliwa na kuridhisha pande nyingi kiasi kwamba upande wowote ambao...
Kampuni ya Nike inashitaki ubunifu wa kampuni ya MSCHF iliyopo Brooklyn juu ya uzinduzi wa kile kinachosemekana kuwa “Kiatu cha shetani” chenye tone la damu ya kweli ya binadamu kwenye soli za viatu.
Viatu hivyo vinavyouzwa kwa dola 1,018 sawa na (Tsh 2358910.76), ambavyo vimechorwa alama ya...
Wasalaam wapendwa!
Kila mara humu mtu ukisoma vizuri comments za kila mada huwezi kupita bila kukutana na neno UNAFKI. Hili neno linasemwa kulingana na sisi wenyewe tulivyo na vitabia vyetu.
Hivi Tundu Lissu kabla haijapigwa risasi akachungulia kaburi na kurudi tuwahi kusikia akiitwa msaliti...
Magufuli alionyesha utofauti kama kiongozi tangu mwanzo wa safari yake ya uongozi na siasa.Katika ngazi zote za utendaji na kama Waziri,alitimiza wajibu wake katika kila eneo.Akawa kivutio kikubwa kwa wananchi na hata adui zake ndani na nje ya nchi.
Kwa siri adui zake walikiri umahiri wake...
Tunafahamu JPM (R.I.P) alikuwa rais mwenye msimamo mkali na maamzi magumu. Swali hapa ni je, mama atafuata nyayo zake au atakuja na sera mpya?
Je, haya yafuatayo atayashughulikia vipi?
- Suala la wafanyabiashara kuhamishia biashara zao nchi za nje.
- Suala a ajira rasmi kwa wahitimu.
- Suala...
Juzi jioni bila kutarajia niliwakuta hawa wazee mtaa wa Tandamti ndo wanafunga biashara mapema saa 10.
Nawauliza imekuwaje? wakanambia kuna kikao cha dharura.
Nikawauliza kuna nini?
Msafisha viatu akasema alitaka kusoma ujumbe wa WhatsApp ulosema kwamba uvumi na uzushi dhidi ya kiongozi wa...
Wakuu habari za majukumu,
Nataka nifungue biashara ya kuuza mikoba au handbag za wadada, wallet na viatu pia special toka China na Uturuki.
Eneo ni Kibamba Dar es salaam. Kwa wale wenye ujuzi vipi inalipa wakuu, ushauri nahitaji wakubwa, mtaji ni 1.5 mil plain nje ya Gharama za fremu.
Mimi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.