viatu

  1. M

    Mpenzi wangu ana viatu pair 75, handbags 47, mikanda 70, mawigi 62 nimeamua kumuacha kimya kimya

    Nimetoka kufanya sensa ya vitu anavyomiliki huyu kiumbe, hapo sijahesabu nguo zake, yaani akisema afungue boutique hana haja ya kuagiza mzigo China. Hapo gesi imeisha wiki nzima hana hela ya gesi,friji ni kama simtank limejaa maji tu Nimeona hanifai, sitaki ushauri nawapa tu taarifa, msije...
  2. More Chances

    Biashara ya viatu vya kike VS vipodozi

    Habari wana jamii Ipi ni biashara rahisi kuendesha na inalipa kwa haraka kati ya hizo mbili tajwa hapo juu Pia zipi ni mbinu muhimu katika kufaulu biashara hizo Pia vip kuhusu Location zake sahihi
  3. N

    Ushauri kuhusu biashara ya viatu Dodoma

    Habari zenu wakuu, Naomba kupata ushauri kuhusu biashara ya viatu Dodoma, mimi kwa kweli nina laki 4 tu. Kwa mawazo yangu nilitaka nipate mtu mwenye uelewa mzuri na hii biashara hasa anaefanya hiyo biashara Dodoma nifanye Naye kazi hata kwa kujitolea tu Ili nipate uzoefu wa kuanza kazi. Naomba...
  4. B

    Ada za shule zapanda sanjari na za kubrashia viatu barabarani

    Wapi pa kukimbilia? Mafuta yameathiri kila mtu. Kwa serikali hii? Kazi kwake mlaji wa mwisho!
  5. Suzy Elias

    Rais Samia apende-asipende siku yaja atamfuta Uwaziri January kwa shinikizo la wananchi

    January nahisi nyota yake ina giza sana! Haiwezekani yeye tu kutajwa na hata kusemwa kwa ubaya tuuuu! Ukiona jamii inayokuzunguka haishi vigenge vya kukusema kwa ubaya tambua kutoboa kwako katika jambo fulani itakuwa vigumu sana. Ukweli ni kwamba 75% ya Watanzania hawamweli na zaidi...
  6. The Eric

    Kwa wale wanaonunua cartons za viatu spesho vya kike, msaada wenu.

    Habarini za wakati! Basi niende kwenye ombi langu, ninaomba kujua kuhusu viatu vya spesho vya wanawake na watoto wadogo husani zile simple tu. Nahitaji kujua bei zake kwa anaye chukua kwa cartons tu ambapo yeye atauza jumla kwa wale wauza reja reja, natamani nijue bei za hivyo viatu na maduka...
  7. M

    INAUZWA Nauza viatu vya kike bei ya Jumla

    Habari ndugu. Jipatie viatu vya kike kwa bei ya jumla ya TZS18,000 tu kuanzia pieces 10 chini ya hapo tunauza kwa TZS20,000 tuu. Tunapatikana Ubungo Msewe - Dar es Salaam WhatsApp: Share on WhatsApp Simu: 0759891571 Karibuni sana.
  8. RWANTANG

    Picha za viatu vya kike

  9. RWANTANG

    Picha za viatu vya kike

  10. M

    Hivi baada ya wamachinga kufikuzwa mwenge wadada mnanunua wapi viatu vikali?

    Marry Christmas to you all, Sina mengii Ila napenda kufahamu baaada ya wamachinga kufukuzwa eneo la mwenge ,ni wapi wadada wanapata now viatu ,maana Mimi mwenge ndio Ilikuwa sehemu yangu pendwa
  11. Onlyobby

    Biashara ya viatu vya mtumba

    Habar wana jf, Naombeni muongozo kwa mwenye uwelewa wa mazingira ya Mwanza anipe mwanga ni wap naweza pata viatu vya mtumb (raba) kwa ajili ya biashara. Ningependa ufaham n wapi na lin naweza kwenda n ku point raba kali na ninatakiw niwe na mtaj kiasi gan, (unatakiwa kupoint kuanzia pair...
  12. Kinuju

    Profesa Lipumba: Viatu vya Hayati Magufuli ni special, kila mtu aliufyata

    Kwenye mhadhara wa kudai katiba mpya ulioandaliwa na chama cha wananchi leo wajumbe wamesema lazima kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025 twende na katiba mpya na wamemtaka rais Samia kuachana na mambo ya hayati Magufuli kwani hatayaweza. Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amesema kiatu cha marehemu...
  13. SANCTUS ANACLETUS

    Inauma, inasikitisha, inakera sana, na inafikirisha sana kuona viatu vinakupwaya lakini unajipa matumaini ya kuendelea na Safari ya Uongozi

    Ni ukweli uliokuwa wazi kuwa hata kabla ya yeye kushika wadhifa huo wa juu wa Nchi watu wengi hawakuwahi kuutambua uwezo wake. Uwezo ni jambo ambalo huwezi kuuficha mithili ya Sindano kwenye Koti. Mungu wetu angalikuwa wa ajabu sana kwa uwezo wake mkuu alionao kama angaliumba wanadamu halafu...
  14. SANCTUS ANACLETUS

    Inafikirisha sana kuona viatu vinakupwaya lakini unajipa matumaini ya kuendelea na safari ya uongozi kwa Watanzania

    Ni ukweli uliokuwa wazi kuwa hata kabla ya yeye kushika wadhifa huo wa juu wa Nchi watu wengi hawakuwahi kuutambua uwezo wake. Uwezo ni jambo ambalo huwezi kulificha mithili ya Sindano kwenye Koti. Mungu wetu angalikuwa wa ajabu sana kwa uwezo wake mkuu alionao kama angaliumba wanadamu halafu...
  15. My Son drink water

    Rais Samia, viatu vya Magufuli vimekufaa

    Rais Samia, wala usihofu, hatuoni wapi ambako viatu vya Hayati Magufuli vimekupwaya, unapodai eti havijakufaa hivyo viatu wakati tangu Mungu alipomtwaa Magufuli kila kitu kipo vile vile ndo kwanza unaboresha. Wakati Magufuli akiwa madarakani,Sukari kg moja ilikuwa Tsh3,000,na haijashuka hadi...
  16. Mzalendo Uchwara

    IGP Sirro viatu vimekupwaya mno, omba kupumzika

    Kulikuwa na haja gani ya kusema kuwa Polisi wataanza kukagua shule za dini zaidi ya kuleta taharuki na kuzalisha chuki? Kama Polisi inadhani kuna matatizo huko kwenye shule za dini, je mbinu sahihi haikuwa kuchunguza kimyakimya na kwa siri? Alafu bila aibu anasema eti amejifunza Rwanda! Kitu...
  17. NKWENYE

    Rais Samia na viatu vya Hayati Dkt. Magufuli

    Habari ndugu zangu, poleni na makali ya tozo. Niende kwenye mada moja kwa moja, baada ya kuondoka mpendwa wetu JPM kwa hakika moja ya swali zito lililokuwa liko kwa waombolezaji wote ni kuwa, je, Nani atavaa VIATU VYA baba na vimuenee? Kwa kuwa Mungu ndiye mpangaji basi ikampendeza Mungu kuwa...
  18. S

    Viatu vinauzwa kwa bei ya jumla na rejareja

    Nauza viatu ngoziii jumla 8000 na leja leja 10000 napatikana kibaha pwani
  19. Yamungu Jeremiah

    Biashara ya Bidhaa za Mitumba( Second hand products)

    Habari wakuu! Leo ningependa niweze ku-share na nyinyi wana JF juu ya fursa za kibiashara, hususani biashara ya bidhaa za mtumba kama,nguo,viatu,Bags etc. Mimi napatikana Dar es salaam, na nina hamu ya kufanya hizo biashara, lakini kwa bahati mbaya sijuwi hasa ni Chimbo zipi hapa Dar, na ni...
  20. R

    Maajabu: Maiti yagoma kuzikwa ili ivishwe viatu vipya

    Waombolezaji waliofika katika boma moja eneo la Kilingili, Vihiga nchini Kenya wameachwa midomo wazi baada ya mwili wa marehemu kukataa kuingia ndani ya jeneza hadi ulipovishwa viatu vipya alivyokuwa amenunua. Duru zinaarifu kwamba jeneza lililetwa kisha jamaa na marafiki wa mwenda zake...
Back
Top Bottom