viatu

  1. KISHINDO

    Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

    Kwanza poleni sana kwa misiba iliyoikumba nchi yetu. Pili, watu huelewa uchapakazi wako bila wewe kuwaambia. Wanaweza wakakupendekeza kama uchapakazi wako ni mzuri au wasikupendekeze kulingana na uchapakazi wako wa hovyo hovyo. Ile watu wakisema fulani anafaa basi hata usipopewa nafasi hiyo...
  2. G

    Fedha ya kupigia rangi viatu vya Traffic zinaharibu Noti zetu kwa malipo halali

    Katika Watanzania wanaoziharibu (Fedha za Noti) za Tanzania ni makondakta & madereva wetu wa vyombo vya moto yaani magari ya abiria na mizigo wakishirikiana na wasimamizi wa Sheria za nchi hii (Traffic). Fedha tajwa hapo juu hutolewa kwa njia ya kidhalilishaji kwa sarafu zetu na askari pia...
  3. majid salim dossa

    Kwa anayejua bei ya mabelo ya viatu

    Habari zenu wana JF kwa muda mrefu sana nilikuwa nataka kuanzisha biashara ya kuuza viatu, sasa wakati umeshafika. Mimi nipo Arusha ila nasikia Moshi kuna viatu vizuri kweli, sijawahi kwenda huko, mimi nilikuwa nataka kujua tu mabelo ya viatu pale Moshi yapo maeneo gani na kwa belo moja...
  4. Richard

    Maoni kutoka kijiwe cha msafisha viatu: Watanzania wengi hawapendi Mabadiliko, wanangoja Magufuli aondoke

    Nipo Dar-es-salaama kikazi na nimetua mitaa yangu ya katikati ya mji na nikamkumbuka msafisha viatu na maoni yake hatari ya kisiasa. Nikakumbuka yupo mtaa wa Jamhuri lakini nilipofika pale sikumwona nikauliza mazee walokuwepo pale wakanambia kahamia mtaa wa Tandamti. Basi kwa kuwa nilikuwa pia...
  5. yasini jawadu

    Biashara ya viatu vya kike kwa jiji la Mwanza soko la kununulia mzigo na namna ya uuzaji mtaji wangu ni laki saba

    Naombeni mawazo yenu wadau kuhusu biashara ya viatu vya kike kwa jiji la Mwanza sehemu ya kununulia mzigo na namna nzuri ya kuuza kwa wepesi mtaji wangu ni laki Saba (700000) siishi nyumbani nimepanga.
  6. F

    Nini kingetokea kama Mwl. Nyerere angestaafu Urais mwaka 1971 na Oscar Kambona kuvaa viatu vyake hadi mwaka 1981?

    Wadau wa JF habari zenu. Leo nimewaza hivi ikiwa Mwl Nyerere angestastaafu Urais mwaka 1971 kwa kufuata mihula miwili na baadae kufuatiwa na Oscar Kambona ambaye naye angestastaafu mwaka 1981, nchi hii ingekuwaje? Mfano kiuchumi, kisiasa, kijamii, kitamaduni, kidiplomasia nk. Natanguliza...
  7. Kifurukutu

    Baada ya Humphrey Polepole kuteuliwa kuwa Mbunge. Je, nani kuchukua nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi ndani ya CCM?

    Baada ya Rais Magufuli kumteua Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nafasi yake ya Katibu Itikadi na Uenezi ndani ya CCM ni rasmi sasa uko wazi kwani mheshimiwa Rais alishaweka utaratibu wake kwamba viongozi hawawezi kuvaa kofia mbili katika uongozi. Taarifa...
  8. matunduizi

    Watu wa mijini wengi ni wagonjwa kwa sababu ya kuvaa viatu

    Mwanadamu asili yake ni udongo. Kuna connection kubwa sana kati ya udongo na mwanadamu. Hata neno Adam ambalo limeleta neno mwanadamu linatokana na neno "Adamah" la Kiebrania ambalo humaanisha udongo. Katika kutuumba Mungu aliweka vitu katika viganja vya miguu na mikono ambayo vikikutana na...
  9. A

    Viatu vya shule vinauzwa bei nafuu

    Kwanini usubiri hadi January kununua viatu vya shule kwa ajili ya mwanao, wakati ni sasa jipatie viatu vya shule na offer ya socks Kwa 35,000 Call/what's up 0744 002351 Zinapatikana no 20 - 40
  10. K

    Pale wapiga kura wanapovaa viatu vya wajumbe

    Ugumu wa maisha unaweza ukakufanya ufanye maamuzi sahihi au ufanye maamuzi kwa kushinikizwa. Nikiangalia watu mtaani naona wote Wana hasira maisha magumu, wamechoka Kama wajumbe. Hata mawakala wa chama kile waliotegemea umateumate wameambulia debe la mahindi ambalo litaisha kabla hata...
  11. M

    Wimbi kubwa la wasomi walioajiriwa kukimbilia biashara za nguo na viatu mitandaoni

    Wakuu salama? Kitambo sijapost hapa ila nimeona leo tuangalie upande wa pili wa shilingi; tuna idadi kubwa sana ya vijana wetu wasomi tena ambao wapo kwenye ajira iliyo rasmi lakini wakati huo huo wanafanya ujasiriamali mdogomdogo. Sioni tatizo kufanya biashara ila shida inakuja pale ambapo...
  12. A

    INAUZWA Viatu imara vya watoto vinauzwa karibuni sana

    Mara ngapi unanunua viatu vya shule kwa ajili ya mwanao na havidumu muda mrefu,wazazi mnajua jinsi gani inakera kununua kiatu kila mara. Mvalishe mwanao hivi viatu usahau kununua viatu kila mara.. Bei yake ni 35,000 vya shule Kanisani na mitoko mingine 40,000 Tupate kwenye Instagram Kwa...
  13. Innocent Kirumbuyo

    Biashara ya viatu inaweza kukutajirisha

    Hello Natumaini mnaendelea vyema na harakati za kutafuta maisha nimeona leo niwaibie siri jinsi hii biashara ya sandals na viatu inaweza kukutajirisha kwa haraka. Historia Mimi kwa majina ya kuzaliwa naitwa Innocent kirumbuyo nimezaliwa Kilimanjaro katika hospital marubeneti miaka mingi...
  14. Its Pancho

    Uzi wa memes za viatu (comedy)

    Uzi huu ni wa memes za viatu kwani viatu vinaelezea uhalisia wa maisha ya MTU Tiririka nawe
  15. thetallest

    Uchaguzi 2020 Mechi kali nne za Uchaguzi Mkuu wa Wabunge ni majimbo ya Arusha Mjini, Kawe, Mbeya Mjini na Tarime Vijijini

    1: Mwita Waitara Vs John Heche - Tarime Vijijini 2: Tulia Acskon Vs Sugu - Mbeya Mjini 3: Askofu Gwajima Vs Halima Mdee - Kawe 4: Mrisho Gambo Vs Godbless Lema - Arusha Mjini Hizi ni mechi kali sana za kukata na shoka . Nategemea wote wafanye kampeni za kistaarabu, wakinadi sera zao ili...
  16. Babu Kijiwe

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Baadhi ya mahitaji ya wadau: Naombeni kupewa orodha ya maduka ya suti za kiume (za kisasa) yaliyopo Kariakoo. Nahitaji kuyazungukia. Kwasababu ya muda siwezi ku-design kwa fundi ndo maana nataka kuitungua dukani. Shukrani. Kariakoo au Dar ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za...
  17. Venus Star

    Kutoka uwanja wa Uhuru: Tamasha la CCM linalojumuisha wasanii Tanzania

    Nitakuwa nakupatia update. Wasanii wote Tanzania kwa moyo wa upendo walitunga nyimbo kuhusu serikali ya CCM. Wapo katika kufanya mazoezi ya nyimbo zitakazotumika kwenye kampeni ya chama kikubwa barani Afrika CCM.
  18. Richard

    Uchaguzi 2020 Huyu ni msafisha viatu kweli au ana kazi nyingine maalum? Amenichambulia siasa za Tanzania na kuahidi Tundu Lissu kushindwa vibaya

    Moja kwa moja kwenye mada maana naona Tundu Lissu anajimwambafwai na hata sasa anaanza kuwachokoza watu wa kawaida kabisa hadi wasafisha viatu wa mjini Dar-es-Salaam. Niliamua kujivinjari maeneo ya mjini Dar na nikapata nafasi ya kusafisha viatu vyangu kwa kuweka Kiwi. Kwa kawaida mimi ni...
  19. William Mshumbusi

    Tundu Lissu acha utoto, jaribu kuvaa viatu vya Mandela na Martin Luther King

    Baada ya kutua nchini umeongea vitu vingi Sana. Lakini vya habari vimekosa chochote Cha kusimulia kwenye alichoutubia zaidi ya kuripoti umekuja tu. Mandela baada ya Mateso yote jela, baridi, fimbo na minyororo alipotoka tu aliendelea kuhubiri Amani, umoja na kuaminiana Kati ya watesi wake...
  20. mkiluvya

    Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda Ataka Ujenzi Wa Kiwanda Kipya Cha Viatu Cha Karanga Kukamilika Kwa Wakati

    Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Prof. Riziki Shemdoe ameitaka kampuni ya Tanelec – Arusha kuharakisha utengenezaji wa vifaa vya umeme ikiwemo (switch gears ) ambazo zinasubiriwa kufungwa kwenye kiwanda cha kuzalisha bidhaa za ngozi cha Karanga kilichopo Mkoani Kilimanjaro. Prof...
Back
Top Bottom