vibali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Kuwatoa wajenzi Malawi kuwaleta Tanzania wanahitaji vibali gani?

    Habari zenu jukwaa. kuna kiwanja nilishawahi kukipata na kukipigia fensi, nataka niaze ujenzi mwezi wa sita. Dhumuni kuu la kuwaleta mafundi wamalawi ni ile sifa yao wanayojulikana kuwa nayo HONESTY / UAMINIFU japo soo wote, lakini pia huko Malawi gharama zao za ufundi zipo chini. vitu gani...
  2. pombe kali

    Daladala za Gongo la Mboto zabadili vibali vya njia kukwepa ukarabati BRT

    Wanasema dhahabu hupitia moto ili kutengeneza Vito, hayo yanajidhihirisha kwa wakazi wa gongo la mboto ambapo kwa sasa wanapitia adha kubwa ya usafiri wakati ukarabati wa barabara ya mwendokasi ukiendelea. Kipande cha barabara ya Pugu almaarufu kama Nyerere road kuanzia maeneo ya gold star...
  3. Mtemi mpambalioto

    Je, Naibu Waziri Mkuu Biteko kamshindwa mkurugenzi EWURA kwenye suala la kutoa vibali gesi asilia ya magari?

    EWURA kupitia Mkurugenzi wao naona wanamvimbia Mh BITEKO, Hali ya utoaji huduma ya gesi asilia kwa magari ni mbaya sana! watu wanaenda kujaza magari vituo viwili tu Tanzania nzima kweli? tena wanakaa hadi masaa matatu kupata huduma Kuna kampuni ya Dalbit tunaona imekamilisha kujenga kituo cha...
  4. BARD AI

    CHADEMA yalia rafu upatikanaji wa Vibali vya Helikopta kwa ajili ya ziara za Viongozi wake

    Kutopatikana kwa vibali vya usafiri wa Helikopta unaotumiwa kwenye ziara za kuimarisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kumekwamisha ratiba ya viongozi wa chama hicho kuendelea na mikutano katika Kanda ya Nyasa. Suala la helikopta hiyo kukosa vibali lilidokezwa wiki iliyopita na...
  5. BARD AI

    Waziri Jafo aonya wanaosafirisha vyuma chakavu bila vibali

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dk Selemani Jafo ametoa onyo kwa wafanyabiashara wanaosafirisha vyuma chakavu nje ya nchi bila kibali kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao. Dk Jafo amesema wafanyabiashara hao wanachangia kuongezeka kwa bei za vifaa...
  6. V

    Vibali vitumike kwa wakulima wa mbaazi

    Wananchi na wakulima wa zao la mbaazi wanaomba kauli ya Mheshimiwa Rais ya kushauri wakulima wa korosho wasafirishe korosho zao kwa vibali. Pia itumike kwa wakulima wa mbaazi wilayani Kiteto kuruhusiwa kuuza mbaazi zao kwenye masoko yenye bei kubwa, kuliko kulazimishwa na watu wachache kuuza...
  7. Mamujay

    Bajaji ya kuchaji unahitaji vibali Latra?

    Je Bajaj ya kuchaji unahitaji kuisajili Latra ili upige nayo kazi bararrani? Je unakamatwa na trafiki barabarani?
  8. J

    Vibali vya uhamisho kwa watumishi wa umma

    VIBALI VYA UHAMISHO KWA WATUMISHI WA UMMA E Mungu Muumba mbingu na nchi,umeiwekea Dunia vitu vyote wakiwemo Wanadamu.Umewapa wanadamu uwezo wa kuongoza na kutawala viumbe wengine. Twakuomba katika kuongoza na kutawala, uwajalie viongozi wetu wa Tanzania afya njema, Hekima na Busara ili pamoja...
  9. J

    Vibali vya uhamisho kwa watumishi wa umma

    VIBALI VYA UHAMISHO KWA WATUMISHI WA UMMA:- E Mungu Muumba mbingu na nchi,umeiwekea Dunia vitu vyote wakiwemo Wanadamu.Umewapa wanadamu uwezo wa kuongoza na kutawala viumbe wengine.Twakuomba katika kuongoza na kutawala,uwajalie viongozi wetu wa Tanzania afya njema ,Hekima na Busara ili pamoja...
  10. BigTall

    Serikali haitaki kutoa vibali vya kusafirisha mazao Mpaka wa Sirari

    Nipo Border ya Sirari na Kenya, kuna changamoto moja hapa Serikali haitaki kutoa vibali vya kusafirisha mazao kwenda nje ya Nchi ila sasa madali wanapitisha Mahindi njia za panya kupeleka Mahindi Kenya. Je, kwanini Serikali isitoe Vibali ili ipate mapato?
  11. benzemah

    Taarifa kwa umma juu ya uwepo wa tatizo la kiufundi katika Mfumo wa Kushughulikia Maombi ya Vibali vya Kazi

    Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu imetoa taarifa kwa umma juu ya uwepo wa tatizo la kiufundi katika Mfumo wa Kushughulikia Maombi ya Vibali vya Kazi. == TAARIFA KWA UMMA CHANGAMOTO YA KIUFUNDI KATIKA MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA KUSHUGHULIKIA MAOMBI YA VIBALI VYA KAZI KWA...
  12. B

    Ridhiwani: Serikali kuajiri watumishi 30,000 mwaka huu

    Serikali katika Mwaka huu wa Fedha yaani 2022/23 imetoa vibali vya Ajira 30,000. Maelezo hayo yametolewa na Mh. Ridhiwani Kikwete, Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora alipokuwa anajibu Swali la Mbunge wa Mburu Mjini Mh. Zakaria Issay.
  13. Explainer

    Msaada kuna vibali vya upigaji picha maeneo ya mijini?

    Habari wakuu. Kama kisomekavyo kichwa cha habari, binafsi nimeanzisha shughuli ya kutangaza utamaduni na maisha ya Tanzania nikitia ndani vivutio vyote, watu na kila kitu. Kwa sasa nimekumbana na changamoto nyingi ikiwemo kuzuiwa kupata picha za mnato kwenye baadhi ya maeneo ambapo kwa macho...
  14. HIMARS

    Serikali yatoa kibali kuagiza mchele nje ya nchi

    Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt.Ashatu Kijaji akiwa Dar es salaam leo amesema Serikali imetoa vibali vya kuingiza mchele nchini Tani Elfu 90 kwa ruhusa ya Rais Dkt.Samia “Tunatarajia kuanzia mwisho wa mwezi huu wa pili zao la mchele litapungua bei” Lengo la Serikali mchele ushuke...
  15. E

    Rais Samia zuia vibali vya chakula kwa sasa, utalaumiwa lakini Taifa litakukumbuka kama mkombozi wa kiuchumi

    Mama kwa kifupi hatua unazochukua katika kilimo sina uhakika na zote lakini hili la kufungua masoko ya nje ni mwarobaini wa kilimo. Kilimo cha Tanzania kilidumaa kwa sababu ya upofu wa viongozi waliopita. Naomba nirejee katika hadithi iliyoko katika biblia. Wamisri walikuwa utumwani misri...
  16. R

    Nchi haina maji, wananchi msichimbe visima Bila vibali, ukichimba maji usiuze Bila leseni

    Nchi yetu ina mambo yanakusikitisha Shana yanayofanywa na watoa maamuzi Kwanza, tunakubaliana wote kwamba maeneo mengi hayana maji Ila chini ya ardhi kuna maji ambayo wenye fedha wanaweza kuchimba visima. Pili, tunakubaliana wazi kwamba serikali inazo sheria zinazowakataza wananchi kuchimba...
  17. Ngomile

    Vibali vya kurejea utumishi wa umma

    Habari sana wakuu! nakuja katika jukwaa hili kuuliza suala nililolitaja hapo juu katika anuani ya ninachotaka kuuliza. Mimi niliombewa kibali na mwajiri wangu kwa katibu mkuu utumishi baada ya kupata kazi mpya, kwa kuwa niliwahi kuwa mtumishi hapo kabla. Sasa tangu nimeombewsa kibali ni...
  18. Bexb

    Naomba mwongozo wa vibali katika Biashara ya mbao

    Habari ya wakati huu wakuu. Ninaomba maelekezo na mwongozo kwa vibali ambavyo mtu/kampuni inapaswa kuwa navyo ili iweze kufanikisha kusafirisha mbao/magogo kwenda nje ya nchi hasa Kenya na nchi za Asia. Pia kama kuna mamlaka nyinginezo zozote ambazo nitapaswa kupita kabla ya chochote ili...
  19. vibertz

    Naomba muongozo wa kupata vibali vya kusafirisha nyama

    Habari, Nataka niwe nasafirisha nyama kutoka Tanzania bara kupeleka Tanzania visiwani. Mwenye uzoefu wa hii biashara naomba anifahamishe kuhusu namna ya kupata vibali na nyaraka zote zinazohitajika katika biashara hii. Na namna nzuri ya usafirishaji na kufanya packing. Asante.
  20. Webabu

    Jeshi la Ukraine lawafutia vibali baadhi ya wanahabari wa vyombo vya magharibi kuripoti kutokea Kherson

    Waandishi wa habari wa CNN NA SKynews wamevuliwa wadhifa kwa kuripoti kutokea mji wa Kherson unaotajwa kukombolewa na Ukraine. Ukiacha waandishi hao mashirika mengi mengine ya Ukraine na nchi za nje yamewakemea waandishi wao kwa kosa hilo hilo. Kisingizio kilichotolewa na mashirika hayo ni...
Back
Top Bottom