vibanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je Serikali inaona hivi vibanda vinavyochipuka kila kona ya Jiji.

    Miaka miwili iliyopita Serikali ilifanya jitihada Kwa kile kilichotajwa kuwapanga machinga, zoezi ambayo lilifanyika nchi nzima. Mafanikio yalikuwa makubwa kwani maeneo mengi ambayo yalikuwa na changamoto yalipangika vizuri . Nguvu na gharama kubwa zilitumika. Kwa sasa hakuna jitihada zozote...
  2. Kiboko ya Wachawi: Kanisa ni katoliki mengine ni vibanda tu

    Habari JF, Hapa pastor Dominic -kiboko ya wachawi alikuwa na maana gani? Je, na yeye alikuwa ana miliki kibanda? Je, hii kauli ina ukweli kiasi gani?
  3. Unavijua hivi vibanda?

    Wakuu kwema? Hivi vibanda vinasaidia sana wafanyabiashara wadogo kuanza kujitafuta. Naomba kujua yafuatayo: 1- kwa anayetaka kununua, vinauzwa bei gani? 2- kwa anayetaka kukodi, kinakodishwa bei gani? 3- kama nikinunua nikawa nacho nataka kukiweka barabarani, process yake ipoje??
  4. Wale wazee wa Tegeta vibanda umiza mnamkumbuka huyu mwamba kiingilio sh 10

  5. Mechi za AFCON game ikimuhusisha mwarabu na mwafrica mweusi haya ndo yanaendelea kwenye vibanda umiza Tanzania

    Hizi mechi za AFCON hua naangaliaa kwenye vibanda umiza kwa sababu ya vibe la mashabiki. Mechi ikimuhusisha mwarabu na MTU mweusi mwarabu ni anatukwana sana n'a MTU mweusi. Yani Maneno yavuka mipaka unakua ni uhasama Utani n'a Maneno ya kishabiki yanawekwa pembeni then mwarabu anatukwana...
  6. Tujikumbushe Movie Kali Pendwa miaka hiyo ya 1980s-1990s na vibanda umiza kiingilio sh.10.

    Tujikumbushe Movie Pendwa na mabanda umiza ya video wakati huo miaka ya 80-90 wa screen chogo na VHS. Nakumbuka wakati nikiwa Mbeya Kuna sehemu ilikuwa inatwa kwa Mponzi watu walikuwa wanavaa hata hewa hamna sehemu nyingine panaitwa K.K.K kwa Mzee mmoja alikuwa anaitwa Mwakilembe ya Yasini huko...
  7. B

    RC Chalamila - DSM Rasmisheni madanguro kwa kujenga motels na guesthouse siyo vile vibanda

    Mkuu wa mkoa ataka madanguro yawe yenye hadhi na staha badala ya vile vibanda uchochoroni [https://m.youtube.com/watch?v=-L8fJk4mSTk Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam pia azungumzia suala la demand and supply yaani soko na wateja wa biashara ya ngono ilivyo na jinsi ya kwenda nayo RC Albert...
  8. Kuweni makini na vibanda vya huduma ya pesa kwa njia ya simu, wengi hutoa hela mbovu

    Ni kama vile huwa wanaambiana au wanapeana semina. Hii imenitokea mara nyingi mpaka nilipo anza kuchukua tahadhari. Hii inawahusu zaidi wanao toa kuanzia laki 2, 3 na kuendelea lakini pia hata wanao toa chini ya hapo inawahusu pia. Ni hivi ukienda kutoa hela kuanzia lets say laki 2 au 3...
  9. Natafuta Maduka, Vibanda vya Uwakala, Saluni na sehemu ya kuweka Donati zangu

    Habari Wakuu, Natafuta Maduka, Vibanda vya Uwakala, Saluni na sehemu za kuweka Donat zangu. Donati zangu zauza shilingi 100, nikiweka kwako nitakupa shilingi 20 kwa kila donati. Nipo Mabibo, Dar es Salaam
  10. Karibu Tujadili Fursa Ya Kumiliki Vibanda Vya Kukodisha

    Vibanda vya biashara kwa ajili ya kukodisha ni njia nzuri ya kutengeneza kipato endelevu kwa hapa Mbeya. Maeneo ambayo hulipa zaidi ni karibu na vyuo kama Chuo Kikuu cha Mzumbe, Chuo Kikuu cha CUCOM. Maeneo ya soko la kabwe unapambana na unaweka kibanda chenye mvuto cha biashara na unaingiza...
  11. Wakubwa wa TANESCO kwenye ngazi za chini wasiruhusiwe kumiliki vibanda umiza.

    Kila kukiwa na mechi nzuri lazima umeme ukate nusu saa kabla ya mechi au nusu saa baada ya mechi. Huu ni uhujumu uchumi. Tf wanakata umeme sahz wakati game ndo inaanza second half.
  12. Lile eneo chini ya Flyover ya Kijazi lililowekewa fensi waweke vibanda vya machinga

    Nimepita pale ubungo na kuona fursa kwa halmashauri. Chini ya flyover ya kijazi kuna eneo safi sana limewekewa fensi. Fanyeni kujenga daraja kama la manzese ili raia waweze kuingia pale ndani ya fensi kwa usalama na kununua bidhaa za machinga. Kwahivyo pale kwenye ile nafasi wekeni vibanda...
  13. Bonde la Msimbazi na Jangwani Kilimo na Vibanda Vyarejea Kwa Kasi - Uchafuzi Mazingira Hatarini Tena!

    Wakuu wa Jukwaa Kama mada ilivyo hapo juu, miaka kadhaa iliyopita kwenye awamu ya tano wavamizi wote wa bonde la Msimbazi na Jangwani waliondolewa, nyumba kuvunjwa ikielezwa walikiuka sheria hivyo kusababisha uchafuzi wa mazingira uliokithiri. Baada ya muda zoezi hilo kufanyika uoto wa asili...
  14. J

    Vibanda 15 vyateketea kwa moto Mafinga

    Mufindi. Moto umezuka saa saba usiku wa kuamkia leo Ijumaa Oktoba 21, 2022 pembezoni mwa Soko la Mafinga Mjini Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa na kuteketeza vibanda 15 na mali za wafanyabiashara. Akizungumza na Mwananchi mmiliki na shuhuda, Mohamed Migila amesema kuwa moto huo ulianza kuwaka...
  15. Vibanda vya chuma vya biashara ni bei gani?

    Jamani habarini za muda huu, Samahani naomba kujua vibanda vile vya biashara (vya Chuma) kama vile huwa vinatengenezwa kwa shingapi? Between ngapi na ngapi?
  16. Mbeya: WafanyaBiashara waandamana kwa kubomolewa vibanda vyao

    Zaidi ya wafanyabiashara 40 katika Soko Kuu mtaa wa Sokoine jijini Mbeya wameandamana katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kutoa kilio chao baada ya vibanda vyao kubomolewa usiku wa kuamkia leo Alhamisi Septemba 22, 2022 na watu wasiojulikana. Pia, imeelezwa katika bomoabomoa hiyo, mali za...
  17. Toka Azam TV ianze kuonesha ligi ya Tanzania, imepelekea kupunguza mashabiki wa ligi za Ulaya

    Kwa jinsi hali ilivyo sasa ya kimpira hapa kwetu, hasa katika mazingira ya vibanda umiza, kwa kuangalia mashabiki wa hizi timu mbili kubwa hapa Bongo. SIMBA Kwa msimu huu wa 2021/22 hasa siku za hivi karibuni, mashabiki wa Simba wameanza kupungua kuhudhuria mechi za Simba, hasa hasa inapokuwa...
  18. Vijana acheni kunywa bia kwenye vibanda umiza, connection zote za maisha zinapatikana katika mahotel makubwa hapa mjini

    Kwa ufupi unakuta kijana kasoma chuo, kakaaa mtaani zaidi ya miaka tano (5) hana ajira, kijana huyuhuyu unamkuta kwa mangi ama kwenye baa za kawaida anafakamia kongagi ama K- vant kupunguza stress. Sasa ngoja niwape siri ukitaka kufanikiwa mara moja moja tembeleeni hotel kubwa kubwa mfano ( sea...
  19. Hapakuwa na haja ya kuwaondoa wamachinga na kuvunja vibanda pembezoni mwa mji

    Kusema ukweli sioni sababu ya kuwaondoa wafanyabiashara ndogo ndogo waliokuwepo huku pembezoni mwa mji kwenye vituo vya daladala kama vile Banana, Mombasa, Gongo la mboto, Mbagala, Mbezi etc. Huku pembezoni walikuwa wanaathiri nini mpaka mumewaondoa pia? Kuwaondoa katikati ya mji kama Posta na...
  20. Makamu wa Rais ukimaliza likizo ya Sikukuu tembelea vibanda vya chips Dar na Dodoma ujionee maajabu!

    Ofisi ya Makamu wa Rais ndo inashughulikia Mazingira. Baada ya Mifuko ya Plastik kuweza kuondolewa pale Mama Samia alipokuwa Makamu wa Rais Naona sasa Waziri wako Jaffo anataka kuichafua Ofisi yako Nimetembelea Dar na Dodoma Naona kwenye vipanda vya chips wameanza kufungia mifuko ya plastiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…