Recently kuna Vibanda vya wamachinga vimeteketea Mabibo Hostel , Mwenge na leo Tunduma , hatujui kesho ni wapi ?
Ni nani anayechoma moto vibanda na masoko haya na kwa faida ya nani ?
tafadhali usije na majibu uchwara kama huna majibu Shut up .
Moto ambao chanzo chake hakijafahamika umeteketeza vibanda vya wafanyabiashara vilivyopo kando ya barabara ya kuelekea katika hosteli za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).
Moto huo ulianza leo Ijumaa Novemba 12,2021 saa 2 asubuhi lakini kikosi cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kilifika eneo...
Hapa ni pale walipokuwa wanabomoa mabanda yao kwenye maeneo yaliyokatazwa.
Sikufurahishwa na Wamachinga kuzagaa kila mahali, lakini kilio chao kimenisikitisha sana, Viongozi waliowatapeli hawa watu na kuwaweka kwenye maeneo hatarishi hadi wakajisahau namna hii walaaniwe haraka.
Nimepita hapo muda si mrefu, naona Kariakoo inaanza kupendeza sasa, hongera na pongezi zote zimuuendee mkuu wa mkoa.
================================
Update: Polisi wakimbizana na Wamachinga Dar
Hebu tupeane update za zoezi la kuhama kwa wamachinga eneo ulipo.
Mimi nimepita pale UHASIBU kutokea Kigamboni, nimekuta Wamachinga woote wameitikia wito wa kuhama, wapo busy wanabomoa vibanda vyao
baada
dar
dar es salaam
habari
jiji
jkt
kutolewa
machinga
matukio
mmoja
muonekano
ndani
ondoa
picha
safi
suma jkt
usiku
vibanda
wamachinga
wanyonge
wapi
Wanaume waliozoea bangi sasa wameingia Dar.
Na wana usongo na barabara mpya ya Mwenge mpaka Morocco. Sina uhakika kama brabara hii imeshazinduliwa , na sasa tayari jamaa wanapopoa vibanda ambavyo havina hata miezi minne.
Vibanda vya mabasi vinapopolewa na mabasi ya daladala , utafikiri...
Siku zote kitambaa cha kaniki kitabakia kuwa kaniki tu.
Wamachinga walidanganywa sana na mwendazake kuwa ccm inawajali sana hivyo wakaingia mkenge na kuisapoti mwaka 2015.
Leo hii yule bwana hayupo tayari wameanza kilio cha samaki .
Nawashauri wajue kuwa ccm haijawahi kuwa na huruma .
Jana mchana wakati nimetoka kanisani Pugu Kajiungeni (Njia panda ya Chanika na Kisarawe ) niliamua nikapate viepe na kuku kwa muuza chips aliyeko kando ya barabara.
Nimefika pale nilishangaa yule kijana muuza chips anawezaje kukaa pale angalau kwa nusu saa. Yaani kijana yule pale ndipo maskani...
Msongamano wa vibanda vya wafanyabiashara wadogo maarufu machinga hadi kuziba eneo la waenda kwa miguu katika eneo la Mbezi Mwisho, Manispaa ya Ubungo, mkoani Dar es Salaam, kitendo kinachosababisha usumbufu kwa wapita njia na vyombo vya moto.
PICHA: SABATO KASIKA
Chanzo: Nipashe.
Naomba serikali yetu ya mama Samia ifanye juu chini kuondoa vibanda barabarani.
Mji unazidi kuharibika naona wameanza hapo Ilala mtaa wa Uhuru ukuta wa Hospitali ya Amana kuweka vibanda na meza za kudumu.
Wakuu nina idea ya kitengeneza vibanda vya wamachinga na kuvipangisha. Vibanda hivyo nitaviweka pembezoni mwa barabara zote kubwa zilizopo mjini..kuanzia Shekilango, Sinza, Goba, Mbezi n.k
Naomba kama kuna mwenye mchango wa mawazo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.